Kilichomkuta baba yangu miaka kadhaa iliyopita kisa kuvaa kanzu bila nguo ya ndani, soma ujifunze kitu

Kilichomkuta baba yangu miaka kadhaa iliyopita kisa kuvaa kanzu bila nguo ya ndani, soma ujifunze kitu

secretarybird

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2024
Posts
23,984
Reaction score
51,055
Ilikuwa mwaka 1998 mwezi wa tatu ambapo baba yangu alikumbwa na balaa zito lisiloelezeka kirahisi.

Kwanza kabisa, baba yangu alikuwa anapendea sana kuvaa kanzu, na ni mara chache sana kumkuta akiwa amevaa nguo nyingine tofauti na kanzu.

Baba yangu anawapenda sana mbwa na paka, na Kwa kipindi kile pale nyumbani tulikuwa na paka wawili na mbwa watatu huku wanyama wote watano yaani paka wawili na mbwa watatu walikuwa na majina yao mazuri tu, tena ya wachezaji wanaocheza soka kule barani Ulaya.

Baba yangu hupenda kujumuika na mama katika shughuli mbalbali kama vile kupika, kufua, na kadhalika. Sasa siku moja mama alikuwa anapika (kwenye jiko la mkaa), baba alikuwa amekaa upande wa kushoto mama upande wa kulia huku wakipiga story za hapa na pale. Pembeni yao alikuwepo paka mmoja (ambaye tulikuwa tunamwita Bobby Charlton) akiwa anaagilia angalia, nadhani mnajua tabia ya paka awapo karibu na wale wampendao.

Sasa bhana, kumbe baba alikuwa amevaa tu kanzu pasina nguo yoyote ndani na kusema ukweli Mzee alikuwa na dushelele leusi, refu, nene na lililoshiba haswa (Mimi nilirithi dushelele kutokwa kwake kama hamjui). Nadhani ile dushelele/nyeti ya Mzee ilikuwa inapumua kimtindo, yaani ni kama inasimama inagoma.

Aisee, paka Bobby Charlton, akaona dushelele la mzee, sasa sijui alifikiria labda amemwona panya au ilikuwaje. Isivyobahati akalirukia na kuanza kulirarua rarua. Mzee akanyanyuka, akaanza kupiga makelele, mimi na mdogo wangu tulitimua mbio kuelekea ndani, tulimkuta Mzee ameshikilia kanzu yake juu huku uume umetapakaa damu wakati huo akiendelea kupiga makelele.

Dah, ilikuwa aibu tupu maana mama na baba wote walikuwa pale nikawa nauliza kilichotokea huku nimewageuzia mgongo. Nilipoambiwa paka ndiye aliyesababisha lile tukio nilishangaa sana Kwa sababu mwanzoni nilidhani labda tatizo lilikuwa moto.

Nilijiuliza maswali mengi sana sikupata majibu siiku ileile, ila baada ya Mzee kupata matibabu na kupona ndipo akanihadithia kuanzia A hadi Z hadi nilishangaa sana.

Cha kushangaza ndugu zangu wakaanza kuamini kuwa yule paka ni kama alifanya lile tukio kutokana na mpango wa wachawiili, Mimi niliwapinga vikali, nikawwqmbia kuwa yule paka alifanya lile tukio kwa sababu za kawaida tu, kwamba 'alidhani uume wa Mzee ni msosi mzuri kwake'.

Mzee alipona lakini uume wake haukuwa katika shepu nzuri kama ulivyokuwa mwanzo na sijui kama moto aliendelea kumpelekea mama kunako sita kwa sita kama ilivyojadi yake.

Nimewaletea mkasa huu ili kama Kuna yeyete humu asiyevaa bukta ama boksa ndani ya kanzu aache mara moja tabia hii kwa maana ajali inaweza kumtokea muda wowte kama ilivyo kwa baba yangu.

adriz.
 
Kuna kisa Cha Mzee mmoja mtaani nlipokulia.ni mzanzibari na familia yake.alikuwa mjumbe wa nyumba kumi
Utamaduni wake siku zote anavaa msuli tu na vest.
Akivaa kanzu ni ananebda maikitini,akivaa suruali au shati ni mjini au mambo ya kiofisi
Siku Moja asubuhi yupo nyumbani akaamua kupanda mnazi wake hapo mbele ya nyumba ,alipofika juu kabisa msuli nao ukaachia ukadondoka.na ndani hajavaa kitu..na minazi ni Ile mirefu sana ya zamani .mtaa mzima ilikuwa taharuki
 
Umetuonaje mzee kumbe bado kuna watu wazima wana fix, Kanzu ya mzee wako ilikuwa nusu kanzu au kanzu kipensi?
Mzee alikuwa amekaa kwenye kigoda hivyo mzigo wake ukawa bayana kwa paka 'bobby Charlton' ndipo ukarkiwa kiulaini.
 
Kuna kisa Cha Mzee mmoja mtaani nlipokulia.ni mzanzibari na familia yake.alikuwa mjumbe wa nyumba kumi
Utamaduni wake siku zote anavaa msuli tu na vest.
Akivaa kanzu ni ananebda maikitini,akivaa suruali an shati ni mjini au mambo ya kiofisi
Siku Moja asubuhi yupo nyumbani akaamua kuanda mnazo wake hapo mbele ya nyumba ,alipofika juu kabisa msuli nao ukaachia ukadondoka.na ndani hajavaa kitu..mtaa mzima ilikuwa taharuki
Mpaka ukifanikiwa kushuka wahuni washakupost telegram 😅
 
Kuna kisa Cha Mzee mmoja mtaani nlipokulia.ni mzanzibari na familia yake.alikuwa mjumbe wa nyumba kumi
Utamaduni wake siku zote anavaa msuli tu na vest.
Akivaa kanzu ni ananebda maikitini,akivaa suruali an shati ni mjini au mambo ya kiofisi
Siku Moja asubuhi yupo nyumbani akaamua kupanda mnazi wake hapo mbele ya nyumba ,alipofika juu kabisa msuli nao ukaachia ukadondoka.na ndani hajavaa kitu..na minazi ni Ile mirefu sana ya zamani .mtaa mzima ilikuwa taharuki
Haya mambo omba sana yasikutokee mkuu. Utatamani ardhi ipausuke ujifuche.
 
Ilikuwa mwaka 1998 mwezi wa tatu ambapo baba yangu alikumbwa na balaa zito lisiloelezeka kirahisi.

Kwanza kabisa baba yangu alikuwa anapendea sana kuvaa kanzu na ni mara chache sana kumkuta akiwa amevaa nguo nyingine tofauti na kanzu.

Baba yangu anawapenda sana mbwa na paka na Kwa kipindi kile, pale nyumbani tulikuwa na paka wawili na mbwa watatu huku wanyama wote watano yaani paka wawili na mbwa watatu walikuwa na majina yao mazuri tu tena ya wachezaji wanaocheza soko kule barani Ulaya.

Baba yangu hupenda kujumuika na mama katika shughuli mbalbali kama vile kupika kufua na kadhalika. Sasa siku moja mama alikuwa anapika (kwenye jiko la mkaa), baba alikuwa amekaa upande wa kushoto mama upande wa kulia huku wakipiga story za hapa na pale. Pembeni yao alikuwepo paka mmoja (ambaye tulikuwa tunamwita Bobby Charlton) akiwa anadekadeka, nadhani mnajua tabia ya paka awapo karibu na wale wampendao.

Sasa bhana, kumbe baba alikuwa amevaa tu kanzu pasina nguo yoyote ndani na kusema ukweli Mzee alikuwa na dushelele leusi, refu, nene na lililoshiba haswa (Mimi nilirithi dushelele kutokwa kwake kama hamjui). Nadhani ile dushelele/nyeti ya Mzee ilikuwa inapumua kimtindo yaani ni kama inasimama inagoma.

Aisee, paka Bobo Charlton, akaona dushelele la mzee, sasa sijui alifikiria labda amemwona panya au ilikuwaje. Isivyobahati akalirukia na kuanza kulirarua rarua. Mzee akanyanyuka, akaanza kupiga makelele, mimi na mdogo wangu tulitimua mbio kuelekea ndani, tulimkuta Mzee ameshikilia kazu yake juu huku uume umetapakaa damu wakati huo akiendelea kupiga makelele.

Dah, ilikuwa aibu tupu maana mama na baba wote waliokuwa pale nikawa nauliza kilichotokea huku nimewageuzia mgongo. Nilipoambiwa paka ndiye aliyesababisha lile tukio nilishangaa sana Kwa sababu mwanzoni nilidhani labda tatizo ni moto.

Nilijiuza maswali mengi sana sikupata majibu siiku ile, ila baada ya Mzee kupata matibabu ndipo akanihadithia kuanzia A hadi Z hadi nilishangaa sana.

Cha kushangaza ndugu zangu wakaanza kuamini kuwa yule paka ni kama alifanya like tukio kutokana na mpango wa wachawiili Mimi niliwapinga vikali nikawwqmbia kuwa yule paka alifanya like tukio kwa sababu za kawaida tu, kwamba akidhani uume wa Mzee ni msosi mzuri kwake.

Mzee alipona lakini uume wake haukuwa katika shepu nzuri kama ulivyokuwa mwanza na sijui kama moto aliendelea kumpekea mama kunako sita kwa sita kama ilivyojadi yake.

Nimewaletea mkasa huu Ili kama Kuna yeyete humu asiyevaa bukta ama boksa ndani ya kanzu aache mara moja tabia hii kwa maana ajali I mbioni kumtokea kama ilivyo kwa baba yangu.

Nyau de adriz.
images.jpg
 
Me stak kujua kama ni kweli au la.lakin kwenye dini yetu kufuga paka na mbwa kuna najisi kubwa mno ambazo kibinadamu ni ngumu kumzuia mbwa au paka asiwatie najisi nyumbani
 
Back
Top Bottom