Kilichojiri kwenye 40 ya Mtoto wa Diamond Platnumz (Nillan Nassib Abdul)

Kilichojiri kwenye 40 ya Mtoto wa Diamond Platnumz (Nillan Nassib Abdul)

Asee masihara pembeni...liwolper limetia aibu sana...

Kule IG kwa katibu wa Umbea wachangiaji wanasema eti alivyolewa siku hiyo alizima na akajinyea...[emoji15] [emoji15]
Kwani ni mara ya kwanza Jacquline Wolper kujinyea akishalewa?
 
Asee masihara pembeni...liwolper limetia aibu sana...

Kule IG kwa katibu wa Umbea wachangiaji wanasema eti alivyolewa siku hiyo alizima na akajinyea...[emoji15] [emoji15]
Duh!!!hayo ndio matokeo ya kufakamia hovyo mapombe ya mwaliko.
 
Kwani ni mara ya kwanza Jacquline Wolper kujinyea akishalewa?
Heeee kumbe ni Mara kibao?

Wolper Mchaga yule anapenda sana ulabuu..

Kwake asubuhi asubuhi unakuta anazimua eti ndo atafanya Kazi vizuri..
 
Kwa kumbukumbu zangu hii ni mara ya 3, ila kwa baht nzuri anakunya kidogo tu halafu anawahi kutoka kwenye event kwenda kumalizia shuhuli chooni hivyo hashtukiwi haraka.

Huyu ubuyuuu,,, we uliwah kumuona au Upo Karibu nae ninii
 
umri nao mkuu +idadi a watoto alifyatua[emoji6] [emoji6] ..!!!.. kiukweli ni grandmaa'.....[emoji87] [emoji87] .....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hapana sijapenda walivomsuka mtoto.... Sio msuko wa kitoto uo. Zari angejiremba kawaida angeoendeza san... Niliona vedio aliyoenda kuhojiwa clouds kwa ajil ya hii 40 pake alionekana mrembo sana kuliko hata apa.

labda aliipania mno kutukomesha wenye midomo mirefu
 
hivi wangemtana tuu mtoto hizo nywele si asngependeza tu, mwishowe kanaonekana kajitu kazima, wasimsuke tena hayo manywele yaoo arghaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

wanasema hizo kelele za chura tu.....😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom