maramia
JF-Expert Member
- Jul 17, 2015
- 2,030
- 1,345
Ngoja tukae hapa upenuni tusubiri kuonaKuna tetesi ambazo zaweza kuwa kweli muda wowote kuwa kilichompeleka Ole Medeye aliyekua mwanachama hai wa CHADEMA kuamia UDP ni kuchaguliwa Kuwa Mbunge wa Afrika Mashariki.
TUTAKUMBUSHANA MUDA UKIFIKA
==================
MAONI YA WENGINE