mkabasia
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 2,966
- 2,634
Nilidhani ni macho yangu tu.Mama mtu mbona naona kama kachooooka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilidhani ni macho yangu tu.Mama mtu mbona naona kama kachooooka
huko kwenu mikoaniwhen you say arobaini, ni kumaliza msiba au nini sisi wengine hatuelewei.
upo madale au wapiMwalimu karibu maji ya kunywa...
inna lillahi...!!!Yaani Maulid na baikoko sijui kibao kata...mtihani mkubwa huo
kwani akisuka baada ya shughuli akafumua kuna tatizo?wapumbavu tuu!!hao wasusii
hizo zote ni kick
bora niwe mshambaa
Mkuu umenifurahisha hahahha hawana senti tano hadi anamaliza chuo [emoji23][emoji23]Haya maisha bana huyo mtoto leo anatimiza siku 40 ila kesho anaweza kusign mikataba mbalimbali na account yake ikawa na hela kuliko hata asilimia 80 ya member tulioko JF, yani mtoto anapata pesa kabla hata ya kujua pesa ni nini na matumizi yake ni nini. Hapo wajinga na wapumbavu tunamdharau Diamond wakati tuna watoto hadi wanamaliza vyuo vikuu hawana hata senti tano kwenye account, hawawezi kuishi bila kuajiliwa, kuna wakati tuwe tunawapa watu haki zao sio kukaa kumponda tu.
Usishangae kuwa ana mkataba wa kutangaza nywele za watoto.kwani akisuka baada ya shughuli akafumua kuna tatizo?
Wangapi tunawaona mtaani watoto wao wadogo kuliko huyo ila wamewasuka? je nao wanatafuta kiki kwa nani?
Au ndio yale afanye mtoto mwingine akifanya tiffa kiki!!!
Mkuu ni muhimu kuwaandalia wanao mazingira mazuri ...huez jua unaweza pumzi inakata mda wowote halaf hujfanya la maana kwa watoto wako hata kama huna uwezo kama diamond mana kila mtu ataegemea kua wale wana uwezo sjui wana pesa....mwanao ukianza kumwekea kidogo kidogo tokea akiwa mdogo hadi ukubwani ni we mwenyewe uangalie tu kwamba ntamuekea akifika miaka labda 30 kama Mung atakua amekuweka hai basi unampa ulichomuandalia kwa miaka 30. Sio lazima usaini mamikataba kila mtu na level yake ..Ndo mana unakuta pamoja na mambo mengine ya Diamond ila watoto wake watajivunia sana kuwa na baba kama Diamond.
well said!!!!!Wazinzi wakazini mpaka wakapata watoto, arobaini ya mtoto kukawa na maulid +baikoko+kaswida. Tena Sheikh anahudhuria.
Kuna wakati tumuogope Mungu, hii mixer sio
Dah kwakwel hua hamkosekanagi. dah hata mtoto mdogo mnamuombea mabaya kisa kuwaziwa memaUmesahau kitu muhimu saaana
........ anaweza pia leo akatimiza siku 40.. kesho tu kabla ya kusign iyo mikataba.... akarudisha number kwa MUNGU ..
yoote yanawezekana.... usijisahau saaana...
Unaelekeza njia ya usipopajua.
Dunia mapito.
Dah kwakwel hua hamkosekanagi. dah hata mtoto mdogo mnamuombea mabaya kisa kuwaziwa memaUmesahau kitu muhimu saaana
........ anaweza pia leo akatimiza siku 40.. kesho tu kabla ya kusign iyo mikataba.... akarudisha number kwa MUNGU ..
yoote yanawezekana.... usijisahau saaana...
Unaelekeza njia ya usipopajua.
Dunia mapito.
sio kwa tifah tukwani akisuka baada ya shughuli akafumua kuna tatizo?
Wangapi tunawaona mtaani watoto wao wadogo kuliko huyo ila wamewasuka? je nao wanatafuta kiki kwa nani?
Au ndio yale afanye mtoto mwingine akifanya tiffa kiki!!!
utaambiwa una roho ya koroshoWazinzi wakazini mpaka wakapata watoto, arobaini ya mtoto kukawa na maulid +baikoko+kaswida. Tena Sheikh anahudhuria.
Kuna wakati tumuogope Mungu, hii mixer sio
ndiyo, mimi si wa dsm.huko kwenu mikoani
kwa kweli kachoka kiface make up zinazeesha face sana ukizoea kuzikandamiza naona wameanza doz kwa tifa atazeeka kabla mh! na badala apake kidogo ndo kwanza full kukandika.hii kitu inatakiwa mara chache sana huko ni kutokujiamin jinsi ulivo.Mama mtu mbona naona kama kachooooka
Angekuwa apeche alolo shekh angemsemea mbovu na wala asishiriki Maulid.Wazinzi wakazini mpaka wakapata watoto, arobaini ya mtoto kukawa na maulid +baikoko+kaswida. Tena Sheikh anahudhuria.
Kuna wakati tumuogope Mungu, hii mixer sio