Tetesi: Kilichompeleka Ole Medeye UDP Chajulikana

Taarifa hizo zina ukweli.Kaona akikaa UKAWA uwezekano haupo kabisa.
Toka ashindwe kupata uspika hana hamu.Lowasa alimlaghai kuwa ana wabunge WAKE NDANI YA CCM watampa kura akajitosa na koti na tai akidhani kuna mamluki wa Lowasa wa CCM walioko bungeni watampa kura.Alitolewa barubaru akaambulia tu kura za UKAWA

Lakini pia kuna taarifa anawinda kuwa mwenyekiti wa UDP ILI ajenge UDP kanda ya ziwa kwa lengo la baadaye akiunganishe UDP na UKAWA ili Lowasa akitaka kugombea 2020 AWE NA NGUVU KANDA YA ziwa hasa usukumani.

Wanataka kuiteka UDP waitumbukize UKAWA
This might be true, determinant za rais wa nchi hii ni kura za kanda ya Ziwa!. Mzee Cheyo ni kama Lyatonga Mrema, they are both spent force na hawana any succession plan, hivyo mwasiasa yoyote anayejua kuona mbali, atajoin au UDP au TLP ili kusubiria muda tuu wa yeye kuwa Mwenyekiti!.

Kisiasa, hakuna tija yoyote kujiunga na chama ambacho hakina mbunge hata mmoja, ila kwa vile CCM ndio dominant party, zile nafasi ambazo lazima ziende kwa wapinzani, wabunge wa CCM wataamua bora kumchagua mtu wa TLP au UDP ambao wako nje ya UKAWA kuliko kumchagua mtu yoyote wa Chadema, CUF or NCCR!. Chama cha Zitto kimpendekeza yule Mama, automatically atachaguliwa na wabunge wa CCM!.

Pasco.
 
Taarifa hizo zina ukweli.Kaona akikaa UKAWA uwezekano haupo kabisa.
Toka ashindwe kupata uspika hana hamu.Lowasa alimlaghai kuwa ana wabunge WAKE NDANI YA CCM watampa kura akajitosa na koti na tai akidhani kuna mamluki wa Lowasa wa CCM walioko bungeni watampa kura.Alitolewa barubaru akaambulia tu kura za UKAWA

Lakini pia kuna taarifa anawinda kuwa mwenyekiti wa UDP ILI ajenge UDP kanda ya ziwa kwa lengo la baadaye akiunganishe UDP na UKAWA ili Lowasa akitaka kugombea 2020 AWE NA NGUVU KANDA YA ziwa hasa usukumani.

Wanataka kuiteka UDP waitumbukize UKAWA
Wakati fulani zinacharge excellently
 
  1. Kuna tetesi ambazo zaweza kuwa kweli mdaa wowote kuwa kilichompeleka Ole Medeye aliyekua mwanachama hai wa Chadema kuamia Udp ni kuchaguliwa Kuwa Mbunge wa Africa Masharik. TUTAKUMBUSHANA MDAA UKIFIKA
Hapo hapo namimi nauliza, kwani kilichompeleka Lowasa aliyekuwa mwanachama hai wa CCM kuhamia CHADEMA ni nini? Jibu hii swali uzuri usilete mihemuko.
 
sifa ya mtu kuweza kugombea ubunge wa Afrika Mashariki na kupigiwa kura lazima awe ni mwanachama wa chama chenye mbunge au wabunge katika bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania. kwasasa Ole Medeye hana sifa hiyo.
NB: vyama vinavyoruhusiwa kutoa wagombea ubunge ni vyama vyenye wabunge tu
 
  1. Kuna tetesi ambazo zaweza kuwa kweli mdaa wowote kuwa kilichompeleka Ole Medeye aliyekua mwanachama hai wa Chadema kuamia Udp ni kuchaguliwa Kuwa Mbunge wa Africa Masharik. TUTAKUMBUSHANA MDAA UKIFIKA
UKAWA wana akili sana unajua hapa tanzania kuna vyama vyenye tujinguvu CCM huwa anavitumia eg UDP,TLP,ADC sasa ili UKAWA iwe na nguvu 2020 lazima tupenyeze wadau humo kuua figisu za chama!! LOWASA# 2020# viva UKAWA
 
Taarifa hizo zina ukweli.Kaona akikaa UKAWA uwezekano haupo kabisa.
Toka ashindwe kupata uspika hana hamu.Lowasa alimlaghai kuwa ana wabunge WAKE NDANI YA CCM watampa kura akajitosa na koti na tai akidhani kuna mamluki wa Lowasa wa CCM walioko bungeni watampa kura.Alitolewa barubaru akaambulia tu kura za UKAWA

Lakini pia kuna taarifa anawinda kuwa mwenyekiti wa UDP ILI ajenge UDP kanda ya ziwa kwa lengo la baadaye akiunganishe UDP na UKAWA ili Lowasa akitaka kugombea 2020 AWE NA NGUVU KANDA YA ziwa hasa usukumani.

Wanataka kuiteka UDP waitumbukize UKAWA
Hata mimi nadhani hivyo
 
  1. Kuna tetesi ambazo zaweza kuwa kweli muda wowote kuwa kilichompeleka Ole Medeye aliyekua mwanachama hai wa CHADEMA kuamia UDP ni kuchaguliwa Kuwa Mbunge wa Afrika Mashariki. TUTAKUMBUSHANA MUDA UKIFIKA
na kilicho mleta lowasa chadema ni kutaka kuwa Rais sio kufanya siasa. vyama vya upinzani vyote vipo kimaslahi binafsi zaidi
 
Ben nadhani mmeona hao wahuni.waliofuata madaraka cdm wanavyoharibu haiba ya chama. Mliwapa nafasi hao wahuni toka ccm bila kujifunza kosa mlilolifanya kwa Shibuda. Matokeo yake waliobaki chamani ni wafia chama huu wakiwa wamevunjika moyo. nilitaraji Shibuda lilikuwa somo tosha lakini wapi

Anadhani namba ya CCM itam-favour yeye
Ndio hicho
 
  1. Kuna tetesi ambazo zaweza kuwa kweli muda wowote kuwa kilichompeleka Ole Medeye aliyekua mwanachama hai wa CHADEMA kuamia UDP ni kuchaguliwa Kuwa Mbunge wa Afrika Mashariki. TUTAKUMBUSHANA MUDA UKIFIKA
Ole Medeye angeshinda uspika, angefukuza wabunge wote wa ukawa kwa uzuzu wanauonyesha.
 
Taarifa hizo zina ukweli.Kaona akikaa UKAWA uwezekano haupo kabisa.
Toka ashindwe kupata uspika hana hamu.Lowasa alimlaghai kuwa ana wabunge WAKE NDANI YA CCM watampa kura akajitosa na koti na tai akidhani kuna mamluki wa Lowasa wa CCM walioko bungeni watampa kura.Alitolewa barubaru akaambulia tu kura za UKAWA

Lakini pia kuna taarifa anawinda kuwa mwenyekiti wa UDP ILI ajenge UDP kanda ya ziwa kwa lengo la baadaye akiunganishe UDP na UKAWA ili Lowasa akitaka kugombea 2020 AWE NA NGUVU KANDA YA ziwa hasa usukumani.

Wanataka kuiteka UDP waitumbukize UKAWA
Hatuitaji propoganda za mwendokasi
 
Hivi mzee Lowassa bado ana ndoto tu ya kuwa rais? Nawashauri UKAWA waanze kutafuta mtu atayeuzika 2020.
unauliza jibu mkuu jamaa kama Mrema vile alianza mwaka 1995 alizimwa na mzee mchonga mwaka 2005 rafiki yake alimuahidi mwaka 2015 mwaka jana akadhulumiwa na rafiki yake baada ya kupoteza mapesa mengi sana, sasa mwaka 2020 ninavyojua mimi kama Mbowe atakua bado anamiliki CDM sidhani kama anampatia nafasi ndipo hapo anaandaa mazingira huko UDP. Jamaa anaipenda sana nchi yake anataka kutufikisha katika nchi ya caanani yenye maziwa na sali kwa miaka 10
 
sifa ya mtu kuweza kugombea ubunge wa Afrika Mashariki na kupigiwa kura lazima awe ni mwanachama wa chama chenye mbunge au wabunge katika bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania. kwasasa Ole Medeye hana sifa hiyo.
NB: vyama vinavyoruhusiwa kutoa wagombea ubunge ni vyama vyenye wabunge tu
Sahihi kabisa mkuu kumbuka kesi ya Anthony Komu kwenye mahakama ya EA alishinda na iliamriwa chama cha upinzani chenye wabunge wengi lazima kiwe na uwakilishi kwenye bunge la EA na sio kuchagua tu CCM wakilazimisha watakuwa wanavunja sheria kama kawaida yao.
 
Back
Top Bottom