nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
Wengi najua mmeona clip ya leo mazoezini kilichotokea kati ya pogba na mr Joseeee, ilionekana pogba akiwa kwenye good mood kaingia kwa mbwembweee kampa hi 5 michael carrick na staffs wengien ghafla mourinho katokea kwa nyuma na kuongea kitu uso wa pogba uka change kabisaa akanuna,sasa imetoka extendeded version anayosikika jamaa akimuambia staff mmoja ,TAKE PAUL HOME
nimeweka link ya sports bible kwa chini kuna clip yenyewe
http://www.sportbible.com/football/...hat-jose-mourinho-said-to-paul-pogba-20180926
nimeweka link ya sports bible kwa chini kuna clip yenyewe
http://www.sportbible.com/football/...hat-jose-mourinho-said-to-paul-pogba-20180926