Tetesi: Kilichomponza Diamond ni Sakata la ATCL

Diamond alisema ukweli sema njia aliyotumia sio sahihi. ni kama ulivyosema serikali inapambana kuirudisha hewan air Tanzania so kwa mtu wa levo ya mond kulisemea lilekosa hadharan ni kosa kubwa hasa kwenye biashara za ushindan. mi kwa hili niko upande wa ngosha kaka. dogo kajawa na kibur kuna makosa mengine ya baba yako huwez kuyasema hadharan unamtafuta gizan unamwambia kimya kimya coz sotetuna lengo la kujenga
 
kinachonifurahisha mimi ni jinsia ya CCM kulana wao kwa wao wakati wao ni wa jinsia moja!
 
Huyu mwana muziki Diamond anaharibu sana MAADILI ya vijana wa kitanzania asipo dhibitiwa zaidi ya hapo atateketeza kizazi chetu.
Msanii bora ktk jamii yake anapaswa kuwa mfano mzuri kwa maadili sio kama anavyo fanya huyu dimondi na wenzake wanachafua maadili yetu
 


Hii mikwara ya shirika kushindwa kupambana na Diamond lenyewe mpaka kuomba msaada serikalini ni umama wa aina yake!

Yaani matukio madogo na kipumbavu namna hii mpaka ikulu iingilie?

Shirika halina bylaws ya kudhibiti abiria wenye makosa kama hivi hata banning them?Mpaka state iingilie?

Hivi lini haya mashirika yatafanya biashara kwa ufanisi bila ikulu kuingilia?

Ndio namna hii competition itawapeleka kaburini halafu waanze kuita "ikulu tusaidie"?

Stupidity plus stupidity!
 
LAANA YA BABA INAFANYA KAZIII HUTOFANIKIWAAAA
 
Nilivyoona ile video, halafu ATCL wakakanusha madai yake nilijua kuna kitu kitafata, Diamond ambacho hajui ni kwamba kazi yake anaifanya kwenye nchi ambayo anahitaji cover kubwa sana na kuinyenyekea serikali.

Sasa kufanya kile alichofanya na wao wakiamua wammalize ni rahisi, watakuja na issue za vibali, ulinzi, kodi, nk.

Anatakiwa kuujua msemo wa "ukila na kipofu usimshike mkono".
 

Which Government!!!
 
Kama wamekataa k2 cha wazi ingekuaje wangeenda kimyakimya?hawafanyi kazi bila kuona mabango mtandaoni sababu wamelala uonevu kama huu utafika mwisho bora kukiri kosa na uwe umejifunza pitia kosa kuliko kuendeleza makosa hapa ndipo uzalendo unapoishaga kisa uonevu wa wazi
 
Kwahiyo Basata ni chombo cha kukomoa wasanii pale maslahi ya serikali yanapoguswa? Anyway, yule mama aliyeruhusiwa kupita si na yeye alikuwa amechelewa? Kwanini aliruhusiwa?
 
Kama ni kweli basi mkuu wetu anazidi kufeli kwa kasi na kukusanya maadui wengi kulikoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…