Tetesi: Kilichomponza Diamond ni Sakata la ATCL

Tatizo kubwa ni kwamba wengi mnaochangia hapa kama wewe mnachangia kama wasafiri wa labda mabasi au wasafiri wa humu humu nchini.
Jiulize; Hivi wajua kuwa safari za ndege huhusiana kote ulimwenguni?? Kwa vipi? Kama nina safari kutoka Mza kwenda Jberg, naweza fanya booking yangu nikasafiri bila kulala Dar na nikaenda kulala home Jberg siku hiyo hiyo??
Sasa ndio maana unaambiwa, Fika even 2 hrs before departure time. Hii inakusaidia na pia inawasaidia wasafirishaji wanaokusafirisha kurekebisha mambo kama kweli walizidiwa na abiria.
Kivipi; Wakiona kuna msongamano au wamezidiwa wanafanya mpango kukodi ndege nyingine iliyopo jirani ili kukuwahisha dar chini ya nusu saa 7a muda uliokuwa umepangiwa kuingia. Unafika unaendelea na safari yako in time.
Mnaposema Mondi kaonewa, hakufanyiwa haki, Je, kuchelewa kwake ati nusu saa kabla ya departure time ndio kuiharibie sifa ATCL kwa sababu ya "Ujuha wake?"
Next time, akodi bus au ndege yake binafsi
 

Chief kwanza nikupongeze kwa hiki ulichokiandika. Pili ni kwamba watanzania wengi hawajui impact aliyokuwa nayo msanii hasa kwenye masuala ya biashara, Diamond ni msanii Mkubwa na ana influence kubwa kwa jamii. Kitendo alichofanya cha kupost video na kauli alizozitoa kina athari kubwa kwa Taasisi husika katika kupata abiria na kuongeza pato la uendeshaji wa huduma za taasisi hiyo. Diamond inabidi awe mfano kwa wasanii wengine katika kuheshimu biashara za watu binafsi na hata za taasisi za kiserikali.



Ningekuwepo pale airport ningemwambia Diamond... "GERARA HERE"
 
Kakutongozea mamaako au ?
 
Hii yako ya kumfungia maisha umeisoma wapi? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Jamani hata kiswahili nacho hatuelewi.sasa sisi waswahili itumike lugha gani tuweze elewa? Basata wamemfungia diamond maisha? Imeandikwa wapi?

Ila hao ATCL wabadilike hyo tabia yao mbovu kumfungia diamond maisha ni adhabu kubwa kuliko maelezo.
 
Mimi ningekuwa daimond ningehama nchi na ningebadili uraia,mbona wakati anauza mitumba basata hawakumsumbua?yani tuna baraza la kufungia nyimbo peke yake.
 
Hii yako ya kumfungia maisha umeisoma wapi? [emoji23][emoji23][emoji23]. Jamani hata kiswahili nacho hatuelewi.sasa sisi waswahili itumike lugha gani tuweze elewa? Basata wamemfungia diamond maisha? Imeandikwa wapi?
Wewe ndo hujaelewa Hilo tamko. Kafungiwa kwa kipindi kisichojulikana hawajawa specific.
 
Mimi ningekuwa daimond ningehama nchi na ningebadili uraia,mbona wakati anauza mitumba basata hawakumsumbua?yani tuna baraza la kufungia nyimbo peke yake.
Mkuu baraza limemfungia kufanya onyesho na wala halikumfungia kutoa nyimbo.

Barua imesema "KUTOFANYA ONYESHO LOLOTEEE"

NA HAIKUSEMA "KUTOFANYA MZIKI WOWOTE"

Kwa hyo nadhani hawakufungiwa kufanya nyimbo.
 
Ahsante mkuu " umenibariki Mnoo
 
Heeeh... Yaani bado unasisitiza kuwa ATCL wamemfungia diamond maisha?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kwanza lazima uelewe waliomfungia si ATCL ni Basata.

Pili HAWAJAMFUNGIA MAISHA. NI KWA MUDA USIOJULIKANA. AMBAO INAWEZA HATA KUWA SIKU TANO KAMA HUELEWI.

kwa nini watanzania wengi hawaelewi kiswahili au wanashindwa kuelewa kilichoandikwa ?


Wewe ndo hujaelewa Hilo tamko. Kafungiwa kwa kipindi kisichojulikana hawajawa specific.
 
Nilivyoisoma post yako nikakumbuka kuwa Tanzania inaongoza kwa unafiki duniani ikabidi nutulie tu.

 
Atcl VS DIAMOND

VITU VIWILI TOFAUTI SIJUI WAKATI ANAANDIKA ALIKUWA AMEJAZA KVANT +SERENGETI LAGER NDOGO
 
Sawa mkuu mimi kiswahili ni lugha ya nne so mie sie mswahili ni lugha inayonisumbua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…