Kili Music Awards, asiposhinda Harmonize, mtawajibika mwaka huu!

kweli mwenyewe nyimbo za kibongo si mpenzi sana tena hasa hzo za wabana pua-ila niliposikiliza huo wa aiyola ulikuwa umetulia kwa kweli
 
ea4e629efbdba4c549fd166df82c0eba.jpg

nadhani hakuna ubish
Mzee hiyo page haipo serious hahahaaaa sorry lakin coz haiwezekan ukashughulika na muziki wa Afrika Mashariki nzima thn unatweet unapata retweet2 na likes 4 thn una deal na EA yote duuuuuuuh...tupige kura Dogo achukue ila kapuka achana nao watatuchelewesha.
 
Kwanini? Kwasababu sio mkongwe? Ayoola inastihili hio tuzo, plus best RNB song of the year, best song. Ni wimbo mpaka vitoto vimeukubali.

Tabia ya kuangalia tuzo kwa uzee wa msanii sio. Mtu akifanya kitu kizuri tukubali.
Kwa upeo wangu mdogo najua diamond hawezi kugombea tena hizo ktma badala yake atapewa tuzo ya heshima moja tu.. Hii ni kwa sababu vipaji vingine viweze kupata nafasi kama akina harmonize, barakah nk.. Tukianza kuongelea category husika ktk ktma WIMBO BORA WA AFROPOP sema ukwel tukitoa nana iliyochukua tuzo kadhaa za kimataifa kwa ubora wake basi #aiyola inastahil kuibuka kidedea, CHIPUKIZI BORA hili halina mjadala Harmonize kaonyesha uwezo mkubwa sana ameweza kukaa kwenye chart takribani miezi nane toka itoke.. Uko kwingne ctak kugusia mana kuna competition kubwa mfno.. Collabo bora #Zigormx na Bado.. Pia naiman harmonize kwenye category ya video bora ataingia pia esp kwa ubora wa video ya bado.. Wimbo bora wa mwaka tusishangae pia ukawa #Aiyola mana umebang sana kuliko nyimbo nyingi za watu wanaowaangalia zaidi mfno.. Diamond nk.. Kiukwel naweza sema harmonize anaweza kubeba tuzo tatu kama boss wake wakati anatoka na kamwambie... 1.Chipukizi bora 2.Wimbo bora wa afropop 3.Wimbo bora wa mwaka ni maoni tu.. Tukiacha mambo ya uteam... Ukwel utasimama japo ktma ni majipu mana ata nje kwa wenzetu uwez kupata mshindi kwa kupiga kura kwa simu yan sms.. Kuna vitu ambavyo kamati husika inabidi ifuatilie mfno.. Chart kadhaa za tv na radio..nk..ukikusanya kura kwa sms itakua uongo mana inawezekana pia kikundi cha watu wachache kikaorganize wakampigia kura asiyestahili kbs kushindi mfno mlishuhudia mwaka jana ilikua kituko.. But nilijarbu kuwaelewa lengo lilikua kumpandisha kiba naye atambuliki ili kuongeza wasanii wengi zaidi kimataifa lkn pia hawakujua wapi wameharbu mpka leo.. Ndo mana tunashuhudia msanii mmoja akiwaburuza wenzake kwa kila kitu.. Kuna vitu vinafanywa but isiwe wazi kiasi kwamb ata mtu ambaye yuko nje na muzk anaelewa izo figisu manjanga.. Best entertainer, artist of the year.. Nk walichemsha sana... Hope haijirudii sababu diamond hatoshiriki kama wengine yy ni A list afrika tayar.. Inabidi gawaachie nafasi wengine
 
Kiba kupata tuzo kituko ??...hivi ile nyimbo ya mwana unaionaje Mzee ??..ujumbe hadi midundo..sauti je?..punguza mahabat kijana ile ilikuwa balaaa ww.. Kituko ni mpoki kukop nyimbo ya mpoto thn wakawa kategor moja afu akashinda aliyekop mwenye orijino kapigwa...kiba weka mbali na watoto
 
Mzee hiyo page haipo serious hahahaaaa sorry lakin coz haiwezekan ukashughulika na muziki wa Afrika Mashariki nzima thn unatweet unapata retweet2 na likes 4 thn una deal na EA yote duuuuuuuh...tupige kura Dogo achukue ila kapuka achana nao watatuchelewesha.
Hahaha kua na akili ww je kama niliScreenShot 1min baada ya wao kupost hahahaaaaaaa"

kama hyo page ipo Kenya na wamesema hvo it means hata huko Kenya hii ngoma inabamba sanaa.
 
Poa tusipige kura tafiti ya kapuka itusaidie Mzee hahahahaaaaa...kapukaaaa EA double retweet and 4 likes hata kama ilikuwa DK moja kama ni trusted page hata likes100 tu zingefika japo mia na iwe retweeted japo 25×
 
Kiba kupata tuzo kituko ??...hivi ile nyimbo ya mwana unaionaje Mzee ??..ujumbe hadi midundo..sauti je?..punguza mahabat kijana ile ilikuwa balaaa ww.. Kituko ni mpoki kukop nyimbo ya mpoto thn wakawa kategor moja afu akashinda aliyekop mwenye orijino kapigwa...kiba weka mbali na watoto
Mbona unakua sio mwelewa umeona category nilizotaja... Hakuna haja ya kubisha mwana ni nzuri cjakataa but ww mwenyew unajua mahali kiba alishinda hakustaili... But isiwe shida mana haiwezi jirudia kimakosa ten japo kuyapunguza kdgo..
 
tuzo za kili zinategemea zaidi kura, halafu nyimbo zinazohusika ni za mwaka jana, unataka kusema nyimbo za taifa kama chekecha na nana zikose tuzo? hapana aisee.. huyo dogo labda achukue upcoming
Upcoming inaendea kwa RUBY
OVER[emoji61] [emoji61] [emoji61] [emoji61] [emoji61] [emoji61] [emoji61]
 
Mbona unakua sio mwelewa umeona category nilizotaja... Hakuna haja ya kubisha mwana ni nzuri cjakataa but ww mwenyew unajua mahali kiba alishinda hakustaili... But isiwe shida mana haiwezi jirudia kimakosa ten japo kuyapunguza kdgo..
Linganisha ya kiba na ya mpoki thn sema kituko kipi ?...usitake tuamini unavyoamini weweeeee sisi ndo wapiga kura
 
Poa tusipige kura tafiti ya kapuka itusaidie Mzee hahahahaaaaa...kapukaaaa EA double retweet and 4 likes hata kama ilikuwa DK moja kama ni trusted page hata likes100 tu zingefika japo mia na iwe retweeted japo 25×
Sawa shabiki wa Kiba ila safari hii Tuzo mtazisikia kwenye bomba
 
Kwa upeo wangu mdogo najua diamond hawezi kugombea tena hizo ktma badala yake atapewa tuzo ya heshima moja tu.. Hii ni kwa sababu vipaji vingine viweze kupata nafasi kama akina harmonize, barakah nk.. Tukianza kuongelea category husika ktk ktma WIMBO BORA WA AFROPOP sema ukwel tukitoa nana iliyochukua tuzo kadhaa za kimataifa kwa ubora wake basi #aiyola inastahil kuibuka kidedea, CHIPUKIZI BORA hili halina mjadala Harmonize kaonyesha uwezo mkubwa sana ameweza kukaa kwenye chart takribani miezi nane toka itoke.. Uko kwingne ctak kugusia mana kuna competition kubwa mfno.. Collabo bora #Zigormx na Bado.. Pia naiman harmonize kwenye category ya video bora ataingia pia esp kwa ubora wa video ya bado.. Wimbo bora wa mwaka tusishangae pia ukawa #Aiyola mana umebang sana kuliko nyimbo nyingi za watu wanaowaangalia zaidi mfno.. Diamond nk.. Kiukwel naweza sema harmonize anaweza kubeba tuzo tatu kama boss wake wakati anatoka na kamwambie... 1.Chipukizi bora 2.Wimbo bora wa afropop 3.Wimbo bora wa mwaka ni maoni tu.. Tukiacha mambo ya uteam... Ukwel utasimama japo ktma ni majipu mana ata nje kwa wenzetu uwez kupata mshindi kwa kupiga kura kwa simu yan sms.. Kuna vitu ambavyo kamati husika inabidi ifuatilie mfno.. Chart kadhaa za tv na radio..nk..ukikusanya kura kwa sms itakua uongo mana inawezekana pia kikundi cha watu wachache kikaorganize wakampigia kura asiyestahili kbs kushindi mfno mlishuhudia mwaka jana ilikua kituko.. But nilijarbu kuwaelewa lengo lilikua kumpandisha kiba naye atambuliki ili kuongeza wasanii wengi zaidi kimataifa lkn pia hawakujua wapi wameharbu mpka leo.. Ndo mana tunashuhudia msanii mmoja akiwaburuza wenzake kwa kila kitu.. Kuna vitu vinafanywa but isiwe wazi kiasi kwamb ata mtu ambaye yuko nje na muzk anaelewa izo figisu manjanga.. Best entertainer, artist of the year.. Nk walichemsha sana... Hope haijirudii sababu diamond hatoshiriki kama wengine yy ni A list afrika tayar.. Inabidi gawaachie nafasi wengine
Nyimbo iliyotoka mwaka huu hai be nominated in ktma
 
Back
Top Bottom