Tetesi: Kilichomponza Diamond ni Sakata la ATCL

Kwenye Show za Mtwara,Iringa,Morogoro,Sumbawanga Wimbo wa Nyegezi haukuimbwa? Kama uliimbwa imekuaje wamechelewa kuwafungia.Halafu Mie nlidhani umefunguliwa,maana Mtaani Nyegezi unapigwa kama kawa
 
Ngoja nae aonje keki ya taifa ya maumivu, maana awamu ni full kugawa maumivu kwa wananchi wake, nakumbuka ule wimbo wake wa "nakaa kimya" aliboa sana
 
Hujawahiona mwizi kaiba, kaonekana na Watu wakamtolea ushahidi, akapigwa akiadhibiwa ili akubali kosa asamehewe lakini akakataa katu katu akikanusha hadi akafa kwa kipigo cha kutosha?

Epuka kuongozwa na akili za mahaba sababu sheria no msumeno na Diamond ni Binadamu so huweza kukosea sawa na Binadamu wengine na anastahili adhabu kwa mujibu wa sheria za nchi.
 
Sio kumfungia Ila according to mleta mada anadai chanzo kilichosababisha diamond kufungiwa ni issue yake ya usafiri wa ndege, so basata wakatumia huo uchochoro kumnyoosha
Kwani ile nyimbo ya nyegezi haiwezi kuwa kigezo ashikishwe adabu?

Inaleta picha gani hasa hususani kwa mila na desturi zetu Tanzania ikiwa nyimbo imejaa matusi tupu?

Nguvu za kifreemason zitawaendesha sana msipokuwa karibu na Mungu akawajaza hekima katika kuelewa dunia inaelekea wapi kwa ushetani uliojificha kupitia hizi nyimbo za kisasa.
 
Na bado atawanyosha sana ninyi vimeo, inadhani Kikwete aliposema anawaletea "CHUMA" sababu yeye ni mpole sana na hana maamuzi alikuwa akiwatania???
 
Kufanikiwa siyo kuwa vizuri kiuchumi, je mahusiano yako na jamii inayokuzunguka katika maisha uishiyo inaakisi au inazaa matunda mema kwa kumpendeza Mungu?

Kila mwenye pesa anaishi maisha ya furaha(ametawaliwa na amani nzuri rohoni mwake)?
Duuu kumbe diyamondi bado hajafanikiwa
 


Safi sana, wakajifunze muziki wa ukweli sasa. No more karaoke.
 
Ama kweli we ni Great Thinker
 
Safi saaaana...mawatu yanachangia tu mada kwa mihemko yao ya kishabiki hata kama Diamond kakosea basi asiadhibiwe kama vile Malaika?

Hala!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…