Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
[emoji23][emoji23]Hiki ni kipimo cha udumavu wa akili, halafu usikute huyu naye ndiyo wale wachaambuzi uchwara.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23]Hiki ni kipimo cha udumavu wa akili, halafu usikute huyu naye ndiyo wale wachaambuzi uchwara.
Kiko wapi?jezi nyeusi hazijawahi kumuacha mtu salama. endelea kuota.
Ubingwa hauji kwa wewe kusema.YANGA ni bingwa, sitanii... kwa 100%
mashetani yameingilia game yetu.Kiko wapi?
Kuna ukichaa mwingine unaozidi hapa?[emoji23]Furaha bila taji lolote ni uchawi na ukichaa, hapa ndio mtawajuwa wanaochota nyayo zenu mitaani na kuiba chupi zenu kupeleka kwa waganga kuwaroga.
Kuchukia mafanikio ya mwingine ni uchawi kamili.
Relax Kalpana[emoji1363].Kukojowaa...unaweza kweli hata kumkojolesha mtu ww...
Namkera tuu Dr Matola PhD sina baya nae..Relax Kalpana[emoji1363].
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee baba utakufa kwa pressure bureeee, wee sio wa kwanza kukosa kombe ktk final, why uvurugwee hivyooo?Furaha bila taji lolote ni uchawi na ukichaa, hapa ndio mtawajuwa wanaochota nyayo zenu mitaani na kuiba chupi zenu kupeleka kwa waganga kuwaroga.
Kuchukia mafanikio ya mwingine ni uchawi kamili.
Yaan wee achaa tyuuhHahahaa! Lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] woiiiiiiiiiihPole babu mwenye phd yake feki mjini...
Yani sio mpk unioe ndo nikuloge hata ww naweza kukuloga huko huko uliko..
Mnaumia sana na mimi naona..yani mnakerwaa mno kuliko mnavyokerwa na joto lenu huko daslam ...sasa ndo nitawekera mpk mnyooke.. hasa kwa nyie baadhi yenu mnaochukulia vitu serious.
Pamoja sana.Namkera tuu Dr Matola PhD sina baya nae..
Mimi naona wachinjaji ndiyo wameula mkenge wa jogoo la kienyeji!Mtasema mengi wale mabwana zenu waarabu wanachinjwa, chaka lenu linapotea