Kilichojiri kwenye 40 ya Mtoto wa Diamond Platnumz (Nillan Nassib Abdul)

Kilichojiri kwenye 40 ya Mtoto wa Diamond Platnumz (Nillan Nassib Abdul)

Walishafanya watoto ni vitega uchumi, kwa jinsi hii Zari ataendelea kuzaa mpaka wapige dangote mwenyewe kwa utajiri. Hivyo unafikiri sisi hatuna vitoto vizuri? Tunao, ni kwamba tumeamua kuwa protect. Those money hungry will pay for their actions siku za mbeleni.

Otherwise walipendeza sana na mapambo yalikuwa mazuri, sema shughuli ilikuwa ya kiswahili swahili. Nadhani sponsors waliwabania [HASHTAG]#urbanhunger[/HASHTAG]. Kila mtu kafulia kwa kiwango chake. Oh well!

Hivyo na wao wataitwa central? Na yule meneja anayesemekana ana utajiri kuliko msanii mwenyewe atasalimika? Au ndio [HASHTAG]#noevidence[/HASHTAG]
Ficha upumbavu wako!!!!!
 
Sasa ya kujamba yametoka wapi na wewe mshamba hoja hujibiwa kwa hoja na sio mapovu hatuna nguo chafu sie.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] shoga huyoo kashazoea IG hukoo...mashushu na matusi yao km kawaidaa...!!!

na hivi ajira magu hajafungua weeer[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] stress tupu

anataka kumalizia kwa watu!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] shoga huyoo kashazoea IG hukoo...mashushu na matusi yao km kawaidaa...!!!

na hivi ajira magu hajafungua weeer[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] stress tupu

anataka kumalizia kwa watu!
Kazi kweli kweli kwahyo humu kuna watu wa kusifiwa tu no Ku comment wasichopenda, Mara wivu, uchawi chah, naona vigodoro wa uswahili wamevamia jukwaa ka insta
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nimekaa pembeni hapa nacheeeeeka.
Dah siku hizi ligi sitaki
Ama classic ladyyyyyyyyy [emoji108] [emoji108]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] good umenchekeshaaq
 
Back
Top Bottom