Kilichojiri kwenye 40 ya Mtoto wa Diamond Platnumz (Nillan Nassib Abdul)

Wamependezaaa [emoji8] [emoji8]

ila make up artists wa zari [emoji35] kamzidisha make up mnooo
Zari amshitaki huyo Mpaka makeup kambandika mi foundation hivi kwanini watizii haheshimu kazi zao jamani
 
Umeona eeh! Akiwa amesuka hii purukushani ya kila asubuhi na jioni unaisahau kwa miezi hata miwili kama siyo zaidi.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] vitoto vngine vilalamishi kwa kweli
 
Usipende kutukana hiyo %80 umeipata kwa kutumia sampo gani??? Unawajua watu waliopo hum ndani??? Usipende kufaya tathmini kwakujitumia ww kama sampo. So kila mtu yupo hum nimaskini anaishi kwakujipekeza kama ww.
 
zile nywele ushawahi kuona wanavyosukaa...??
maamuzi ht km yana madhara...!!!
Sijawahi kuona wanavyo suka ila nimewahi ona watoto wengi tu, tena wa first world wakisukwa. Pia naamini mtu ambaye asha lea watoto zaid ya watatu anajua anacho fanya.
 
Sijawahi kuona wanavyo suka ila nimewahi ona watoto wengi tu, tena wa first world wakisukwa. Pia naamini mtu ambaye asha lea watoto zaid ya watatu anajua anacho fanya.
basi kaka yaishe kwa sababu first world wamesuka waache wasuke
msije sema nna wivu bure!
 
Well said
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…