Kilichoitokea Dortumund kitatokea Yanga kesho

Furaha bila taji lolote ni uchawi na ukichaa, hapa ndio mtawajuwa wanaochota nyayo zenu mitaani na kuiba chupi zenu kupeleka kwa waganga kuwaroga.

Kuchukia mafanikio ya mwingine ni uchawi kamili.
Kuna ukichaa mwingine unaozidi hapa?[emoji23]
 
Furaha bila taji lolote ni uchawi na ukichaa, hapa ndio mtawajuwa wanaochota nyayo zenu mitaani na kuiba chupi zenu kupeleka kwa waganga kuwaroga.

Kuchukia mafanikio ya mwingine ni uchawi kamili.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee baba utakufa kwa pressure bureeee, wee sio wa kwanza kukosa kombe ktk final, why uvurugwee hivyooo?
Hebu relaaaaaaaaaaxxxxxxx
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] woiiiiiiiiiih
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…