Kilichomfukuzisha kazi Maulidi Kitenge Wasafi FM chajulikana

Na yeye anasaka 2m za umc kwenye masherehe ya watu

Iyo tasnia ina mwenyewe bana mc garab yule jamaa hapana kwa kweli kuanzia jumatano mpaka jumapili already booked kila wiki.....aliesema hawa watu walipe kodi alikuwa sahihi sana
Kwakweli Ile kaz ina wenyewe
Na ukishajulikana kwenye sherehe
Kumi bas 4 n zako

Anajikosha huko Ila hamna ktu kaisha
 
Mkuu umepiga mulemule!

Mleta mada Oscar Ndauka, ni ripota wa magazeti ya udaku ya Shigongo!
 
Haaaaaa kumbe

Sent from my CPH2015 using JamiiForums mobile app
 
Diamond hana uwezo wakumuachisha kazi kitenge acha kudanganya watu ww mtoa mada hivi huyo diamond kila anavyowadanganya mnakubali
 
Kurudi Tu efm watu wamepanda na dau
 
Na yeye anasaka 2m za umc kwenye masherehe ya watu

Iyo tasnia ina mwenyewe bana mc garab yule jamaa hapana kwa kweli kuanzia jumatano mpaka jumapili already booked kila wiki.....aliesema hawa watu walipe kodi alikuwa sahihi sana
Huna tofauti na mwigulu, na kama nawe ni mmoja ya wanaolalamikia Tozo utakuwa na unafki ndani yako
 
Diamond hana uwezo wakumuachisha kazi kitenge acha kudanganya watu ww mtoa mada hivi huyo diamond kila anavyowadanganya mnakubali
Duh! Unamaanisha Nini kuwa Hana uwezo"?
 
Hivi ni nani anayegharamia hizi safari? Mimi nna wasi wasi na huyu jamaa, anaonekana ni member wa Cabal fulani yupo kwa kazi maalumu.
Namkumbuka jinsi alivomsukuma yule askari mwenye bastola aliyemtishia Nape.
 
Hili andiko linaonekana wazi wazi limeandikwa "kitandale tandale" yaani akili za akina Babu Tale, Manara na Diamond mwenyewe....Kama wangemfukuza kazi wasingekimbilia kuhonga mamilioni hili kufunga akaunyi zake za twitter na Instagram..wamefanya hivyo kwa kuogopa nguvu aliyonayo mtandaoni na kwa akili yao ndogo wakadhani wakifanya "makaratee" akaunti zake zikafungwa watakuwa wamemmaliza kumbe ndio sasa wanamtengezea soko jipya zaidi kwani wale wa zamani watamtafuta na kuambiwa alipo sasa arafuy wale waliokuwa hawamjui /au wasiomfuata kama mimi sasa watataka au tutataka kumjua zaidi... atizo Mondy alivyomchukua akajisahau akidhani yeye ndiyo kila kitu katika kuwamiliki watangazaji maarufu..Hek kwa Majizzo akili kubwa
 
650K per month Dola au madafu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…