Kilichomponza Diamond ni hiki

Kilichomponza Diamond ni hiki

To be honest Wimbo wa Diamond unaoitwa Baba lao ni wimbo mbovu saaana, unaweza ukatoa back to back Ila kama Ngoma ni Kali wala hamna taabu , kumbe idea ya Kiba inaweza ikawork ,unatoa Ngoma moja lakn ya ukwel, mshumaaa ni bonge la pini,
Huyo kwa manyimbo haya ka Cinderella ndo aipeleke Bongo fleva international?
 
nimeona kwenye video eti wanachez ukuti.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...domo hana jipya uwezo wake umefika omega#R.I.Pdomo
Endelea kuombea afike mwisho wakati ukitazama tv yake au kusikiliza radio yake na kumfatilia kwa sanaaa.

Endelea kunywa pepsi au kubet na parimatch na michuki yako yeye anapiga hela tu siku ukoo wenu wote azimeni na mingine mia ya majirani hamumfikii kipesa
 
Ile tabia ya kujifanya unatoa nyimbo mpya kila siku ndio haswa imemponza huyu msanii na kujikuta kuishiwa uwezo wa kutunga nyimbo mpya ili kuweza kukata kiu ya mashabiki wake.

Hili swala la kugelezea kazi za wasanii wenzie wa kimataifa rejea nyimbo ya Soapy ni dalili ya wazi kabisa kuwa msanii huyu anajiondoa katika medani za kimataifa kwani mafanikio ya wimbo kama huu wa baba lao hautaweza kumuweka katika mizani yoyote ya kimataifa zaidi zaidi ni kwa matumizi ya ndani ya nchi hususani vijijini tu.
MLUGURU macho yamemtoka pale kijitonyama , anashangaa inawezekana bila clouds
 
Acheni kulia kulia kama watoto wa kike kama mbaya achana nao kwani umelazimishwa kuusikiliza au kaimbe wako wabongo bhana mnajikuta kila kitu mnakijua

[emoji23][emoji23][emoji23] kumchukia Chibu denga ni sawa na kuyachukia maisha yako
 
Ile tabia ya kujifanya unatoa nyimbo mpya kila siku ndio haswa imemponza huyu msanii na kujikuta kuishiwa uwezo wa kutunga nyimbo mpya ili kuweza kukata kiu ya mashabiki wake.

Hili suala la kugelezea kazi za wasanii wenzie wa kimataifa rejea nyimbo ya Soapy ni dalili ya wazi kabisa kuwa msanii huyu anajiondoa katika medani za kimataifa kwani mafanikio ya wimbo kama huu wa baba lao hautaweza kumuweka katika mizani yoyote ya kimataifa zaidi zaidi ni kwa matumizi ya ndani ya nchi hususani vijijini tu.
Wasanii uchwara bongo(wanawaza ccm tu namapezi
 
makonda baba lao,giggy money babalao,menina babalao[emoji16][emoji16][emoji16]
Fvck u[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
huku kutaka kutoa nyimbo kila siku ndio kuna mponza basi tu sababu mashabiki tusha kua kma misukule tuna jifanya nyimbo kali, usikiliza huo wimbo yaani ame unga unga nyimbo za watoto na Yope kanyaga kanyaga kwa mbali yaan vurugu tupu kati ya nyimbo mbovu alizo wahi kutoa hii ni top
 
Ila jamaa anajua kuivest kwenye video anaweza toa nyimbo ya kawaida ila bonge LA kideo
 
Naona kama yeye na.Harmonize wanagombea ushawishi kwa yule.bwana.wa.magogoni. sio poa kumgombania.mwanaume kama mademu.
 
Back
Top Bottom