Kilichompaisha jamaa ni kelele nyingi na kuminya vyombo vya habari tu la sivyo hamna kitu alichofanya

Kilichompaisha jamaa ni kelele nyingi na kuminya vyombo vya habari tu la sivyo hamna kitu alichofanya

Kwamba hakuna flyover zilizojengwa
Bwawa la mwalimu Nyerere ilikuwa kelele tu hakuna lolote
Barabara hazikujengwa ni vyombo vya habari tu vilikuwa vinatangaza
Mahospitali hayakujengwa
Masoko makubwa na ya kisasa hayakufanywa kabisa yaani
Stand za mabasi zile ni fix tu hazikujengwa
Ndege gani zilinunuliwa wakati ni vyombo vya habari tu vilikuwa vinalazimishwa kutangaza kuwa tumenunua ndege
Viwanja vikubwa vya ndege wala hata havikujengwa ni matangazo tu hayo
Huduma za jamii na nidhamu kazini wala havikuwepo sema sasa vyombo vya habari vilivyokuwa vinatupiga fix
Mashule yote makubwa ya zamani lini yalikarabatiwa na kuonekana ya kisasa hapana bwana vyombo vya habari vilitekwa ili vitangaze vitu ambavyo havipo
SGR ni lini ilionekana ikijengwa wakati wake hizo ni fix tu za anko alizokuwa anazifanya ili watu wamkubali
Na kadhalika na kadhalika.

Mi nadhani hata kama tunaamini kuwa kwa kumchafua Magufuli itatufanya tuonekane tumepiga kazi kuna wakati tuwe na aibu huyo mtu alifanya kazi kubwa sana kwa taifa hili mapungufu ni machache kuliko mazuri. Mama yetu hakubaliki kwa kumchafua mtangulizi wake bali atakubalika kwa kufanya kazi kizalendo na kuyaficha yote yaliyofanyika awamu ile otherwise tunajichafua zaidi badala ya kumchafua.
 
Aliyepita alisaidiwa na kelele nyingi kila anapoenda anawapiga fix wananchi kwa mbwembwe nyingi wakabaki wanamuomba yeye tu. Si unajua wananchi wanavyopenda kuongopewa mbaya zaidi ukienda na strategy ya kutumbua tena hadharani hivyo wananchi wanapenda ili tu kumkomoa mwingine afanane nao kwa umaskini.

Ila ki ukweli hamna kitu kilichofanyika ukilinganisha na awamu hii.

Bahati nzuri yake alivinyima fursa vyombo vya habari kuandika chochote kama vinavyofanya Sasa hivi ambapo hata matusi vinaandika.

Mbaya zaidi pia mikutano ya siasa akaipiga teke ili tu yeye ndo abaki anaupiga siasa peke yake kwa hiyo wanachi hawakupata kabisa fursa ya madudu yake wakabaki wanasifia tu anayekosoa anapotezwa mazima ikabaki ni wogo nchi nzima mpaka ukiwa kwenye daladala unaonywa na watu usiongelee siasa vinginevyo utapotea. Tukawa tunaogopana sisi kwa sisi.
Wajinga wachache kama nyie hamuwezi kuondoa mazuri ya magufuli.ila mtakachopata ni kuonekana wajinga mfano kama hapa umetukanwa sana kwa sababu umeonesha ujinga.usirudie tena huu ujinga.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Aliyepita alisaidiwa na kelele nyingi kila anapoenda anawapiga fix wananchi kwa mbwembwe nyingi wakabaki wanamuomba yeye tu. Si unajua wananchi wanavyopenda kuongopewa mbaya zaidi ukienda na strategy ya kutumbua tena hadharani hivyo wananchi wanapenda ili tu kumkomoa mwingine afanane nao kwa umaskini.

Ila ki ukweli hamna kitu kilichofanyika ukilinganisha na awamu hii.

Bahati nzuri yake alivinyima fursa vyombo vya habari kuandika chochote kama vinavyofanya Sasa hivi ambapo hata matusi vinaandika.

Mbaya zaidi pia mikutano ya siasa akaipiga teke ili tu yeye ndo abaki anaupiga siasa peke yake kwa hiyo wanachi hawakupata kabisa fursa ya madudu yake wakabaki wanasifia tu anayekosoa anapotezwa mazima ikabaki ni wogo nchi nzima mpaka ukiwa kwenye daladala unaonywa na watu usiongelee siasa vinginevyo utapotea. Tukawa tunaogopana sisi kwa sisi.
Hata kama kusoma hatujui picha twaweza kuona! Unadhani hata tunahitaji mtu atuambie kwamba Magu anajenga rail way ya train umeme? Au Magu anajenga bwana la umeme la Mwl Julius Nyerere? Au kuna mafisadi yametumbuliwa mahali? Kweli hayo yote si wote tulishuhudia???????????

Wewe ni nani kutuambia Magu hakufanya kitu????? Unadhani hatukuona aliyokuwa anayafanya?????

Ni mjinga tu anayeweza kuamini upumbavu wako!! Tuondolee siasa uchwara wako hapa! Tunahitaji kazi!

Wengi mnaosema hakufanya kitu na mafisadi! Inawezekana wazi kuna madili mmepiga na mnataka kujificha nyuma ya kivuli kwamba hakufanya kitu! Haya sasa tukuulize, WEWE UMEFANYA NINI? Maana rais Kennedy wa Marekani alipata kusema, usiulize Marekani itakufanyia nini, jiulize, utaifanyia nini Marekani??

Ningekuwa mimi, ningeona aibu hata kuandika ulichoandika!
 
Usichokijua ni sawa na usiku wa giza. Akili yako Bado finyu sana. Ile Barbara ya kimara imeanza kujengwa tangu enzi za kikwete jpm kaja kumaliza vivyo hivyo Samia amemaliza miradi yote ya jpm. Jpm amekufa miradi haijafikia hata 30 percent.Au ulitaka Samia aiterekeze aanzishe vya kwake? Hana roho mbaya kama mwendazake ambaye alitelekeza miradi yote ya jk na kuanzisha vyake ilu kupata misifa na kutwa kumtukana jk wakati wakati wa jk hakuna mwalimu Wala daktari hakupa ajira ukimaliza tu subili mwakani unapata ajira tena bila kuomba. Kila kitu jpm ndo alikuja kuharibu ndo akajaza machinga kibao mtaani wasomi. Rais Gani unamaliza five years hujaajiri yeyote wakati kilaa mwaka wanagraduate.
Mara barabara alimalizia ya jk mara alitelekeza yaani mapoyoyo huwa hamna hata kumbukumbu
 
Yaelekea ulikua umelala sasa umekurupuka nakuanza kuongea.

Wakati wa Magufuli maendeleo na uwajibikaji kwenye sekta za SERIKALI ulikua unaona na maendeleo yaliendelea kwa kasi sana wewe Nyau.
 
Kitu pekee cha kuwafariji kwa sasa ni kumkejeli asiyekuwepo.

Huduma za msingi kama maji na umeme zipo hoi,NHIF ipo hoi taabani, Miradi Mikubwa yote haitakamilika kwa wakati.
 
Enzi za Kayafa hata wasaidizi wake walijua sana kupiga propaganda😁😁😁
 
Hata kama kusoma hatujui picha twaweza kuona! Unadhani hata tunahitaji mtu atuambie kwamba Magu anajenga rail way ya train umeme? Au Magu anajenga bwana la umeme la Mwl Julius Nyerere? Au kuna mafisadi yametumbuliwa mahali? Kweli hayo yote si wote tulishuhudia???????????

Wewe ni nani kutuambia Magu hakufanya kitu????? Unadhani hatukuona aliyokuwa anayafanya?????

Ni mjinga tu anayeweza kuamini upumbavu wako!! Tuondolee siasa uchwara wako hapa! Tunahitaji kazi!

Wengi mnaosema hakufanya kitu na mafisadi! Inawezekana wazi kuna madili mmepiga na mnataka kujificha nyuma ya kivuli kwamba hakufanya kitu! Haya sasa tukuulize, WEWE UMEFANYA NINI? Maana rais Kennedy wa Marekani alipata kusema, usiulize Marekani intakufanyia nini, jiulize, utaifanyia nini Marekani??

Ningekuwa mimi, ningeona aibu hata kuandika ulichoandika!
Rais hawezi kujua fisadi ni nani mahakama ndo kazi yake kujua huyu ni fisadi au la. Jpm ameumiza watu kwa jeuri na kibli tu ndo mana mungu akamnyakua fasta asimize watu wengi. Angekuwepo mpaka Sasa vifo vingekiwa vingi sana kila anayehisi ni theat kwake tayari anampa kesi ya ufisadi ndo mana mama kawarudisha kazini wale waliosingiziwa eti vyeti feki kumbe ni chili tu hasa hasa waliosaport chadema
 
Sio wote ni wajinga na wapuuzi kama nyie ambao kutwa kuponda, tuliona na tuneona tofauti kati ya awamu zote, na itoshe kusema mazuri yaliyofanywa na aeamu iliyopita ni mengi na yanastahili pongezi

Sasa tufate maneno ya Mwalimu ambae alisema awamu ya kwanza imefanya mema na ya kijinga, sawa mema yachukuliwe na ya kijinga yaaachwe vivyo hivyo kwa awamu iliyopita na zilizopita pia

Itakuwa ni pumba kabisa, tukiacha mema na kuanza kufata ya kijinga
 
Simple logic unamaanisha sisi watanzania ni wajinga sana siyo?

Pengine wewe uliyekuwa na akili wakati wa mwamba sasa hivi ni kama na wewe umerudi walikokuwa wenzako uliowaona wajinga na sasa wajinga wa wakati ule ndo wamekuwa welevu wa leo. Kimsingi kwa leo wewe ndo kubwa jinga wa kwanza kwa Tanzania😁😁😁😅😆
 
Katiba yetu imetupa uhuru huo,na ni kwa afya zetu sisi raia wa jamhuri unajua ukikaa na hasira moyoni bila kuongea ni kujitafutia maradhi ya moyo tu.

Lakini ukitema nyongo angalao unapata kausingizi.

Lingine ni hulka zetu sisi Watanzania hata wewe ukipata teuzi ufafunga vioo vya gari lako ulilopewa na serikali na kuanza kumdharau common Mwananchi.

Unamkumbuka Humphrey Polepole alivyokuwa mkosoaji wa Serikali ya CCM? ? Alivyopewa cheo uliona alivyo akapeleka na Idea ya "manunuzi ya Wapinzani".

Mtanzania ana lugha mbili akiwa na njaa anaongea lugha ya moja akiteuliwa anaongea lugha nyingine.

Endelea kukosoa pale unapoona panaofaa kukosolewa na toa ushauri wa maboresho pale panapofaa kuboreshwa.
Tusiishie kufurahia kupewa nafasi ya kukosoa tu bali pia tusikilizwe, kukosoa bila kusikilizwa yani mambo yanaenda vilevile ni sawa na kupiga kelele.
 
Kwamba hakuna flyover zilizojengwa
Bwawa la mwalimu Nyerere ilikuwa kelele tu hakuna lolote
Barabara hazikujengwa ni vyombo vya habari tu vilikuwa vinatangaza
Mahospitali hayakujengwa
Masoko makubwa na ya kisasa hayakufanywa kabisa yaani
Stand za mabasi zile ni fix tu hazikujengwa
Ndege gani zilinunuliwa wakati ni vyombo vya habari tu vilikuwa vinalazimishwa kutangaza kuwa tumenunua ndege
Viwanja vikubwa vya ndege wala hata havikujengwa ni matangazo tu hayo
Huduma za jamii na nidhamu kazini wala havikuwepo sema sasa vyombo vya habari vilivyokuwa vinatupiga fix
Mashule yote makubwa ya zamani lini yalikarabatiwa na kuonekana ya kisasa hapana bwana vyombo vya habari vilitekwa ili vitangaze vitu ambavyo havipo
SGR ni lini ilionekana ikijengwa wakati wake hizo ni fix tu za anko alizokuwa anazifanya ili watu wamkubali
Na kadhalika na kadhalika.

Mi nadhani hata kama tunaamini kuwa kwa kumchafua Magufuli itatufanya tuonekane tumepiga kazi kuna wakati tuwe na aibu huyo mtu alifanya kazi kubwa sana kwa taifa hili mapungufu ni machache kuliko mazuri. Mama yetu hakubaliki kwa kumchafua mtangulizi wake bali atakubalika kwa kufanya kazi kizalendo na kuyaficha yote yaliyofanyika awamu ile otherwise tunajichafua zaidi badala ya kumchafua.
Nakwambia kunawatua mafala hasa yake yaliyikuwa yanawaibia wannachi fedha zao
 
Tusiishie kufurahia kupewa nafasi ya kukosoa tu bali pia tusikilizwe, kukosoa bila kusikilizwa yani mambo yanaenda vilevile ni sawa na kupiga kelele.
Kama hawataki tufanye nini na huko Mbarali watu bado wanaichagua CCM.
 
Mbon uchagani walitumia Mali za watanzania kujenga kwao lakini hamtaki sehemu nyingine za nji zije gwe
Huna logic ...tunapinga mtu kupendelea kwawo tunataka equitable distribution of national resources period ...mengine hayo vigumu wewe kuyaelewa bada yakuona jibu lako..Waachia watu mwenye akiri wajadiri mkuu
 
kumlinganisha mh Samia na Magufuli ni kujaribu kumwaibisha mh Samia bila kujua.
 
Back
Top Bottom