Kilichomponza mhadhiri ‘gaidi’ wa UDOM ni hiki hapa

Mhadhiri amefundisha somo kwa ufasaha lakini serikali hii ya kigaidi, kiquma na kichoko inakuja kumkamata bila sababu ya msingi.
Ni Profesa mzuri sana huyu; kwa sababu kwenye masomo ya aina hii kamwe huwezi kupata jibu sahihin moja kwa moja. Ni tofauti kabisa na masomo ya say.ansi ambayo kama upo nje ya principles zilizokwishathibitishwa ni lazima ulete ushahidi wa hizo unazotetea wewe

Huyu profesa anachangamsha akili za mwanafunzi, afikiri, na yeye atafute mifano ya kupinga au kuunga mkono hayo yaliyofundishwa na mwalimu.

Hapa profesa hawezi kutunga mtihani ili wanafunzi wake wakariri alichosema, bali waonyeshe uelewa mpana wa kilichofundishwa.
Hakuna jibu moja sahihi.
 
Kwa kawaida binadamu anapokuwa kwenye matatizo na kwenye magumu, watu wenye roho za ubinaadamu, na utu, wanaumizwa na anayopitia, lakini watu wenye roho za kishetani, wanazidi kuchochea moto!, bandiko hili ni adding an insult to an injury!, kuna watu, mnajichumia laana bila kujijua kwa kumsingizia uongo kama, huu uliouleta hapa ili aonekane ni lecture kilaza!,

Kuna aina kuu tatu za miungano ya nchi,
  1. Muungano wa Union na kuunda a unitary gornment kwa kuunda union, nchi mbili au zaidi zinaungana kwa union na kuunda nchi noja. Hizi nchi zote zinapoteza its sovereignty na nchi mpya ya union. Kama GBRT.
  2. Muungano wa Federation, nchi moja au zaidi zinaungana kwenye baadhi tuu ya mambo, kunakuwa na federal government, lakini kila states inakuwa na utawala wake wa mambo yake ya ndani, kama US.
  3. Muungano wa Confederation, kama Ujerumani,
Muungano wa Tanzania na Zanzibar, ni muungano adhimu na adimu.
Kimataifa ni muungano wetu ni muungano wa Union, nchi mbili za Tanganyika na Zanzibar zimeungana kwa union, kuunda nchi moja ya JMT, nchi zote mbili zimepoteza sovereignty zake na JMT ndio the new sovereign.

Lakini ndani ya muungano, JMT ni moja ya JMT yenye muungano wa federation ya nchi mbili, nchi mama ya JMT, na nchi mtoto ya Zanzibar yenye utawala wake wa ndani, lakini hauna sovereignty. Kimaifa Tanzania ni nchi moja tuu, Zanzibar sio nchi, ni sehemu ya Tanzania yenye utawala wake wa ndani kama ilivyo Kwazulu Natal kwa Chief Mangosotho Buthelezi,

Kitendo cha kumsingizia uongo mtu aliyeko matatzoni ni kujichumia laana za bure bila wewe kujijua!.

P.
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar siyo muungano adhimu na adimu, wewe Paskali acha upotoshaji mkubwa, Kwanza hakuna Muungano wa Tanzania na Zanzibar.....Hivi unaota au unatania? Huo muungano wa Tanzania na Zanzibar upo wapi? Kama ni Federation basi kila state ina haki zake kama vile kuwa na sheria tofauti na magavana wanaotoka kwenye hizo states.......Sisi hatuna hizo, tumeletewa huyo mama aliyekuja kuwaua watanganyika bila huruma, anayeiba mali za Tanganyika kupeleka kwao Zanzibar, anayeendesha nchi kwa kuweka watoto wake wasio na adabu, elimu wala hekima. Nchi inaongozwa na Cartel Abdul na Heri Omary, nchi imekuwa Police state, wananchi wasio na makosa wanafirwa, wanateswa, wanabakwa, wanauawa yeye anafurahia kwa sababu amezoea kufanya hayo machafu. Wewe endelea tu kutetea subiri yakufike halafu utuambie, ndiyo maana tunapata marais wa ovyo kwa sababu hawafiti kwenye nchi yetu. Dr. Kaijage amefundisha ukweli, huu siyo muungano bali ni wizi wa mchana, tumeipandisha chati hicho kikisiwa, la sivyo kingekuwa kama Comoro, tena Comoro ina afadhali, watu wavivu wanakaa tu bila kazi kuanzia asubuhi hadi jioni wanawaza ngono tu na uchawi.......Wataendelea vipi?
 
Wewe mbunge wa nanenane eti muungano wa tanzania na zanzibar
 
nchi zote mbili zimepoteza sovereignty zake
Kwa mujibu wa akili unde(AI)
====

Sovereignty is the supreme power and authority of a state to govern itself, make its own laws, and manage its affairs without any outside control or interference. It means a country is fully independent and free from foreign rule.

Key Types of Sovereignty
1. Internal sovereignty: The absolute power of a government to rule its people, enforce laws, and maintain order within its own borders.
2. External sovereignty: The freedom of a country to deal with other nations independently, make its own foreign policy, and stay free from outside military or political pressure.

Core Features

1. Supreme power: There is no higher authority inside the nation than the state's governing body.
2. Independence: Other countries must respect its borders and cannot interfere in its domestic business.
3. Permanence: This authority stays active as long as the state exists.
 
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar siyo muungano adhimu na adimu, wewe Paskali acha upotoshaji mkubwa, Kwanza hakuna Muungano wa Tanzania na Zanzibar.....Hivi unaota au unatania? Huo muungano wa Tanzania na Zanzibar upo wapi? Kama ni Federation basi kila state ina haki zake kama vile kuwa na sheria tofauti na magavana wanaotoka kwenye hizo states.......Sisi hatuna hizo, tumeletewa huyo mama aliyekuja kuwaua watanganyika bila huruma, anayeiba mali za Tanganyika kupeleka kwao Zanzibar, anayeendesha nchi kwa kuweka watoto wake wasio na adabu, elimu wala hekima. Nchi inaongozwa na Cartel Abdul na Heri Omary, nchi imekuwa Police state, wananchi wasio na makosa wanafirwa, wanateswa, wanabakwa, wanauawa yeye anafurahia kwa sababu amezoea kufanya hayo machafu. Wewe endelea tu kutetea subiri yakufike halafu utuambie, ndiyo maana tunapata marais wa ovyo kwa sababu hawafiti kwenye nchi yetu. Dr. Kaijage amefundisha ukweli, huu siyo muungano bali ni wizi wa mchana, tumeipandisha chati hicho kikisiwa, la sivyo kingekuwa kama Comoro, tena Comoro ina afadhali, watu wavivu wanakaa tu bila kazi kuanzia asubuhi hadi jioni wanawaza ngono tu na uchawi.......Wataendelea vipi?

Pumba tupu na chuki za kilokole zimekujaaa🚮🚮🚮
 
Kama alisema kuna Tanzania haina Union Government anapotosha

Zanzibar haina total sovereignty.

Mamlaka yake ni kwa mambo ya ndani tu ila inapokuja kwa maswala ya nje yanayoliwasilisha Taifa yale mambo yanayotambulisha Taifa yamebakia kwa serikali ya JMT.
Yaani Tanganyika ime-surrender 100% ikaishiwa. Ajabu Zanzibar ika-surrender alafu ikabaki nazo baadhi!
1786827019718.png
 
Habari za chinichini zinapenya kutoka viunga vya UDOM na mitandao ya kijamii kwamba kitu kilichomponza mhadhiri wa UDOM, Dr Kaijage, na kujikuta akipewa kesi ya ugaidi, ni ujasiri wake wa kusimamia taaluma kiuweledi bila kumuogopa mtu yeyote. Habari kamili zinadai wakati mhadhiri huyo akiendelea kufundisha somo la Political Science, mada ya Types of Governments alitoa mfano wa nchi zilizoungana na kutengeneza Union Government, huku akiiondoa Tanzania kwenye orodha ya nchi hizo.

Wahadhiri siku zote ni watu wa facts and evidence. Hawapendi blaablaa! Katika kuthibitisha ukweli wa mambo wanayofundisha, hupenda kufanya citations kutoka kwenye vyanzo mbalimbali. Kwa hiyo, ili kukomelea hoja yake kwamba Tanzania is not a union government, Dr Kaijage alinukuu definition kutoka kwenye kitabu cha Civics cha O-level kama citation hiyo ilivyokuwa highlighted hapo chini (wataalamu mtatusaidia kutambua hiki ni kitabu cha kidato cha ngapi):

View attachment 3651108
Kwa mujibu wa definition ya Union Government, kama ilivyoainishwa hapo juu, Dr Kaijage aliwaambia wanafunzi kwamba Tanzania haimo kwenye orodha hiyo kwa sababu Zanzibar haijapoteza madaraka yake. Yaani, kuna serikali inayoitwa ya Muungano (Union) na pia kuna serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, ambayo ina mamlaka yake kama nchi ndani ya muungano. Hivyo, aliwaambia wanafunzi kwamba kitabu hiki kilichoandikwa na kuhakikiwa na serikali, kinafundisha uwongo kwa kuwa Tanzania haikidhi vigezo vya kuitwa nchi ya Muungano.

Kana kwamba hilo halitoshi, Dr Kaijage alihamia kwenye kipengele kingine cha Democracy. Katika kipengele hicho alitoa mifano ya serikali ambazo aliziita za kidikteta, na kuitolea mfano Tanzania kama mojawapo ya nchi za kidikteta, hasa kufuatia sintofahamu kwenye chaguzi za 2009, 2020 na 2025. Aidha, alitumia kitabu kimojawapo cha O-level kutoa tafsiri hiyo kama inavyosomeka kwenye kipande kifuatacho:
View attachment 3651110
Kama inavyoonekana, mhadhiri huyo ali-highlight vipande kwenye mafundisho yake ambavyo viliashiria kwamba Tanzania inaendeshwa kwa misingi ya kidikteta na uvunjivu mkubwa wa haki za binadamu.

Nini kilijiri?
Wakati akiendelea kufundisha, hakujua kuwa alikuwa anarekodiwa na mwanafunzi (chawa) mmoja ndani ya darasa lake. Baada ya kukamilisha kazi ya kurekodi, mwanafunzi huyo alituma video kwa wakubwa zake kwa ajili ya utekelezaji.

MAONI YANGU
Kitendo cha kumkamata Dr Kaijage na kumkandika kesi ya ugaidi, kitasababisha wahadhiri wengine waogope kufundisha kiuledi na badala yake kufundisha uongo ili tu kuifurahisha serikali. Hata kama mifano aliyotoa haiwafurahishi serikali, sio busara kumpa kesi mbaya kiasi hiki. Kibaya zaidi, inasemekana familia ya Kaijage imekatiwa huduma za maji na umeme na kupelekea familia hiyo kuishi kwa taabu na shida. Hii sio sawa.

Nawasilisha.
​
 
Attachments

  • 1000020485.jpg
    1000020485.jpg
    12.1 KB · Views: 6
Huu "muungano" wa mchongo hauna muda mrefu. Unakwenda kuvunjika.

Msidanganyike siku kama iyo aipo

Kuvunjika kwa muungano ni kusambaratika kabisa kwa iyo unayoita Tanganyika

Umoja wa Tanzania unatokana na Zanzibar kinyume chake hakuna Tanganyika moja kutokea apo

Muwaogope sana watu wenye kuzungumzia Tanganyika miaka ya sasa ni wabaya zaidi kitaifa 👈
 
Kwa kawaida binadamu anapokuwa kwenye matatizo na kwenye magumu, watu wenye roho za ubinaadamu, na utu, wanaumizwa na anayopitia, lakini watu wenye roho za kishetani, wanazidi kuchochea moto!, bandiko hili ni adding an insult to an injury!, kuna watu, mnajichumia laana bila kujijua kwa kumsingizia uongo kama, huu uliouleta hapa ili aonekane ni lecture kilaza!,

Kuna aina kuu tatu za miungano ya nchi,
  1. Muungano wa Union na kuunda a unitary gornment kwa kuunda union, nchi mbili au zaidi zinaungana kwa union na kuunda nchi noja. Hizi nchi zote zinapoteza its sovereignty na nchi mpya ya union. Kama GBRT.
  2. Muungano wa Federation, nchi moja au zaidi zinaungana kwenye baadhi tuu ya mambo, kunakuwa na federal government, lakini kila states inakuwa na utawala wake wa mambo yake ya ndani, kama US.
  3. Muungano wa Confederation, kama Ujerumani,
Muungano wa Tanzania na Zanzibar, ni muungano adhimu na adimu.
Kimataifa ni muungano wetu ni muungano wa Union, nchi mbili za Tanganyika na Zanzibar zimeungana kwa union, kuunda nchi moja ya JMT, nchi zote mbili zimepoteza sovereignty zake na JMT ndio the new sovereign.

Lakini ndani ya muungano, JMT ni moja ya JMT yenye muungano wa federation ya nchi mbili, nchi mama ya JMT, na nchi mtoto ya Zanzibar yenye utawala wake wa ndani, lakini hauna sovereignty. Kimaifa Tanzania ni nchi moja tuu, Zanzibar sio nchi, ni sehemu ya Tanzania yenye utawala wake wa ndani kama ilivyo Kwazulu Natal kwa Chief Mangosotho Buthelezi,

Kitendo cha kumsingizia uongo mtu aliyeko matatzoni ni kujichumia laana za bure bila wewe kujijua!.

P.
Sasa Paskali unachopinga ni nini?

Labda tuseme kasingiziwa hajasema hayo ila hata hivo ulichoandika na wewe ni uongo, vitabu tulivyosoma havisemi uliyoandika wewe au wewe mwenzetu umesoma wapi?

Wapi ulipoona kitabu kinasema Muungano wa Tanzania ni wa kipekee dunian ukaelezea hayo uliyosema wewe?

Nipe kitabu hicho cha kitaaluma kuanzia shule ya msingi hadi sekondari achana na maswala ya vyuon maana chuon hakutolewi elimu bali mafunzo.

Na ndio maana kwenye andiko hili ni comment nyingi karibia zote zinaunga upotofu wa maandiko hayo hilo ni tunda ya kile walichosoma...

ila wewe umeandika kulingana na sijui tafti zako ila kielimu iwe huyo mhadhiri alisema au hakusema ukweli ni kua hivo vitabu vimepotosha sana na ndio maana wanakimbiliaga kusema Example Tanganyika and zanzibar yani wataandika definition wakimaliza tu pale pale example Tanzania.

Labdq cha kukuomba peleka mapendekezo TIE waingize hayo maelezo yako kwenye vitabu vya uraia na historia.

Hili swala hata Mimi tokea O'level nimeliyliza sana nakumbuka kuna mwalimu wangu nilimhoji hadi akasema chukua kitin hiki ukajisomee mwenyewe utajipa majibu..nafika chuon hapo Kwa Mtakatifu Mwalimu wangu wa Constitutional anaanza kufundisha akaanza kusema hayahaya kua kuna uongo sana juu ya Muungano wetu.

Definition zote za o'level na Advance zimebagazwa mfano wa Tanzani ila ukweli Tz haimo kwenyi hizo definition.
 
Kuna aina kuu tatu za miungano ya nchi,
  1. Muungano wa Union na kuunda a unitary gornment kwa kuunda union, nchi mbili au zaidi zinaungana kwa union na kuunda nchi noja. Hizi nchi zote zinapoteza its sovereignty na nchi mpya ya union. Kama GBRT.
  2. Muungano wa Federation, nchi moja au zaidi zinaungana kwenye baadhi tuu ya mambo, kunakuwa na federal government, lakini kila states inakuwa na utawala wake wa mambo yake ya ndani, kama US.
  3. Muungano wa Confederation, kama Ujerumani,

P.

Let's face it: Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kiukweli haupo kwenye hizo definitions 3 umetoa hapo juu!
We are something else, sort of a charity union. One state desperately lost its sovereignty and sacrificed 💯 for the other that kept its sovereignty.

NB: nadhani Muungano sahihi uliishia kwenye vyama ASP na TANU kuzaa jinamizi liitwalo ccm.
 
Back
Top Bottom