youngdonats18
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 685
- 443
Ushindi , tc oll about peoples power, xo usiishie kupost jF, bas jiandae kuplay part ako km fan ktk kura, na c kushinda tuzo kwa miujiza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu sifa nyingine ni uhusiano wako wewe na mawingu radio/tv. Wale wana kura ya Veto kama zile nchi 5 katika baraza la usalama la duniatuzo za kili zinategemea zaidi kura, halafu nyimbo zinazohusika ni za mwaka jana, unataka kusema nyimbo za taifa kama chekecha na nana zikose tuzo? hapana aisee.. huyo dogo labda achukue upcoming
Basi we hapo hoiii"Ingawa kishingo upande, Aiyoo Aiyola
Sitoforce unipende. .."
Acha tu[emoji133] [emoji133]Basi we hapo hoiii
Baraka next level... Tuwe tu wakweliWewe hujielewi, unamfananisha Harmonize na Baraka? Baraka de Prince is the next big thing after hawa wakina Diamond, Harmonize wa kawaida tu sitarajii kama atakuwa mkubwa sana
kwahiyo namimi nikikukaza ntakuwa next level?Labda NEXT LEVEL WA KUMKAZA NAJDATTANI. Kimziki bado sanaaaaaaa
Baraka balaa Dada ohoo.... Ngoma zote hajawah kosea dadadeq..hamna kolabo na msnii mkubwa... Sauti je?...Labda NEXT LEVEL WA KUMKAZA NAJDATTANI. Kimziki bado sanaaaaaaa
Baraka balaa Dada ohoo.... Ngoma zote hajawah kosea dadadeq..hamna kolabo na msnii mkubwa... Sauti je?...
Haya Dada usikumwema.Sasa siachani nawe, nivumilie, na siwezi mbona katambaa melody ile ile? Barakah zake skendo tu. Harmonise ndo mpango mzimaaa