Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
zari ni mwanamke mzuri asee hapo kishaingia leba mara tano.....yupo hivoTukiongelea swala la mwonekano kunlingana naumri hapa tutahaibishana!Kuna miss tz fulani hata hajazaa lakini ukimtazama mwili ulivyokongoroka utafikiri ana watoto sita,ila wajuvi wa mambo tunajua ni madhara tu ya mirage kusoma,kash kash za maisha,madawa ya kulevya na ulevi uliokithiri.
Make up kukosewa eti ndio conclusion kuwa Zari ni mbayaa sana!!
Acha uchawi mtoto mdogoHii ni israf
Period
Sema wewe kiazi...... [emoji3]Kwa umri wa huyo mtoto hicho walicho mfanya kichwani duh!!!
Hali ya uchumi wako ndio imeyumba, sio kila mtuKipato chake hakijulikani kinapotoka.
Haiwezekani hali ya uchumi imeyumba namna hii alafu anafanya kufuru.
Hata raisi wa mkoa(Makonda) hajafanya kitu kama hii.
Kamishna wa Drugs prevention naomba mumuite huyu dogo ahojiwe!
hivi naomba kuuliza dunia ni kubwa au pesa ni kubwa kuliko dunia.kwa dini ya kiislamu mtoto bila ndoa ni halamu na shk.anapiga dua na mapambio.kweli tutafute pesa kukabili dini
Iv waislam hawama msamaha kwa watoto kama wakristo??hivi naomba kuuliza dunia ni kubwa au pesa ni kubwa kuliko dunia.kwa dini ya kiislamu mtoto bila ndoa ni halamu na shk.anapiga dua na mapambio.kweli tutafute pesa kukabili dini
Mchawiii wewUmesahau kitu muhimu saaana
........ anaweza pia leo akatimiza siku 40.. kesho tu kabla ya kusign iyo mikataba.... akarudisha number kwa MUNGU ..
yoote yanawezekana.... usijisahau saaana...
Unaelekeza njia ya usipopajua.
Dunia mapito.
Acheniii kujishetuaa wew hujaxiniu, unajuaj wazaz wako walizin ndo ukatolewa wew, mu kwendreeeee kule , kujifanya nyie mahakimuu kajamben mbelee mxieeeeerrwWazinzi wakazini mpaka wakapata watoto, arobaini ya mtoto kukawa na maulid +baikoko+kaswida. Tena Sheikh anahudhuria.
Kuna wakati tumuogope Mungu, hii mixer sio
Na wafee kabisaaa tenaa hapo wanatumiaa simu za promisheni tigo na vodaa[emoji16][emoji16][emoji16]ikiwaumaa wamezee wembee na wabonyez reli kuthibitishaaa, wajinyonge[emoji3][emoji3]Dah kwakwel hua hamkosekanagi. dah hata mtoto mdogo mnamuombea mabaya kisa kuwaziwa mema
dah aise poleni mnunue sumu mnywe kwa staili hio duh sio kwa uchungu huo
Kitu kinachonivutia bado anauwezo wa kukaa na bikini tu akiwa na Diamond, wa ngapi wa umri wake wana guts za kufanya hivyo tena baada ya watoto watano?zari ni mwanamke mzuri asee hapo kishaingia leba mara tano.....yupo hivo
wakati.wenzangu na mie hata mama hawajaitwa ila matumbo yamemwagika tayari
Mezaa sumuu sasa upumbavu wao unakuuma nini ! Pouleeer! It's their life eboosio kwa tifah tu
Mimi mzazi yoyote anayemsuka rasta bintiye ni mpumbavuuu
Kunywaaa waragii barid[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Ambaye hajawahi kufanya uzinifu na awe wa kwanza kuwarushia mawe.
Nani leo kutwa nzima mpaka sasa hajatenda dhambi?
Binafsi nipo sehemu fulani napokea rushwa.
Sasa ulitakaa ufanyaj kwa mfanoo[emoji108] [emoji108] [emoji108] naona una nyege za mchana , umaskini wa ukoo wako ndo wa mondii kwendraaa Kule, kajambe mbeleeKipato chake hakijulikani kinapotoka.
Haiwezekani hali ya uchumi imeyumba namna hii alafu anafanya kufuru.
Hata raisi wa mkoa(Makonda) hajafanya kitu kama hii.
Kamishna wa Drugs prevention naomba mumuite huyu dogo ahojiwe!
Yaani shoo alizo piga juzi juzi huzikumbuki? Hizo tu zinatosha kufanya hiyo functionKipato chake hakijulikani kinapotoka.
Haiwezekani hali ya uchumi imeyumba namna hii alafu anafanya kufuru.
Hata raisi wa mkoa(Makonda) hajafanya kitu kama hii.
Kamishna wa Drugs prevention naomba mumuite huyu dogo ahojiwe!