Chief Wingia
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 2,653
- 4,744
Diamond akumbuke serikali ya jiwe na watumishi wake ni watu wa visasi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo sakata ndo limefanya basata wamfungie eti
Tatizo kubwa ni kwamba wengi mnaochangia hapa kama wewe mnachangia kama wasafiri wa labda mabasi au wasafiri wa humu humu nchini.Mkuu kama unaamini walichosema ATCL na kuona live ya Diamond ni uongo basi wewe ni mtu wa kuhurumiwa sana.
Ukweli ni kwamba, Diamond was right, na ATCL walichofanya ni damage control.
KIlichofanyika ni hivi, ATCL walikuwa wamebook abiria kuliko uwezo wa ndege. Sasa inapotokea hivyo, ATCL watachukua abiria walio -check in kwnza. Hata kama umefika airport ndani ya muda wa ku-check in, kwa kuwa kuna abiria waliozidi uwezo wa ndege, wale walio check in kwanza ndio watasafiri.
Kwa hiyo katika utetezi wao, ATCL WAMEDANGANYA UMMA kwa kusema Diamond alichelewa. Diamond alifika muda unaotakiwa bali kulikuwa na overbooking ya hiyo flight.
Natamani ungemuelewa walau kidogo mleta mada ..ingekusaidia sana .
.. Iwe tickets za wcb ziliuzwa kwa watu wengine au wcb walichelewa Ujinga alioufanya domo nikuipaka kinyesi taasisi nyeti ya serikali " kisha akakipost kinyesi chake kwenye mitandao ya kijamii ... huu ni uzwazwa mkubwa Sana ambao unapaswa kukemewa " diamond alipaswa kuwasilisha malalamiko yake katika uongozi wa ATCL ama kwenda kufungua kesi na kudai fidia .. nasio kufanya upuuzi alioufanya " ambao unapelekea kuchafua brand ya ATCL kibiashara " ... diamond ni kioo cha jamii anafuatiliwa na watu wengi inapotokea akawa na conflict na taasisi nyeti kama ATCL ni rahisi " sana kuifanya tasnia hiyo isiaminike pia itaingia hasara kwakukosa wateja " .... diamond akiwa kama icon alipaswa " kuweka uzalendo mbele nakuficha madhaifu ya ATCL asiyaonyeshe kwenye public..
.
.kisha angefuata protocol ambayo ilikuwa ni kwenda kufikisha malalamiko yake ama maoni katika uongozi husika " ..... so ule alioufanya ni ujinga " unaoweza kuligharimu shirika na kulifilisi " pia amechangia kutaka kuwavunja moyo " wafanya kazi wote wa ATCL na Raisi wa nchi ambao wamekuwa wakitumia ma billions ya fedha kuhakikisha kwamba " taasisi hii ya usafiri wa anga inaleta matumaini upya nchini na kulipatia taifa faida
Mwambieni huyo jamaa Yenu apunguze misifa itamuharibia Maisha yake
Natumai huo ni mwanzo tu " kuna vikwazo vingi toka serikalini ambavyo sio vya kupendeza " vinavyo mfuata.
Kakutongozea mamaako au ?Huyu mwana muziki Diamond anaharibu sana MAADILI ya vijana wa kitanzania asipo dhibitiwa zaidi ya hapo atateketeza kizazi chetu.
Msanii bora ktk jamii yake anapaswa kuwa mfano mzuri kwa maadili sio kama anavyo fanya huyu dimondi na wenzake wanachafua maadili yetu
Ila hao ATCL wabadilike hyo tabia yao mbovu kumfungia diamond maisha ni adhabu kubwa kuliko maelezo.
Wewe usiye na laana ya baba umefanikiwa lipi kumzidi yeye ,waswahili bwana wivu cjui utaisha liniLAANA YA BABA INAFANYA KAZIII HUTOFANIKIWAAAA
Wewe ndo hujaelewa Hilo tamko. Kafungiwa kwa kipindi kisichojulikana hawajawa specific.Hii yako ya kumfungia maisha umeisoma wapi? [emoji23][emoji23][emoji23]. Jamani hata kiswahili nacho hatuelewi.sasa sisi waswahili itumike lugha gani tuweze elewa? Basata wamemfungia diamond maisha? Imeandikwa wapi?
Kagombea Jimbo gani ,au kaingiaje kwenye siaswamejifanya anaingia kwenye siasa lazima.apotee
Mkuu baraza limemfungia kufanya onyesho na wala halikumfungia kutoa nyimbo.Mimi ningekuwa daimond ningehama nchi na ningebadili uraia,mbona wakati anauza mitumba basata hawakumsumbua?yani tuna baraza la kufungia nyimbo peke yake.
Ahsante mkuu " umenibariki MnooChief kwanza nikupongeze kwa hiki ulichokiandika. Pili ni kwamba watanzania wengi hawajui impact aliyokuwa nayo msanii hasa kwenye masuala ya biashara, Diamond ni msanii Mkubwa na ana influence kubwa kwa jamii. Kitendo alichofanya cha kupost video na kauli alizozitoa kina athari kubwa kwa Taasisi husika katika kupata abiria na kuongeza pato la uendeshaji wa huduma za taasisi hiyo. Diamond inabidi awe mfano kwa wasanii wengine katika kuheshimu biashara za watu binafsi na hata za taasisi za kiserikali.
Ningekuwepo pale airport ningemwambia Diamond... "GERARA HERE"
Wewe ndo hujaelewa Hilo tamko. Kafungiwa kwa kipindi kisichojulikana hawajawa specific.
Natamani ungemuelewa walau kidogo mleta mada ..ingekusaidia sana .
.. Iwe tickets za wcb ziliuzwa kwa watu wengine au wcb walichelewa Ujinga alioufanya domo nikuipaka kinyesi taasisi nyeti ya serikali " kisha akakipost kinyesi chake kwenye mitandao ya kijamii ... huu ni uzwazwa mkubwa Sana ambao unapaswa kukemewa " diamond alipaswa kuwasilisha malalamiko yake katika uongozi wa ATCL ama kwenda kufungua kesi na kudai fidia .. nasio kufanya upuuzi alioufanya " ambao unapelekea kuchafua brand ya ATCL kibiashara " ... diamond ni kioo cha jamii anafuatiliwa na watu wengi inapotokea akawa na conflict na taasisi nyeti kama ATCL ni rahisi " sana kuifanya tasnia hiyo isiaminike pia itaingia hasara kwakukosa wateja " .... diamond akiwa kama icon alipaswa " kuweka uzalendo mbele nakuficha madhaifu ya ATCL asiyaonyeshe kwenye public..
.
.kisha angefuata protocol ambayo ilikuwa ni kwenda kufikisha malalamiko yake ama maoni katika uongozi husika " ..... so ule alioufanya ni ujinga " unaoweza kuligharimu shirika na kulifilisi " pia amechangia kutaka kuwavunja moyo " wafanya kazi wote wa ATCL na Raisi wa nchi ambao wamekuwa wakitumia ma billions ya fedha kuhakikisha kwamba " taasisi hii ya usafiri wa anga inaleta matumaini upya nchini na kulipatia taifa faida
Mwambieni huyo jamaa Yenu apunguze misifa itamuharibia Maisha yake
Natumai huo ni mwanzo tu " kuna vikwazo vingi toka serikalini ambavyo sio vya kupendeza " vinavyo mfuata.
Tanzania hatupendi kuambiwa ukweli ila unanifiki tu.Ishu ni kwamba mond kaonyesha udhaifu wa ATCL wakati sirikali haitaki kuona udhaifu huo unaonyeshwa
Fuata protocol ..Nilivyoisoma post yako nikakumbuka kuwa Tanzania inaongoza kwa unafiki duniani ikabidi nutulie tu.
Atcl VS DIAMONDHeeeh... Yaani bado unasisitiza kuwa ATCL wamemfungia diamond maisha?😂😂😂 Kwanza lazima uelewe waliomfungia si ATCL ni Basata.
Pili HAWAJAMFUNGIA MAISHA. NI KWA MUDA USIOJULIKANA. AMBAO INAWEZA HATA KUWA SIKU TANO KAMA HUELEWI.
kwa nini watanzania wengi hawaelewi kiswahili au wanashindwa kuelewa kilichoandikwa ?
Heeeh... Yaani bado unasisitiza kuwa ATCL wamemfungia diamond maisha?[emoji23][emoji23][emoji23] Kwanza lazima uelewe waliomfungia si ATCL ni Basata.
Pili HAWAJAMFUNGIA MAISHA. NI KWA MUDA USIOJULIKANA. AMBAO INAWEZA HATA KUWA SIKU TANO KAMA HUELEWI.
kwa nini watanzania wengi hawaelewi kiswahili au wanashindwa kuelewa kilichoandikwa ?