Mnanguliti
JF-Expert Member
- Apr 16, 2023
- 490
- 1,351
Kwamba hakuna flyover zilizojengwa
Bwawa la mwalimu Nyerere ilikuwa kelele tu hakuna lolote
Barabara hazikujengwa ni vyombo vya habari tu vilikuwa vinatangaza
Mahospitali hayakujengwa
Masoko makubwa na ya kisasa hayakufanywa kabisa yaani
Stand za mabasi zile ni fix tu hazikujengwa
Ndege gani zilinunuliwa wakati ni vyombo vya habari tu vilikuwa vinalazimishwa kutangaza kuwa tumenunua ndege
Viwanja vikubwa vya ndege wala hata havikujengwa ni matangazo tu hayo
Huduma za jamii na nidhamu kazini wala havikuwepo sema sasa vyombo vya habari vilivyokuwa vinatupiga fix
Mashule yote makubwa ya zamani lini yalikarabatiwa na kuonekana ya kisasa hapana bwana vyombo vya habari vilitekwa ili vitangaze vitu ambavyo havipo
SGR ni lini ilionekana ikijengwa wakati wake hizo ni fix tu za anko alizokuwa anazifanya ili watu wamkubali
Na kadhalika na kadhalika.
Mi nadhani hata kama tunaamini kuwa kwa kumchafua Magufuli itatufanya tuonekane tumepiga kazi kuna wakati tuwe na aibu huyo mtu alifanya kazi kubwa sana kwa taifa hili mapungufu ni machache kuliko mazuri. Mama yetu hakubaliki kwa kumchafua mtangulizi wake bali atakubalika kwa kufanya kazi kizalendo na kuyaficha yote yaliyofanyika awamu ile otherwise tunajichafua zaidi badala ya kumchafua.