secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
- Thread starter
- #61
Yaani Mimi namtetea dhidi ya wahuni halafu anaimalize?Anza na The Mongolian Savage afutike kabisa ulimwenguni halafu umalizie na secretarybird
Inasikitisha!

Harufu siyo sana.Chai hii,paka hua havamii tu kwa kuona,pia na harufu inahusika
Jamaa kajipakulia minyama sana ndo vile mi sio mpenzi wa hizo dude kubwa neneAchangamkie fursa etiii
Subiri uone utakavyoshughulikiwaYaani Mimi namtetea dhidi ya wahuni halafu anaimalize?
Inasikitisha!
Yule ni jamaa yangu sana na ananiheshimu kama kiongozi wake humu.Subiri uone utakavyoshughulikiwa
Maarass!
Ayatollah subiri ballistic missileYule ni jamaa yangu sana na ananiheshimu kama kiongozi wake humu.
Mimi ndiye Ayatollah wa JF bhana!
Niko gado.Ayatollah subiri ballistic missile
Au wewe muisrael unamtegemea mmarekani?Niko gado.
Hapana. Natosha!Au wewe muisrael unamtegemea mmarekani?
Na wale wenzioHapana. Natosha!
Wale nawasaidia tu.Na wale wenzio
😹😹😹 Anashusha nyavu mvuvi haramu..!!Tangazo hilo, hapo kwenye dude jeusi nene sijui nini nini, yani kiufupi ana bolo la maana la kurithi kumbuka vya kurithi vinazidi
nimechoka kwa sauti,ny mpe pole mshuaIlikuwa mwaka 1998 mwezi wa tatu ambapo baba yangu alikumbwa na balaa zito lisiloelezeka kirahisi.
Kwanza kabisa, baba yangu alikuwa anapendea sana kuvaa kanzu, na ni mara chache sana kumkuta akiwa amevaa nguo nyingine tofauti na kanzu.
Baba yangu anawapenda sana mbwa na paka, na Kwa kipindi kile pale nyumbani tulikuwa na paka wawili na mbwa watatu huku wanyama wote watano yaani paka wawili na mbwa watatu walikuwa na majina yao mazuri tu, tena ya wachezaji wanaocheza soka kule barani Ulaya.
Baba yangu hupenda kujumuika na mama katika shughuli mbalbali kama vile kupika, kufua, na kadhalika. Sasa siku moja mama alikuwa anapika (kwenye jiko la mkaa), baba alikuwa amekaa upande wa kushoto mama upande wa kulia huku wakipiga story za hapa na pale. Pembeni yao alikuwepo paka mmoja (ambaye tulikuwa tunamwita Bobby Charlton) akiwa anaagilia angalia, nadhani mnajua tabia ya paka awapo karibu na wale wampendao.
Sasa bhana, kumbe baba alikuwa amevaa tu kanzu pasina nguo yoyote ndani na kusema ukweli Mzee alikuwa na dushelele leusi, refu, nene na lililoshiba haswa (Mimi nilirithi dushelele kutokwa kwake kama hamjui). Nadhani ile dushelele/nyeti ya Mzee ilikuwa inapumua kimtindo, yaani ni kama inasimama inagoma.
Aisee, paka Bobby Charlton, akaona dushelele la mzee, sasa sijui alifikiria labda amemwona panya au ilikuwaje. Isivyobahati akalirukia na kuanza kulirarua rarua. Mzee akanyanyuka, akaanza kupiga makelele, mimi na mdogo wangu tulitimua mbio kuelekea ndani, tulimkuta Mzee ameshikilia kanzu yake juu huku uume umetapakaa damu wakati huo akiendelea kupiga makelele.
Dah, ilikuwa aibu tupu maana mama na baba wote walikuwa pale nikawa nauliza kilichotokea huku nimewageuzia mgongo. Nilipoambiwa paka ndiye aliyesababisha lile tukio nilishangaa sana Kwa sababu mwanzoni nilidhani labda tatizo lilikuwa moto.
Nilijiuliza maswali mengi sana sikupata majibu siiku ileile, ila baada ya Mzee kupata matibabu na kupona ndipo akanihadithia kuanzia A hadi Z hadi nilishangaa sana.
Cha kushangaza ndugu zangu wakaanza kuamini kuwa yule paka ni kama alifanya lile tukio kutokana na mpango wa wachawiili, Mimi niliwapinga vikali, nikawwqmbia kuwa yule paka alifanya lile tukio kwa sababu za kawaida tu, kwamba 'alidhani uume wa Mzee ni msosi mzuri kwake'.
Mzee alipona lakini uume wake haukuwa katika shepu nzuri kama ulivyokuwa mwanzo na sijui kama moto aliendelea kumpelekea mama kunako sita kwa sita kama ilivyojadi yake.
Nimewaletea mkasa huu ili kama Kuna yeyete humu asiyevaa bukta ama boksa ndani ya kanzu aache mara moja tabia hii kwa maana ajali inaweza kumtokea muda wowte kama ilivyo kwa baba yangu.
adriz.
Zemefika mkuu.nimechoka kwa sauti,ny mpe pole mshua
Ukimsifia baba anadushelele kubwa na mama anapia msifie kuwa na shimo kubwaIlikuwa mwaka 1998 mwezi wa tatu ambapo baba yangu alikumbwa na balaa zito lisiloelezeka kirahisi.

Shimo la mama sijaliona.Ukimsifia baba anadushelele kubwa na mama anapia msifie kuwa na shimo kubwa
Lakni Kwa kuangalia mtalimbo wa mzee wako na kaichapa sana hamna hamna anaweza shindana na yule bint wa udsm sindio?Shimo la mama sijaliona.
Nadhani yule binti wa udsm akasome kidogo. Mtalimbo wa Mzee haumithiliki kabisa yaani!Lakni Kwa kuangalia mtalimbo wa mzee wako na kaichapa sana hamna hamna anaweza shindana na yule bint wa udsm sindio?