The Bleiz
JF-Expert Member
- Jan 7, 2012
- 5,070
- 13,511
Ambaye hajawahi kufanya uzinifu na awe wa kwanza kuwarushia mawe.Wazinzi wakazini mpaka wakapata watoto, arobaini ya mtoto kukawa na maulid +baikoko+kaswida. Tena Sheikh anahudhuria.
Kuna wakati tumuogope Mungu, hii mixer sio
Nani leo kutwa nzima mpaka sasa hajatenda dhambi?
Binafsi nipo sehemu fulani napokea rushwa.