Statarea
JF-Expert Member
- Dec 11, 2018
- 891
- 1,278
Huyo kwa manyimbo haya ka Cinderella ndo aipeleke Bongo fleva international?To be honest Wimbo wa Diamond unaoitwa Baba lao ni wimbo mbovu saaana, unaweza ukatoa back to back Ila kama Ngoma ni Kali wala hamna taabu , kumbe idea ya Kiba inaweza ikawork ,unatoa Ngoma moja lakn ya ukwel, mshumaaa ni bonge la pini,