Kilichompaisha jamaa ni kelele nyingi na kuminya vyombo vya habari tu la sivyo hamna kitu alichofanya

Wakati wake Tribalism ilikuwa inarejea kwa kasi kubwa na sasa kwa Bibie tunashuhudia Nepotism ikichengerwa kwa kasi kubwa.

Kulikuwa kuna hizi so called "Task forces" zilikuwa zimejazwa Wasukuma wa aina mbalimbali pamoja na Wanyantuzu.
 
Aliyepita alisaidiwa na kelele nyingi kila anapoenda anawapiga fix wananchi kwa mbwembwe nyingi wakabaki wanamuomba yeye tu. Si unajua wananchi wanavyopenda kuongopewa mbaya zaidi ukienda na strategy ya kutumbua tena hadharani hivyo wananchi wanapenda ili tu kumkomoa mwingine afanane nao kwa umaskini.

Ila ki ukweli hamna kitu kilichofanyika ukilinganisha na awamu hii.

Bahati nzuri yake alivinyima fursa vyombo vya habari kuandika chochote kama vinavyofanya Sasa hivi ambapo hata matusi vinaandika.

Mbaya zaidi pia mikutano ya siasa akaipiga teke ili tu yeye ndo abaki anaupiga siasa peke yake kwa hiyo wanachi hawakupata kabisa fursa ya madudu yake wakabaki wanasifia tu anayekosoa anapotezwa mazima ikabaki ni wogo nchi nzima mpaka ukiwa kwenye daladala unaonywa na watu usiongelee siasa vinginevyo utapotea. Tukawa tunaogopana sisi kwa sisi.
Magufuli ni Rais wa hovyo kuwahi kutokea Tanzania. Alikuwa muuaji, mwizi wa mali ya umma na mwongo, mkandamiza demokrasia na mtu asiyefuata utawala wa sheria. Kama angekuwa bado hai leo hii Taifa letu lingekuwa na mpasuko mkubwa kiuchumi kisiasa na kijamii kuliko zilivyo Yemen na Somalia. Tuendelee kumshukuru Mungu kwa kutuondolea yule shetani
 
Ila ki ukweli hamna kitu kilichofanyika ukilinganisha na awamu hii.

Bahati nzuri yake alivinyima fursa vyombo vya habari kuandika chochote kama vinavyofanya Sasa hivi ambapo hata matusi vinaandika.
kawaulize CHADEMA hivyo vyombo vya habari habari zao zimeandikwa wapi?
Wewe hata propaganda ya kijinga huwezi kuitunga. Angalia mfano huu hapa chini:

Kutafuta kuwauza waTanzania utumwani, nalo limekuwa jambo la kujivunia siku hizi?

Naomba unielewe vizuri, mimi simtetei huyo unayesema alikuwa na kelele nyingi sana, lakini ukimlinganisha huyo mwenye kelele na huyu anayelembua macho katika mambo mengi, ni bora nibaki na huyo mwenye kelele, ambaye kuna mambo hadi sasa yanaonekana.
Huyu anayekuwezesha wewe kwenda chooni wewe na kuja hapa na mada kama hii, ni janga kwa nchi yetu.

Unaitwa nani vile, 'Mkungunero'? Inabidi nikariri jina hili ili nisipoteze muda wangu kusoma ujinga .
 
Aliyepita alisaidiwa na kelele nyingi kila anapoenda anawapiga fix wananchi kwa mbwembwe nyingi wakabaki wanamuomba yeye tu. Si unajua wananchi wanavyopenda kuongopewa mbaya zaidi ukienda na strategy ya kutumbua tena hadharani hivyo wananchi wanapenda ili tu kumkomoa mwingine afanane nao kwa umaskini.

Ila ki ukweli hamna kitu kilichofanyika ukilinganisha na awamu hii.

Bahati nzuri yake alivinyima fursa vyombo vya habari kuandika chochote kama vinavyofanya Sasa hivi ambapo hata matusi vinaandika.

Mbaya zaidi pia mikutano ya siasa akaipiga teke ili tu yeye ndo abaki anaupiga siasa peke yake kwa hiyo wanachi hawakupata kabisa fursa ya madudu yake wakabaki wanasifia tu anayekosoa anapotezwa mazima ikabaki ni wogo nchi nzima mpaka ukiwa kwenye daladala unaonywa na watu usiongelee siasa vinginevyo utapotea. Tukawa tunaogopana sisi kwa sisi.
Ni kichaa peke yake asiyweza kuona kazi kubwa ya awamu ya Tano
 
kawaulize CHADEMA hivyo vyombo vya habari habari zao zimeandikwa wapi?
Wewe hata propaganda ya kijinga huwezi kuitunga. Angalia mfano huu hapa chini:
Kutafuta kuwauza waTanzania utumwani, nalo limekuwa jambo la kujivunia siku hizi?

Naomba unielewe vizuri, mimi simtetei huyo unayesema alikuwa na kelele nyingi sana, lakini ukimlinganisha huyo mwenye kelele na huyu anayelembua macho katika mambo mengi, ni bora nibaki na huyo mwenye kelele, ambaye kuna mambo hadi sasa yanaonekana.
Huyu anayekuwezesha wewe kwenda chooni wewe na kuja hapa na mada kama hii, ni janga kwa nchi yetu.

Unaitwa nani vile, 'Mkungunero'? Inabidi nikariri jina hili ili nisipoteze muda wangu kusoma ujinga .
Habari za chadema zinaandukwa na Tanzania daima ambayo lilifungiwa kipindi Cha jpm Sasa lipo huru kuandika kila kitu
 
Na hivyo vingine vyote vimezuiwa na nani kuandika habari za CHADEMA?
Havijazuiwa Bali ni biashara tu. Wale wamiliki waliona chadema wameongea kisichouzika hawaandiki pumba. Kumbuka hawaandiki tu kujifurahisha wanaandika ili wauze mana hawana ruzuki kutoka serikalini
 
Ruzuku ya Nepy na yule comical Abbas wewe huijui?
Kwanza nimekuvumilia sana.
Acha upumbavu.
 
Sema Magu majizi mengi sana aliyatoa kwenye reli, kile kibano mpaka leo bado yanapiga mayowe....
Bi.tozo anaupiga mwingi au sio?
 
Mdude kila siku anatukana kupitia twita na popote pale hajapotezwa. Ingekuwa enzi zile tubgekuwa tunaongra mengine. Hata slaa Sasa hivi anatukana tu anvyojisikia
Mdude sio chombo cha habari. Taja chombo kinachorusha hewani habari kwa uhuru, za uchambuzi, za matatizo ya umeme, mfumuko wa bei, makodi ya wizi, ya uzembe wa Rais, ya ufisadi.
 
Ukiwa shoga ni hasara sana kwa taifa na familia kwa ujumla.

Mpumbavu unakaa na kuanzisha mada ya kichoko kumpinga mtu mmoja mwenye akili ya kuongoza taifa na kum compare na garasa flani. Your azz should be sorry to be installed in that body
Kwani mkuu ukichangia hoja yako bila matusi unapungua nini? Pinga hoja yake kwa kuweka mazuri ya unayemtetea.

Kwa hasira na matusi yako, vina fanya hoja yake ionekani kuwa ya kweli, maana wahenga walisema, nanukuu "ukweli unaumwa! "
 
Back
Top Bottom