Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Mwenyekiti wa Kampeni ya Kitaifa ya Mama Asemewe Bw. Geofrey Kiliba, amewataka wanaharakati na wakosoaji wa Serikali kuwa na usawa wanapotoa tathmini ya utendaji wa Serikali ya awamu ya sita kwa kutaja pia mafanikio yaliyopatikana chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Soma Pia: Rais Samia: Kuna wanaojiita wanaharakati lakini kiuhalisia matendo yao ni ya kigaidi
Akizungumza kwenye kikao cha Viongozi wa Mama asemewe Ngazi ya Wilaya na Mkoa Jijinin Dodoma, Kiliba amesema wananchi walimchagua Rais ili awaletee maendeleo kupitia ujenzi wa barabara, zahanati, hospitali, huduma za maji, umeme, elimu na afya bora kwa gharama nafuu, akisisitiza kuwa hayo ndiyo mambo yanayogusa maisha ya kila siku ya Watanzania.