Hii ni true story.
Yote kwa yote Dunia ina mambo sana.Acha.zamani qalikuw ana heshima so matukio yanatokea kama hivyo yanapita
Basi taarifa ikufikie kuwa sisi tulipendelea kuwafunga wanyama uliowataja na tuliheshimiwa sana na waumini wenzetu hadi pale paka alipomfanyia Mzee kitu roho yake haipendi.Me stak kujua kama ni kweli au la.lakin kwenye dini yetu kufuga paka na mbwa kuna najisi kubwa mno ambazo kibinadamu ni ngumu kumzuia mbwa au paka asiwatie najisi nyumbani
Tangazo hilo, hapo kwenye dude jeusi nene sijui nini nini, yani kiufupi ana bolo la maana la kurithi kumbuka vya kurithi vinazidiChai bana, sema sukari umepunja mwanetu..!! 😹😹
Ila we jamaa 😀😀😀Paka Charlton wanafamilia walitaka kumuua lakini mini nikasimama kidete kumtetea. Si unajua pale home mi ndo naheshimika?
🤣🤣🤣🤣Kuna kisa Cha Mzee mmoja mtaani nlipokulia.ni mzanzibari na familia yake.alikuwa mjumbe wa nyumba kumi
Utamaduni wake siku zote anavaa msuli tu na vest.
Akivaa kanzu ni ananebda maikitini,akivaa suruali au shati ni mjini au mambo ya kiofisi
Siku Moja asubuhi yupo nyumbani akaamua kupanda mnazi wake hapo mbele ya nyumba ,alipofika juu kabisa msuli nao ukaachia ukadondoka.na ndani hajavaa kitu..na minazi ni Ile mirefu sana ya zamani .mtaa mzima ilikuwa taharuki
Amina sana!Tangazo hilo, hapo kwenye dude jeusi nene sijui nini nini, yani kiufupi ana bolo la maana la kurithi kumbuka vya kurithi vinazidi
😂Ila we jamaa 😀😀😀
Achangamkie fursa etiiiTangazo hilo, hapo kwenye dude jeusi nene sijui nini nini, yani kiufupi ana bolo la maana la kurithi kumbuka vya kurithi vinazidi
Alinionesha huku akisema "...mungu ni mkubwa, sikujua kama ningepona...".Mmh! Nilitaka kuuliza sa ulijuaje kama ulipopona huo mnaniliu haukuwa na hiyo shepu nzuri?
Ila basi tu Mkuu.
Wala siitumii.Mtoa mada punguza bangi
Au hii ID yako imekodiwa na lile groupWala siitumii.
Group gani mkuu.Au hii ID yako imekodiwa na lile group