Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
Akili yako ndogoumri nao mkuu +idadi a watoto alifyatua[emoji6] [emoji6] ..!!!.. kiukweli ni grandmaa'.....[emoji87] [emoji87] .....
Ila jamana Mnamnyima Alikiba usingizi saaana kwakweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akili yako ndogoumri nao mkuu +idadi a watoto alifyatua[emoji6] [emoji6] ..!!!.. kiukweli ni grandmaa'.....[emoji87] [emoji87] .....
Ila jamana Mnamnyima Alikiba usingizi saaana kwakweli
Huko shule......= kinachojiri
Soma bichwa lako la habari.
Ficha upumbavu wako!!!!!Walishafanya watoto ni vitega uchumi, kwa jinsi hii Zari ataendelea kuzaa mpaka wapige dangote mwenyewe kwa utajiri. Hivyo unafikiri sisi hatuna vitoto vizuri? Tunao, ni kwamba tumeamua kuwa protect. Those money hungry will pay for their actions siku za mbeleni.
Otherwise walipendeza sana na mapambo yalikuwa mazuri, sema shughuli ilikuwa ya kiswahili swahili. Nadhani sponsors waliwabania [HASHTAG]#urbanhunger[/HASHTAG]. Kila mtu kafulia kwa kiwango chake. Oh well!
Hivyo na wao wataitwa central? Na yule meneja anayesemekana ana utajiri kuliko msanii mwenyewe atasalimika? Au ndio [HASHTAG]#noevidence[/HASHTAG]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] shoga huyoo kashazoea IG hukoo...mashushu na matusi yao km kawaidaa...!!!Sasa ya kujamba yametoka wapi na wewe mshamba hoja hujibiwa kwa hoja na sio mapovu hatuna nguo chafu sie.
Yani unamaanisha nillan ni Israel mtoa roho!!![emoji1] [emoji1] [emoji28] [emoji28] nillan atauaaa watuuu
Sawa GeniusAkili yako ndogo
Uko sahihi kila mbuzi hula usawa wa kamba yake no need of jealous kabisaKila mtu na maisha yake. Hakuna sababu ya kuwa na wivu. Na wala hakuna sababu ya kuwa watumwa wa mafanikio ya wengine. Mungu hutoa kadri atakavyo.
Ohoooo!!!!Tandale ni kawaida usisahau chimbuko
Umepanic wewe kumleta wema sehemu asiyo husiko hamjiamini au nini?Zariii anawapaaa preshaaa, wasubiriee nyumbuu nae azae na calisah modoo[emoji16][emoji16][emoji16]
Mbona kibakulii kaletwaaaa, ata calisaz wife akiletw inanogesha mubasharaaa[emoji1] [emoji1]Umepanic wewe kumleta wema sehemu asiyo husiko hamjiamini au nini?
Kazi kweli kweli kwahyo humu kuna watu wa kusifiwa tu no Ku comment wasichopenda, Mara wivu, uchawi chah, naona vigodoro wa uswahili wamevamia jukwaa ka insta[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] shoga huyoo kashazoea IG hukoo...mashushu na matusi yao km kawaidaa...!!!
na hivi ajira magu hajafungua weeer[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] stress tupu
anataka kumalizia kwa watu!
Yani wewe una tatizo kiba, calisah wamekukaa kichwani kuliko huyo domo wakoMbona kibakulii kaletwaaaa, ata calisaz wife akiletw inanogesha mubasharaaa[emoji1] [emoji1]
Sawa. Endeleeni kufanya biashara ya watoto. Ukweli ni mgumu kuumeza. Kwani hao watoto wana nini cha zaidi Kama sio tu kuwa na wazazi wanaochangamkia fursa.Ficha upumbavu wako!!!!!
You are sooooo right.Hii ni israf
Period
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nimekaa pembeni hapa nacheeeeeka.Yani wewe una tatizo kiba, calisah wamekukaa kichwani kuliko huyo domo wako
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] good umenchekeshaaq[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nimekaa pembeni hapa nacheeeeeka.
Dah siku hizi ligi sitaki
Ama classic ladyyyyyyyyy [emoji108] [emoji108]
Maana yake nini hio shemeji?Hii ni israf
Period
Huu ni utamaduni wa wapi?