Tetesi: Kilichompeleka Ole Medeye UDP Chajulikana

Hivi huu uongozi wa kiafrika ni kama dini ya mashetani, ukishaingia huwezi kuacha


Kabisa nilimwonea huruma sana Ole Medeye maana ndio kabisa kapotea full.
Pole yake atafute tuu biashara afanye
 
Hapo hapo namimi nauliza, kwani kilichompeleka Lowasa aliyekuwa mwanachama hai wa CCM kuhamia CHADEMA ni nini? Jibu hii swali uzuri usilete mihemuko.
Hapo hutapata jibu ndugu yangu zaidi ya matusi, wewe subiri matusi huyo mtu ukimgusa tu ni kama umechora katuni ya mtume Mohammad utaona kimbembe chake bendera za nchi husika ya mchoraji zitachomwa moto na ofisi itapigwa mabomu.
 
 
na hivi karibuni katibu mkuu wa CHADEMA na baadhi ya viongozi wengine kama mhe. Sumaye na Prof. Baregu walitembelea makao makuu ya bunge la EAC Arusha wakaliambia bunge la EAC jinsi taratibu za uchaguzi wa wabunge wa kutoka Tanzania zinavyokiukwa, watendaji wa bunge la EAC wakasema kuanzia uchaguzi unaofuata chama cha upinzani chenye wabunge wengi lazima kitoe mbunge
 
huyo anataka aachiwe chama hapo baadae baada ya mwenye chama mzee wa mapesa kustaafu siasa kutokana na umri kama anavyoonekana.au nimekosea?
 
Akiukos Ubunge huo atarudi CCM! Kibaraka amegundulika! Aende tu kwa amani zote
 
Huyu mnasema sababu ni ubunge, Mwapachu aliporudi CCM mkasema ni kwa sababu ya maslahi. Akiondoka mwingine hamtakosa sababu. Kila siku mnapenda sana kujipatia umaarufu msiokuwa nao.
 
Ole Medeye akubali tu siasa imemuacha
 
Je na ikiwa kweli?
Na ikiwa ni uongo?. Ole Medeye kawakimbia, hamna adabu, mmeja ubishi na ujeuri wa mitaani. Mzee ameona kuwa yeye alitaka kuwa spika, kwa hiyo pengine ujinga anaofanyiwa Dr Tulia, na yeye pia angekuwa mhanga wa kiburi na dharau za kina Halima Mdee.
 
Na ikiwa ni uongo?. Ole Medeye kawakimbia, hamna adabu, mmeja ubishi na ujeuri wa mitaani. Mzee ameona kuwa yeye alitaka kuwa spika, kwa hiyo pengine ujinga anaofanyiwa Dr Tulia, na yeye pia angekuwa mhanga wa kiburi na dharau za kina Halima Mdee.
Mawazo ya Mwendokasihayo
 
Kuna tetesi ambazo zaweza kuwa kweli muda wowote kuwa kilichompeleka Ole Medeye aliyekua mwanachama hai wa CHADEMA kuamia UDP ni kuchaguliwa Kuwa Mbunge wa Afrika Mashariki.
TUTAKUMBUSHANA MUDA UKIFIKA
==================

MAONI YA WENGINE
Hichi ni kirusi kibaya
 
Mawazo ya Mwendokasihayo
Ole Medeye alikuwa mmoja wa waliomuunga mkono Mzee Lowassa mapema zaidi. Ukiona mtu mwenye ushawishi kama yeye anawaona wabunge wa upinzani kama wanafunzi wa shule ya msingi, basi ujue kuwa tatizo lipo. Lakini wala hamuwezi kulitambua kwa sababu bado hamjawa na hulka ya kujishusha.
 
Umejiuliza kwanini aliondoka pia ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…