Ambaye hajawahi kufanya uzinifu na awe wa kwanza kuwarushia mawe.Wazinzi wakazini mpaka wakapata watoto, arobaini ya mtoto kukawa na maulid +baikoko+kaswida. Tena Sheikh anahudhuria.
Kuna wakati tumuogope Mungu, hii mixer sio
Hizo ni risk ambazo hata kwny bsness zipo....so usi zi count for now count profit...kwn ww hufany chochote just bcoz unaeza kufa kesho?Umesahau kitu muhimu saaana
........ anaweza pia leo akatimiza siku 40.. kesho tu kabla ya kusign iyo mikataba.... akarudisha number kwa MUNGU ..
yoote yanawezekana.... usijisahau saaana...
Unaelekeza njia ya usipopajua.
Dunia mapito.
Hahahaha
Idriss kaniua hapo mwisho
Et primce nillan aongee na wananchi
Mkuu ulilenga kunijibu mimi!!?Hizo ni risk ambazo hata kwny bsness zipo....so usi zi count for now count profit...kwn ww hufany chochote just bcoz unaeza kufa kesho?
kweli kabisa mshamba kabisa mtoto ni mtoto let her be upuuz wako hajakuomba umfanyie atafanya badae akikua na kuamua.tuache mikumbo ndo mana mtoto mdogo hashikiki si wakiume wala kike kha!sio kwa tifah tu
Mimi mzazi yoyote anayemsuka rasta bintiye ni mpumbavuuu
Weeeh jamaa umenikumbusha mbali zama zileee
Wakaanga sumu haohuwa hamkosekani!
Dume la mbeguna wewe mshuhuaji ni jnsia gani?!!!
Ni kiongozi mkuu wa Al-Shabab, inasemekana ndo Binadamu katili kuwahi kutokea ulinwenguni mkuunillan ni nani?
Naona umeangalia kwa jicho la tatuKazi ipo.
team papili..papilii.... kwenye ubora...[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] ......wako....Kafanana na Ivan
so sad.Wazinzi wakazini mpaka wakapata watoto, arobaini ya mtoto kukawa na maulid +baikoko+kaswida. Tena Sheikh anahudhuria.
Kuna wakati tumuogope Mungu, hii mixer sio
Yan wanamkomaza [emoji17]Natamani wamnyoe tu mpaka akue ndio wamsuke.
Lakini ukishauri hivyo utaonekana hater.
kuhusu tiffah huko kichwani....
umri nao mkuu +idadi a watoto alifyatua[emoji6] [emoji6] ..!!!.. kiukweli ni grandmaa'.....[emoji87] [emoji87] .....Mama mtu mbona naona kama kachooooka