Wanamkomaza mtoto misuli ya kichwa nywele zinavuta mpaka chembechembe za ubongo.Kwa umri wa huyo mtoto hicho walicho mfanya kichwani duh!!!
Kwani ni mara ya kwanza Jacquline Wolper kujinyea akishalewa?Asee masihara pembeni...liwolper limetia aibu sana...
Kule IG kwa katibu wa Umbea wachangiaji wanasema eti alivyolewa siku hiyo alizima na akajinyea...[emoji15] [emoji15]
Jibu swali uliloulizwa usilete nyenyenyee....!Naona unataka ulete ligi ya udini hapa umbea tu bibi wewe upooo?
Wana bahati kale ka tunda hakapo hapo...kangeiba hadi huo ufunguoHata ningekuwa mie ningebebaaa
Ni mara ya ngapiKwani ni mara ya kwanza Jacquline Wolper kujinyea akishalewa?
Ohooooo!![emoji87][emoji87][emoji87][emoji87]Wanamkomaza mtoto misuli ya kichwa nywele zinavuta mpaka chembechembe za ubongo.
matokeo yake anakuja kuwa na kichwa kigumu haambiliki,hashauriki.
Duh!!!hayo ndio matokeo ya kufakamia hovyo mapombe ya mwaliko.Asee masihara pembeni...liwolper limetia aibu sana...
Kule IG kwa katibu wa Umbea wachangiaji wanasema eti alivyolewa siku hiyo alizima na akajinyea...[emoji15] [emoji15]
Heeee kumbe ni Mara kibao?Kwani ni mara ya kwanza Jacquline Wolper kujinyea akishalewa?
Kwa kumbukumbu zangu hii ni mara ya 3, ila kwa baht nzuri anakunya kidogo tu halafu anawahi kutoka kwenye event kwenda kumalizia shuhuli chooni hivyo hashtukiwi haraka.Ni mara ya ngapi
Kwa kumbukumbu zangu hii ni mara ya 3, ila kwa baht nzuri anakunya kidogo tu halafu anawahi kutoka kwenye event kwenda kumalizia shuhuli chooni hivyo hashtukiwi haraka.
Hapana ni ubuyu tu...[emoji23]Huyu ubuyuuu,,, we uliwah kumuona au Upo Karibu nae ninii
Haahaha hujanipata badoJibu swali uliloulizwa usilete nyenyenyee....!
Sawa?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]umri nao mkuu +idadi a watoto alifyatua[emoji6] [emoji6] ..!!!.. kiukweli ni grandmaa'.....[emoji87] [emoji87] .....
sio muislam mwenzako wewe na nani? fanya yako kijana we unajua kesho kama utaiingia pepo ya mungu, ww ndio sio muislam mwenzetuShehe mchumia tumbo huyo,watoto wa Zinaa hao.
Kwanza Diamond si muislam mwenzetu
Kamshtak kwa makonda
Mkuu
Hapana sijapenda walivomsuka mtoto.... Sio msuko wa kitoto uo. Zari angejiremba kawaida angeoendeza san... Niliona vedio aliyoenda kuhojiwa clouds kwa ajil ya hii 40 pake alionekana mrembo sana kuliko hata apa.
hivi wangemtana tuu mtoto hizo nywele si asngependeza tu, mwishowe kanaonekana kajitu kazima, wasimsuke tena hayo manywele yaoo arghaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
kuhusu tiffah huko kichwani....
save the children....tunawaomba tafadhari.....[emoji45] [emoji45] [emoji45] .....
Ameonekana kama kazeeka. Nadhani hiyo hair Style.Mama mtu mbona naona kama kachooooka