Kilicchotokea beef la leo kati ya pogba na mourinho,kumbe alimfukuza

Kilicchotokea beef la leo kati ya pogba na mourinho,kumbe alimfukuza

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2018
Posts
2,430
Reaction score
5,779
Wengi najua mmeona clip ya leo mazoezini kilichotokea kati ya pogba na mr Joseeee, ilionekana pogba akiwa kwenye good mood kaingia kwa mbwembweee kampa hi 5 michael carrick na staffs wengien ghafla mourinho katokea kwa nyuma na kuongea kitu uso wa pogba uka change kabisaa akanuna,sasa imetoka extendeded version anayosikika jamaa akimuambia staff mmoja ,TAKE PAUL HOME
nimeweka link ya sports bible kwa chini kuna clip yenyewe
http://www.sportbible.com/football/...hat-jose-mourinho-said-to-paul-pogba-20180926
 
Jose hana mbinu mbadala ya kutumia aweze kushinda
 
Pogba ndani ya Utd ni sawa na sehemu yenye kansa katika mwili.

Anapaswa kuondolewa ili timu ibaki salama
 
hawa watu wanachangia Sana be club yetu kuyumba


ila no way out👆
 
hawa watu wanachangia Sana be club yetu kuyumba


ila no way out👆
 
hawa watu wanachangia Sana be club yetu kuyumba


ila no way out👆
 
Kwani wewe una ugomvi na nani mpaka waje kukuchukua,au mnapenda kuwatukana wenye nchi? Shauri lenu mimi hizo nafungua tu sababu najua hakuna sababu ya wao kunikamata by the way saizi sio lazima wafanye hivyo wakikuhitaji wewe ni kuwauliza tu wamiliki wa huu mtandao tusaidie taarifa huyu mtu wanapewa,unadhani hawa waliruhusiwa kurudi hewani bure bure tu? Kikubwa kuwa makini ishi kwa akili na wenye madaraka!
Tumewakabidhi madaraka ya kulevyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
 
Back
Top Bottom