Huna sababu yoyote ya kumhusisha Nyerere kuhusu ujinga ulionao mwenyewe.Zanzibar ni nchi
Tanganyika ni mkoa
Nyerere alizingua sana!
Wewe Mrwanda kwani wewe ulikuwemo kwenye hilo darasa alilokuwa anafundisha au unawandanganya nyumbu wenzio tu hapa?Mhadhiri amefundisha somo kwa ufasaha lakini serikali hii ya kigaidi, kiquma na kichoko inakuja kumkamata bila sababu ya msingi.
No sio mgambo wote hawalipwi mishahara, hata huku auxiliary polisi wote na askari kama Tanapa, Fire, wale wa makampuni ya ulinzi, wote wameajiriwa na wanalipwa. Wasiolipwa ni mgambo wa jiji ndio wanalipwa posho tuuHuku kwetu mgambo hawana mishahara, vipi hao mgambo wa huko hawalipwi mishahara pia?
Kuna wakati niliwahi kuuliza hili swali mahali kuhusu kila nchi ku surrender uhuru wake kuunda muungano, kumbe ndo ugaidi huu?Zanzibar ni kama ndoano iliyokwama kooni kwa Tanganyika
Kwa kawaida binadamu anapokuwa kwenye matatizo na kwenye magumu, watu wenye roho za ubinaadamu, na utu, wanaumizwa na anayopitia, lakini watu wenye roho za kishetani, wanazidi kuchochea moto!, bandiko hili ni adding an insult to an injury!, kuna watu, mnajichumia laana bila kujijua kwa kumsingizia uongo kama, huu uliouleta hapa ili aonekane ni lecture kilaza!,
Kuna aina kuu tatu za miungano ya nchi,
Muungano wa Tanzania na Zanzibar, ni muungano adhimu na adimu.
- Muungano wa Union na kuunda a unitary gornment kwa kuunda union, nchi mbili au zaidi zinaungana kwa union na kuunda nchi noja. Hizi nchi zote zinapoteza its sovereignty na nchi mpya ya union. Kama GBRT.
- Muungano wa Federation, nchi moja au zaidi zinaungana kwenye baadhi tuu ya mambo, kunakuwa na federal government, lakini kila states inakuwa na utawala wake wa mambo yake ya ndani, kama US.
- Muungano wa Confederation, kama Ujerumani,
Kimataifa ni muungano wetu ni muungano wa Union, nchi mbili za Tanganyika na Zanzibar zimeungana kwa union, kuunda nchi moja ya JMT, nchi zote mbili zimepoteza sovereignty zake na JMT ndio the new sovereign.
Lakini ndani ya muungano, JMT ni moja ya JMT yenye muungano wa federation ya nchi mbili, nchi mama ya JMT, na nchi mtoto ya Zanzibar yenye utawala wake wa ndani, lakini hauna sovereignty. Kimaifa Tanzania ni nchi moja tuu, Zanzibar sio nchi, ni sehemu ya Tanzania yenye utawala wake wa ndani kama ilivyo Kwazulu Natal kwa Chief Mangosotho Buthelezi,
Kitendo cha kumsingizia uongo mtu aliyeko matatzoni ni kujichumia laana za bure bila wewe kujijua!.
P.
Huu ni muungano wa kiduwanzi kuwahi kutokea hapa Ulimwenguni. Ndio maana maCCM hayataki watanzania waujue ukweli. Mtu akisema ukweli lazima apewe kesi ya ugaidi.Mimi naona nilifaulu kwa kubahatisha darasani! Hapa haujaeleweka
Huku ni kujificha kwenye kivuli cha "muungano wa kipekee" kwa kuuficha ukweli
Ki ukweli muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni janja janja tu ya kisiasa na ipo siku hii janja janja itaisha
Kwanini kila nchi isi handle madaraka yake? Kwanini iwe Tanzania tu? Kwanini muungano wetu hauna defination inayojitegemea??
Hizo quotations za kaijage umezipata wapi? Au Wewe ndiyo huyo mwanafunzi uliyemrekodi mwalimu kaijage?Habari za chinichini zinapenya kutoka viunga vya UDOM na mitandao ya kijamii kwamba kitu kilichomponza mhadhiri wa UDOM, Dr Kaijage, na kujikuta akipewa kesi ya ugaidi, ni ujasiri wake wa kusimamia taaluma kiuweledi bila kumuogopa mtu yeyote. Habari kamili zinadai wakati mhadhiri huyo akiendelea kufundisha somo la Political Science, mada ya Types of Governments alitoa mfano wa nchi zilizoungana na kutengeneza Union Government, huku akiiondoa Tanzania kwenye orodha ya nchi hizo.
Wahadhiri siku zote ni watu wa facts and evidence. Hawapendi blaablaa! Katika kuthibitisha ukweli wa mambo wanayofundisha, hupenda kufanya citations kutoka kwenye vyanzo mbalimbali. Kwa hiyo, ili kukomelea hoja yake kwamba Tanzania is not a union government, Dr Kaijage alinukuu definition kutoka kwenye kitabu cha Civics cha O-level kama citation hiyo ilivyokuwa highlighted hapo chini (wataalamu mtatusaidia kutambua hiki ni kitabu cha kidato cha ngapi):
View attachment 3651108
Kwa mujibu wa definition ya Union Government, kama ilivyoainishwa hapo juu, Dr Kaijage aliwaambia wanafunzi kwamba Tanzania haimo kwenye orodha hiyo kwa sababu Zanzibar haijapoteza madaraka yake. Yaani, kuna serikali inayoitwa ya Muungano (Union) na pia kuna serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, ambayo ina mamlaka yake kama nchi ndani ya muungano. Hivyo, aliwaambia wanafunzi kwamba kitabu hiki kilichoandikwa na kuhakikiwa na serikali, kinafundisha uwongo kwa kuwa Tanzania haikidhi vigezo vya kuitwa nchi ya Muungano.
Kana kwamba hilo halitoshi, Dr Kaijage alihamia kwenye kipengele kingine cha Democracy. Katika kipengele hicho alitoa mifano ya serikali ambazo aliziita za kidikteta, na kuitolea mfano Tanzania kama mojawapo ya nchi za kidikteta, hasa kufuatia sintofahamu kwenye chaguzi za 2009, 2020 na 2025. Aidha, alitumia kitabu kimojawapo cha O-level kutoa tafsiri hiyo kama inavyosomeka kwenye kipande kifuatacho:
View attachment 3651110
Kama inavyoonekana, mhadhiri huyo ali-highlight vipande kwenye mafundisho yake ambavyo viliashiria kwamba Tanzania inaendeshwa kwa misingi ya kidikteta na uvunjivu mkubwa wa haki za binadamu.
Nini kilijiri?
Wakati akiendelea kufundisha, hakujua kuwa alikuwa anarekodiwa na mwanafunzi (chawa) mmoja ndani ya darasa lake. Baada ya kukamilisha kazi ya kurekodi, mwanafunzi huyo alituma video kwa wakubwa zake kwa ajili ya utekelezaji.
MAONI YANGU
Kitendo cha kumkamata Dr Kaijage na kumkandika kesi ya ugaidi, kitasababisha wahadhiri wengine waogope kufundisha kiuledi na badala yake kufundisha uongo ili tu kuifurahisha serikali. Hata kama mifano aliyotoa haiwafurahishi serikali, sio busara kumpa kesi mbaya kiasi hiki. Kibaya zaidi, inasemekana familia ya Kaijage imekatiwa huduma za maji na umeme na kupelekea familia hiyo kuishi kwa taabu na shida. Hii sio sawa.
Nawasilisha.
Mkuu kwahiyo itakuaje!?Mhadhiri amefundisha somo kwa ufasaha lakini serikali hii ya kigaidi, kiquma na kichoko inakuja kumkamata bila sababu ya msingi.
Na Rais naye je? au ni mwenyekiti wa mtaa yule?Wale, KMKM, JKU na vikosi vya SMZ wote ni migambo tuu, sio dola!.
P
Basi sawa lawama ntakupa wewe mjukuu wa nyerereHuna sababu yoyote ya kumhusisha Nyerere kuhusu ujinga ulionao mwenyewe.
Nyerere hahusiki na upumbavuunaofanyika sasa hivi. Elekeza lawama zako mahala zinakotakiwa kuelekezwa.
Rais wa Zanzibar ndani ya muungango ni rais wa Zanzibar, ambayo ni sehemu ya JMT inayojitemea, ila kimataifa, rais wa Zanzibar ni rais jina tuu kwasababu Zanzibar sio nchi, ni sehemu ya JMT.Na Rais naye je? au ni mwenyekiti wa mtaa yule?
Ww ulikuwepo darasani siku hiyo?na je umejuaje hicho ndo anachoshtakiwa kwacho?Hakuweka interpretation wala translation bali alicheza kwenye definition ileile iliyomo kwenye vitabu hivyo na kusaidia kuondoa upotoshaji wa muda mrefu. Hebu kwanza pitia definitions hizo hapo juu ujiridhishe mkuu.
😀😀😀 umesemaje paskali..?Kimataifa ni muungano wetu ni muungano wa Union
Muungano wetu kimataifa ni muungano wa union, nchi mbili zimeungana na kuunda nchi moja, ya JMT, yenye rais mmoja, serikali moja, uraia mmoja wa JMT.😀😀😀 umesemaje paskali..?