Miss Madeko
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 4,364
- 5,609
Hivi huu uongozi wa kiafrika ni kama dini ya mashetani, ukishaingia huwezi kuacha
Kabisa nilimwonea huruma sana Ole Medeye maana ndio kabisa kapotea full.
Pole yake atafute tuu biashara afanye
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi huu uongozi wa kiafrika ni kama dini ya mashetani, ukishaingia huwezi kuacha
Hapo hutapata jibu ndugu yangu zaidi ya matusi, wewe subiri matusi huyo mtu ukimgusa tu ni kama umechora katuni ya mtume Mohammad utaona kimbembe chake bendera za nchi husika ya mchoraji zitachomwa moto na ofisi itapigwa mabomu.Hapo hapo namimi nauliza, kwani kilichompeleka Lowasa aliyekuwa mwanachama hai wa CCM kuhamia CHADEMA ni nini? Jibu hii swali uzuri usilete mihemuko.
Taarifa hizo zina ukweli.Kaona akikaa UKAWA uwezekano haupo kabisa.
Toka ashindwe kupata uspika hana hamu.Lowasa alimlaghai kuwa ana wabunge WAKE NDANI YA CCM watampa kura akajitosa na koti na tai akidhani kuna mamluki wa Lowasa wa CCM walioko bungeni watampa kura.Alitolewa barubaru akaambulia tu kura za UKAWA
Lakini pia kuna taarifa anawinda kuwa mwenyekiti wa UDP ILI ajenge UDP kanda ya ziwa kwa lengo la baadaye akiunganishe UDP na UKAWA ili Lowasa akitaka kugombea 2020 AWE NA NGUVU KANDA YA ziwa hasa usukumani.
Wanataka kuiteka UDP waitumbukize UKAWA[/QUOTE
LOWASSA KUGOMBEA 2020? JESUS!!
Naamzito amepatikana?
na hivi karibuni katibu mkuu wa CHADEMA na baadhi ya viongozi wengine kama mhe. Sumaye na Prof. Baregu walitembelea makao makuu ya bunge la EAC Arusha wakaliambia bunge la EAC jinsi taratibu za uchaguzi wa wabunge wa kutoka Tanzania zinavyokiukwa, watendaji wa bunge la EAC wakasema kuanzia uchaguzi unaofuata chama cha upinzani chenye wabunge wengi lazima kitoe mbungeSahihi kabisa mkuu kumbuka kesi ya Anthony Komu kwenye mahakama ya EA alishinda na iliamriwa chama cha upinzani chenye wabunge wengi lazima kiwe na uwakilishi kwenye bunge la EA na sio kuchagua tu CCM wakilazimisha watakuwa wanavunja sheria kama kawaida yao.
Je na ikiwa kweli?Huyu mnasema sababu ni ubunge, Mwapachu aliporudi CCM mkasema ni kwa sababu ya maslahi. Akiondoka mwingine hamtakosa sababu. Kila siku mnapenda sana kujipatia umaarufu msiokuwa nao.
Na ikiwa ni uongo?. Ole Medeye kawakimbia, hamna adabu, mmeja ubishi na ujeuri wa mitaani. Mzee ameona kuwa yeye alitaka kuwa spika, kwa hiyo pengine ujinga anaofanyiwa Dr Tulia, na yeye pia angekuwa mhanga wa kiburi na dharau za kina Halima Mdee.Je na ikiwa kweli?
Mawazo ya MwendokasihayoNa ikiwa ni uongo?. Ole Medeye kawakimbia, hamna adabu, mmeja ubishi na ujeuri wa mitaani. Mzee ameona kuwa yeye alitaka kuwa spika, kwa hiyo pengine ujinga anaofanyiwa Dr Tulia, na yeye pia angekuwa mhanga wa kiburi na dharau za kina Halima Mdee.
Asante sana MkuuIlifahamika mapema sana .
Hichi ni kirusi kibayaKuna tetesi ambazo zaweza kuwa kweli muda wowote kuwa kilichompeleka Ole Medeye aliyekua mwanachama hai wa CHADEMA kuamia UDP ni kuchaguliwa Kuwa Mbunge wa Afrika Mashariki.
TUTAKUMBUSHANA MUDA UKIFIKA
==================
MAONI YA WENGINE
Ole Medeye alikuwa mmoja wa waliomuunga mkono Mzee Lowassa mapema zaidi. Ukiona mtu mwenye ushawishi kama yeye anawaona wabunge wa upinzani kama wanafunzi wa shule ya msingi, basi ujue kuwa tatizo lipo. Lakini wala hamuwezi kulitambua kwa sababu bado hamjawa na hulka ya kujishusha.Mawazo ya Mwendokasihayo
Umejiuliza kwanini aliondoka pia ccmOle Medeye alikuwa mmoja wa waliomuunga mkono Mzee Lowassa mapema zaidi. Ukiona mtu mwenye ushawishi kama yeye anawaona wabunge wa upinzani kama wanafunzi wa shule ya msingi, basi ujue kuwa tatizo lipo. Lakini wala hamuwezi kulitambua kwa sababu bado hamjawa na hulka ya kujishusha.