Kilichomfukuzisha kazi Maulidi Kitenge Wasafi FM chajulikana

Uzi wako una majungu mengi na maneno ya kubumba.
Diamond alipost kumuaga kitenge akisema kwamba mkataba wake umeisha na ameamua kurudi nyumban(EFM) nashangaa wewe unakuja na maneno ya kutunga sijui umetoa wapi.
 
Ulishirikisha halmashauri ya kichwa chako kabla ya kuandika huo ujinga ?
 
Uzi wako una majungu mengi na maneno ya kubumba.
Diamond alipost kumuaga kitenge akisema kwamba mkataba wake umeisha na ameamua kurudi nyumban(EFM) nashangaa wewe unakuja na maneno ya kutunga sijui umetoa wapi.
Inawezekana amemtema kijanja, kwanini asimuongeze mkataba
 
Now days umekua namihemko sana kma teenagers, umejuaje kma hio ndio issue iliomuondoa kazin??
 
Hilo la kusafiri lipo ndani ya mkataba
Majizo kavunja tu benki ili kuvunja mkataba
Bakhresa alipotaka kuimarisha Ufm alivunja benki na kumnunua Mussa Kawambwa toka wasafi ambae sidhani kama alishamaliza mwaka toka ajiunge na wasafi kutoka Azam Tv
Huu ni wakati wa biashara huria,vijana wanapiga pesa kwa kutumia makoo yao,wewe kama umeajiriwa Radio Tanzania,kaa hapo hapo kwa miaka 30,halafu uzawadiwe baiskeli na cheti
 
"Kutoka kwenye chanzo cha karibu " nilivyo ona hivi nikajua ni uongo.

Huyo chanzo cha karibu, mara nyingi anakuwaga mfanyakazi wa Shigongo so huu umbea, Kitenge watu wamempandia dau,kama wao walivyo mpandia dau kipindi akiwa EFM.

 
🤣
 
Mimu nilijua anatumwa na Ofisi huko marekani kumbe anaenda kwa shughuli zake binafsi. Hata mimi ningekua diamond nimfukuzia mbali.
 
Au diamond ana ona wivu kwann mfanyakazi wake ana kwenda sana merekani kuliko yeye boss ? ..huu wivu mbaya sanaaaa
[emoji1][emoji1][emoji1] Nilitazama leo akiwa efm live na kasuti kake na sun glass zake .......
Kwahiyo unamanisha diamond hana uwezo wa kwenda huko marekani?
 
Mkataba wa kitenge alikuwa analipwa 600k per month hivo Kuna vipengele vikawa vinampa Uhuru wa kwenda safari zake ili arikave kwahiyo suala la kuondoka ni kwa mutual understanding baina ya wasafi na kitenge maana mkataba imeisha katika kutaka waingie mkataba mpya wasafi wakataka kumlimit safari za nje kwa madai hata boss wake hasafiri Mara kwa Mara na wakaahidi kumlipa 650k per month kutoka 600k per month
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…