Juma chief
JF-Expert Member
- Jun 6, 2016
- 2,764
- 2,366
labda pia ungejifikirisha na..when you say arobaini, ni kumaliza msiba au nini sisi wengine hatuelewei.
yesu alifunga siku 40
msiba unahitimishwa baada ya siku 40
waisrael sjui walifanyeje siku 40
za mwizi pia ni 40...[emoji87] [emoji87] [emoji87]