gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Kama hakuna ushahidi hakutakiwa hata kuliweka bandiko hapa achilia mbali watu kujadiliKwani hapa tuko mahakamani, au tunachangia mjadala? Mtoa mada hajatoa sababu mwanzoni mwa mada yake? Au huna macho!
Au una sababu halisi za huo ugaidi? Si uzitoe hapa? Unaficha nini?