Kilichojiri kwenye 40 ya Mtoto wa Diamond Platnumz (Nillan Nassib Abdul)

Kilichojiri kwenye 40 ya Mtoto wa Diamond Platnumz (Nillan Nassib Abdul)

Mkuu ni muhimu kuwaandalia wanao mazingira mazuri ...huez jua unaweza pumzi inakata mda wowote halaf hujfanya la maana kwa watoto wako hata kama huna uwezo kama diamond mana kila mtu ataegemea kua wale wana uwezo sjui wana pesa....mwanao ukianza kumwekea kidogo kidogo tokea akiwa mdogo hadi ukubwani ni we mwenyewe uangalie tu kwamba ntamuekea akifika miaka labda 30 kama Mung atakua amekuweka hai basi unampa ulichomuandalia kwa miaka 30. Sio lazima usaini mamikataba kila mtu na level yake ..
KWELI INABIDI TUMUOGOPE MUNGU.SHEKH KAZI YAKE NI KUKEMIA MAOVU HAPO YEYE ANAUNGA MKONO.ANGEWASHAURI WAFUNGE NDOA KWANZA.
Angekuwa apeche alolo shekh angemsemea mbovu na wala asishiriki Maulid.

well said!!!!!
 
Haya jamani wale mashilawadu mlioalikwa kwenye arobaini ya nillani please msitusahau kutupenyezea maubuyu, nillan kaavaje, Jaman mhakikishe mnaichunguza vzur nyumba ya domo mtupe umbea ikoje,maana nasikia sherehe imeanza toka saa tano, mmh kama namuona halima kimwana vile na mijishauo yake mfyuuu

= kinachojiri

Soma bichwa lako la habari.
 
Naskia Kwa Dmnd kulikuwa kama kuna fiesta vile jinsi wasanii walivyotanda, anyway nilifanikiwa kurushiwa hata kapicha sijui ya nani
10e3811cbc3626e547c8814d124ef565.jpg
 
Back
Top Bottom