Kili Music Awards, asiposhinda Harmonize, mtawajibika mwaka huu!

Kili Music Awards, asiposhinda Harmonize, mtawajibika mwaka huu!

Mimi msikilizaji wa mziki, na mdau mwenye uelewa mkubwa kwenye mziki.
Ungekuwa mfatiliaji mkubwa ungejua kuwa ata aiyola, imefanyiwa promo sanaaa kama hii nyimbo ya raymond "kwetu" inavofanyiwa.
Afu let's face the reality, aiyola ina ujumbe gani mpya?? Ina melody gan mpya? Nyimbo imejaa taste ile ile ya diamond.
Usiseme una uelewa mkubwa wa muziki, sema una mpenda sana harmonize.
 
lara 1 hata umpigie kiki vipi Harmonize, lakini atachukua tuzo moja tuu.
weka maneno yangu kama kumbukumbu utajionea mwenyeww wakati wa ugawaji tuzo.. UPCOMING ARTIST AWARD inamuhusu nothing else
Agree...
 
Ungekuwa mfatiliaji mkubwa ungejua kuwa ata aiyola, imefanyiwa promo sanaaa kama hii nyimbo ya raymond "kwetu" inavofanyiwa.
Afu let's face the reality, aiyola ina ujumbe gani mpya?? Ina melody gan mpya? Nyimbo imejaa taste ile ile ya diamond.
Usiseme una uelewa mkubwa wa muziki, sema una mpenda sana harmonize.
huu wimbo umependwa sana na wadada. hata sijui kwanini???
 
Labda kama sio hizi tuzo ambazo mshauri mkuu ni " demu wa wote" a.k.a sepenga atachukua lakini kama ndio mshauri ndio huyo asahau.
Kiba
TZ
Music
Awards =
KTMA, Sasa hapo kuna tuzo za kwenda wasafi kweli ????
 
Talkin about nyimbo za Hermonize....
Aiyola mmmmh kwa upande wangu ni hapana kwakweli.
Ila kwa huu mpya aloimba na dai ndo nimeupenda, vile vinanda mule ni hatarious!
 
mi nafikiri tuzo ambayo anastahili huyu msemaji wa wcb ni best newcomer(chipukizi bora) na si vipengele vingine
 
Yeah....mtamu kiasi chake!😀😀

Huu aloimba na 'daimondi' pia mzuri tu:

Ungekuwa mfatiliaji mkubwa ungejua kuwa ata aiyola, imefanyiwa promo sanaaa kama hii nyimbo ya raymond "kwetu" inavofanyiwa.
Afu let's face the reality, aiyola ina ujumbe gani mpya?? Ina melody gan mpya? Nyimbo imejaa taste ile ile ya diamond.
Usiseme una uelewa mkubwa wa muziki, sema una mpenda sana harmonize.

Ayoola ina melody weweeee, ukikaaa kile kibwagzo cha shingo upande kinkupitiaaaaa..

We nyimbo za Dai huzijui, angekuwa level za Ayoola angetamba.
 
mi nafikiri tuzo ambayo anastahili huyu msemaji wa wcb ni best newcomer(chipukizi bora) na si vipengele vingine
Kwanini? Kwasababu sio mkongwe? Ayoola inastihili hio tuzo, plus best RNB song of the year, best song. Ni wimbo mpaka vitoto vimeukubali.

Tabia ya kuangalia tuzo kwa uzee wa msanii sio. Mtu akifanya kitu kizuri tukubali.
 
ea4e629efbdba4c549fd166df82c0eba.jpg

nadhani hakuna ubish
Who is kapuka?...utafiti gani umetumika
..la msingi ni kupiga kura kwa wingi tu Mzee... Upcoming lazima achukue na asipochukua ntashindwa kuelewa
 
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!

Tabia ya Kili Music Awards kufanya figisu figisu kuwajaza mituzo Dai na Kiba sio ishu. Mwaka huu wote minyimbo yao mibayaaaa.

On the other hand Harmonise na wimbo wake wa Ayoola ni mtamu sanaaaaa. Aisee anastahili walau tuzo 5. Kiukweli tena.

Afu yuko very humble, interview alivoulizwa anmuonaje Kiba, akasema ni mwanamziki mzuri na anaweza kufanya nae kazi inaonesha ukomavuuu katika fani. Kiukweli huyu kijana asiposhinda walau tuzo 5 mwaka huu patachimbika kama Miss Tz palivochimbika.
Atachukua upcoming nyingine za ma bro zake akina jux,kiba, mond, belle, baraka nk.
 
Hivi ile ngoma ya Ayoola umeionaaa? Mitandaoni anaongelewa sababu ya mziki, which is a good thing, sio scandal
Siyo kama bos wake anatambia skendo... Baraka yupo fresh sn kwwnye uimbaj bt nje ya muziki kaanza kuboa kila siku kutolea ufafanuz skendo aaaachana na huo ushamba piga kaz
 
Hizi ndo siasa nazozikataaa! Nana na Cheketua were all hype and marketing. Zilikuwa promoted sanaaaa tu, ila hazina jipya. Ayoola ulikuwa wimbo wa underground, hakuna promo wala siasa ila umepokelewa kwa mikono miwili.

Tuache kutoa tuzo kwa majina, tutoe kwa mziki mzuriii.
Haikuwa na promo?...ni hphp TZ au AUSTRALIA?
 
Who is kapuka?...utafiti gani umetumika
..la msingi ni kupiga kura kwa wingi tu Mzee... Upcoming lazima achukue na asipochukua ntashindwa kuelewa
Kapukafact page on Twitter imebase kwenye kufuatilia mziki wa EA.
Upcoming lazima achukue na je akichukua nyimbo bora ya mwaka utakataa?
 
Back
Top Bottom