Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
Tandale ni kawaida usisahau chimbukoKwa umri wa huyo mtoto hicho walicho mfanya kichwani duh!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tandale ni kawaida usisahau chimbukoKwa umri wa huyo mtoto hicho walicho mfanya kichwani duh!!!
Bado ni mzaziMama mtu mbona naona kama kachooooka
Wangu sijawah kuwaza kumsuka ananyoa kila baada ya siku 4Yaa mtoto mdogo huwez kumsuka ivo, subir mpk afikishe miaka 18.
Chimbuko ni tandale,,Yaani Maulid na baikoko sijui kibao kata...mtihani mkubwa huo
Kesho sentrooKazi ipo.
Mod wamekusaidiaKuna wanadamu wengine wanakuwa na roho za koroshooo, ngoja nipite kwanza ntakuja
Watafanyaje sasa wakati tayari wameahidiwa kujengewa bonge LA msikiti?? Sijui utaitwa Naseeb Masjid au Platinum masjid????Tatizo halipo kwenye kuzini tu, bali hiyo madrasa na masheikh zao kushiriki kitu ambacho hakifai
Jibu zuriiii[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji28] [emoji28] [emoji1]Chimbuko ni tandale,,
Ukiongea kiswahili bhasi wewe ni afisa polisi au jeshi kampalaMbona huwa anaongea vzuri kuliko kiswahili cha kikenya, waganda wengi husikia kiswahili ila huwa hawapendi kukiongea.
Kwa kweli huwa sielewi kabisa yani watoto wa sikuhizi wanakomaa kabla ya mda kuna wengine hunyoa mtoto hadi viduku vya nywele kabisa ka wahuni lohyaani mi nimewashindwa kwa kweli unaanzaje kumsuka mtoto rasta za mabutu? bora angekuwa hata na miaka mitano!! na wanataka apendeze ili iweje!! awavutie wageni waalikwa au....hii si haki kabisa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108]umetumwa umeagizwaaaa.....!!!!!!!Mezaa sumuu sasa upumbavu wao unakuuma nini ! Pouleeer! It's their life eboo
Tena hawakipendi kiswahili wakikusikia wanakufatiliaUkiongea kiswahili bhasi wewe ni afisa polisi au jeshi kampala
mwenzangu wanajiteteaga eti 'nimemzaa mwenyewe sijaomba msaada kwa mtu' kumzaa mwenyewe ndio umtese!! mfyuuuuSubir utavyovamiwa hapa watahis ni wivu tu.
Wee wacha wivu khaaaaWatanzania katika ubora wao showoff
Walishafanya watoto ni vitega uchumi, kwa jinsi hii Zari ataendelea kuzaa mpaka wapige dangote mwenyewe kwa utajiri. Hivyo unafikiri sisi hatuna vitoto vizuri? Tunao, ni kwamba tumeamua kuwa protect. Those money hungry will pay for their actions siku za mbeleni.Dah kwakwel hua hamkosekanagi. dah hata mtoto mdogo mnamuombea mabaya kisa kuwaziwa mema
dah aise poleni mnunue sumu mnywe kwa staili hio duh sio kwa uchungu huo