nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
hiyo kuanguka ilikuwa tarhe 9 mwezi huu pale wembley siku england anafungwa 2-1 na spain sio issue ya derby countyHii nimecheka sana baada ya match ya janaView attachment 878697
Tumewakabidhi madaraka ya kulevyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.Kwani wewe una ugomvi na nani mpaka waje kukuchukua,au mnapenda kuwatukana wenye nchi? Shauri lenu mimi hizo nafungua tu sababu najua hakuna sababu ya wao kunikamata by the way saizi sio lazima wafanye hivyo wakikuhitaji wewe ni kuwauliza tu wamiliki wa huu mtandao tusaidie taarifa huyu mtu wanapewa,unadhani hawa waliruhusiwa kurudi hewani bure bure tu? Kikubwa kuwa makini ishi kwa akili na wenye madaraka!
we jamaa kwanini haujapata likes mingimingi!?.. Yani MouYes kusema tutoe 200 nikatamani Pogbooom amgomee zaidi, zishuke hadi 100 kijana aje blaugrana chap!πSisi kama wakatalunya tunapenda hili beef liendelee ili tuuziwe huyo bogba kwa bei ya kahawa
Tupeni Pogbooom. Tuwape Wenger!Mourinho mourinho tuachie team yetu
Exactlynow I know why Sir Alex Ferguson decided to let this buffoon go for free! no matter how bad Mourinho is but Pogba is nasty player.
Tupeni Pogbooom. Tuwape Wenger!
Lazima utetemeke Huku Pogbooom kule MouYes nani umtupe nani uache!..πNaandika nafuta
Lazima utetemeke Huku Pogbooom kule MouYes nani umtupe nani uache!..π