Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
haipendeziHizi nywele huwa zinauma hatari aisee kumsuka mtoto mitindo ya kiutu uzima nikumkomaza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haipendeziHizi nywele huwa zinauma hatari aisee kumsuka mtoto mitindo ya kiutu uzima nikumkomaza
Huko nikumtesa mtoto tu sijui kwanini hawajiamini na watoto wao.wa-Nigeria wanawapa dawa ya usingizi kabla ya kuwasuka, unakuta katoto ka miaka miwili kamesukwa rasta zile ndogo za masaa 4/5
Yaani tena wanasuka sare na mama.Huko nikumtesa mtoto tu sijui kwanini hawajiamini na watoto wao.
kila mzazi ana maamuzi juu ya mwanae ilimradi havunji sheria na hamdhuru mtoto
Zari amshitaki huyo Mpaka makeup kambandika mi foundation hivi kwanini watizii haheshimu kazi zao jamaniWamependezaaa [emoji8] [emoji8]
ila make up artists wa zari [emoji35] kamzidisha make up mnooo
Hafu huyu bei zake ziko juu ila ndo kawaharibu kabisa mbona Nancy sumari alimpaka vzuriAnaitwa glammadam ndio kawapamba wote
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] vitoto vngine vilalamishi kwa kweli
Mi mwanangu simtesi kusuka nywele kunaumiza na kumfanya mtoto aonekane mtu mzimaYaani tena wanasuka sare na mama.
Mmmh hiyo makeup mpk mtoto?Mama dai tiffaView attachment 469428 nae ana karabatiwa kwanza(hizi make up wengine tumezijulia ukubwani,utotoni tuliibaga kisirisiri enjoface na kujikandika)View attachment 469429
Usipende kutukana hiyo %80 umeipata kwa kutumia sampo gani??? Unawajua watu waliopo hum ndani??? Usipende kufaya tathmini kwakujitumia ww kama sampo. So kila mtu yupo hum nimaskini anaishi kwakujipekeza kama ww.Haya maisha bana huyo mtoto leo anatimiza siku 40 ila kesho anaweza kusign mikataba mbalimbali na account yake ikawa na hela kuliko hata asilimia 80 ya member tulioko JF, yani mtoto anapata pesa kabla hata ya kujua pesa ni nini na matumizi yake ni nini. Hapo wajinga na wapumbavu tunamdharau Diamond wakati tuna watoto hadi wanamaliza vyuo vikuu hawana hata senti tano kwenye account, hawawezi kuishi bila kuajiliwa, kuna wakati tuwe tunawapa watu haki zao sio kukaa kumponda tu.
Sijawahi kuona wanavyo suka ila nimewahi ona watoto wengi tu, tena wa first world wakisukwa. Pia naamini mtu ambaye asha lea watoto zaid ya watatu anajua anacho fanya.zile nywele ushawahi kuona wanavyosukaa...??
maamuzi ht km yana madhara...!!!
Jaman mbona me sijaiona pc ya zar, nitupieni apa plzZari amshitaki huyo Mpaka makeup kambandika mi foundation hivi kwanini watizii haheshimu kazi zao jamani
basi kaka yaishe kwa sababu first world wamesuka waache wasukeSijawahi kuona wanavyo suka ila nimewahi ona watoto wengi tu, tena wa first world wakisukwa. Pia naamini mtu ambaye asha lea watoto zaid ya watatu anajua anacho fanya.
Well saidhuwa hamkosekani!
Wanamchosha mtoto tu na hizo rastaNatamani wamnyoe tu mpaka akue ndio wamsuke.
Lakini ukishauri hivyo utaonekana hater.
Well saidHaya maisha bana huyo mtoto leo anatimiza siku 40 ila kesho anaweza kusign mikataba mbalimbali na account yake ikawa na hela kuliko hata asilimia 80 ya member tulioko JF, yani mtoto anapata pesa kabla hata ya kujua pesa ni nini na matumizi yake ni nini. Hapo wajinga na wapumbavu tunamdharau Diamond wakati tuna watoto hadi wanamaliza vyuo vikuu hawana hata senti tano kwenye account, hawawezi kuishi bila kuajiliwa, kuna wakati tuwe tunawapa watu haki zao sio kukaa kumponda tu.
Nilikua nauangalia upo upande gani?Hii ni israf
Period