Kilichojiri kwenye 40 ya Mtoto wa Diamond Platnumz (Nillan Nassib Abdul)

Naona watu mnaanza kurushiana maneno badala ku-appreciate.
 
Mkuu umenifurahisha hahahha hawana senti tano hadi anamaliza chuo [emoji23][emoji23]
 
Ndo mana unakuta pamoja na mambo mengine ya Diamond ila watoto wake watajivunia sana kuwa na baba kama Diamond.
Mkuu ni muhimu kuwaandalia wanao mazingira mazuri ...huez jua unaweza pumzi inakata mda wowote halaf hujfanya la maana kwa watoto wako hata kama huna uwezo kama diamond mana kila mtu ataegemea kua wale wana uwezo sjui wana pesa....mwanao ukianza kumwekea kidogo kidogo tokea akiwa mdogo hadi ukubwani ni we mwenyewe uangalie tu kwamba ntamuekea akifika miaka labda 30 kama Mung atakua amekuweka hai basi unampa ulichomuandalia kwa miaka 30. Sio lazima usaini mamikataba kila mtu na level yake ..
 
Umesahau kitu muhimu saaana
........ anaweza pia leo akatimiza siku 40.. kesho tu kabla ya kusign iyo mikataba.... akarudisha number kwa MUNGU ..
yoote yanawezekana.... usijisahau saaana...
Unaelekeza njia ya usipopajua.
Dunia mapito.
Dah kwakwel hua hamkosekanagi. dah hata mtoto mdogo mnamuombea mabaya kisa kuwaziwa mema
dah aise poleni mnunue sumu mnywe kwa staili hio duh sio kwa uchungu huo
 
Umesahau kitu muhimu saaana
........ anaweza pia leo akatimiza siku 40.. kesho tu kabla ya kusign iyo mikataba.... akarudisha number kwa MUNGU ..
yoote yanawezekana.... usijisahau saaana...
Unaelekeza njia ya usipopajua.
Dunia mapito.
Dah kwakwel hua hamkosekanagi. dah hata mtoto mdogo mnamuombea mabaya kisa kuwaziwa mema
dah aise poleni mnunue sumu mnywe kwa staili hio duh sio kwa uchungu huo
 
Wazinzi wakazini mpaka wakapata watoto, arobaini ya mtoto kukawa na maulid +baikoko+kaswida. Tena Sheikh anahudhuria.

Kuna wakati tumuogope Mungu, hii mixer sio
utaambiwa una roho ya korosho
 
Mama mtu mbona naona kama kachooooka
kwa kweli kachoka kiface make up zinazeesha face sana ukizoea kuzikandamiza naona wameanza doz kwa tifa atazeeka kabla mh! na badala apake kidogo ndo kwanza full kukandika.hii kitu inatakiwa mara chache sana huko ni kutokujiamin jinsi ulivo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…