Kilichojiri kwenye 40 ya Mtoto wa Diamond Platnumz (Nillan Nassib Abdul)

Haki ya Munguu zarii utaua watu kwa preshaaa, mwnyew anakwambia panic at ur own risk heiya heiyaaaa
 
Tatizo halipo kwenye kuzini tu, bali hiyo madrasa na masheikh zao kushiriki kitu ambacho hakifai
Watafanyaje sasa wakati tayari wameahidiwa kujengewa bonge LA msikiti?? Sijui utaitwa Naseeb Masjid au Platinum masjid????
 
yaani mi nimewashindwa kwa kweli unaanzaje kumsuka mtoto rasta za mabutu? bora angekuwa hata na miaka mitano!! na wanataka apendeze ili iweje!! awavutie wageni waalikwa au....hii si haki kabisa
Kwa kweli huwa sielewi kabisa yani watoto wa sikuhizi wanakomaa kabla ya mda kuna wengine hunyoa mtoto hadi viduku vya nywele kabisa ka wahuni loh
 
Dah kwakwel hua hamkosekanagi. dah hata mtoto mdogo mnamuombea mabaya kisa kuwaziwa mema
dah aise poleni mnunue sumu mnywe kwa staili hio duh sio kwa uchungu huo
Walishafanya watoto ni vitega uchumi, kwa jinsi hii Zari ataendelea kuzaa mpaka wapige dangote mwenyewe kwa utajiri. Hivyo unafikiri sisi hatuna vitoto vizuri? Tunao, ni kwamba tumeamua kuwa protect. Those money hungry will pay for their actions siku za mbeleni.

Otherwise walipendeza sana na mapambo yalikuwa mazuri, sema shughuli ilikuwa ya kiswahili swahili. Nadhani sponsors waliwabania [HASHTAG]#urbanhunger[/HASHTAG]. Kila mtu kafulia kwa kiwango chake. Oh well!

Hivyo na wao wataitwa central? Na yule meneja anayesemekana ana utajiri kuliko msanii mwenyewe atasalimika? Au ndio [HASHTAG]#noevidence[/HASHTAG]
 
Zariii anawapaaa preshaaa, wasubiriee nyumbuu nae azae na calisah modoo[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…