Kilichomponza mhadhiri ‘gaidi’ wa UDOM ni hiki hapa

Kilichomponza mhadhiri ‘gaidi’ wa UDOM ni hiki hapa

Kwanza la jimbo kuwa na watu chini ya 1000 ni uwongo km kawaida yenu, kingine Zanzibar ktk mambo yake ya ndani ina taratibu zake lazima uziheshimu, msitake kuiendesha kwa matakwa yenu
Uongo ni upi? Jimbo la Fundi ama Chake Chake kule kuna wapiga kura wangapi?
Je, kwanini Tanganyika isiwe na mambo yake ya ndani?
 
Anabaguliwa Mtanganyika uwongo wa kilokole
Wachungaji ndio wanapika uwongo wa namna iyo👈

Mitaa ya Zanzibar kumejaa machinga kibao kutokea Bara ✍️
Machinga na boda boda wengi ni kutoka Tanganyika kwa sababu kuu mbili...
1. WaTanganyika wanaziona fursa ambazo Wazanzibari hawazioni.
2. Wazanzibari ni wavivu.

Kuna maeneo Zanzibar ukienda wakishajua weye Mtanganyika unachukuliwa tofauti kabisa! Hata mke hupati!
 
Kwa kawaida binadamu anapokuwa kwenye matatizo na kwenye magumu, watu wenye roho za ubinaadamu, na utu, wanaumizwa na anayopitia, lakini watu wenye roho za kishetani, wanazidi kuchochea moto!, bandiko hili ni adding an insult to an injury!, kuna watu, mnajichumia laana bila kujijua kwa kumsingizia uongo kama, huu uliouleta hapa ili aonekane ni lecture kilaza!,

Kuna aina kuu tatu za miungano ya nchi,
  1. Muungano wa Union na kuunda a unitary gornment kwa kuunda union, nchi mbili au zaidi zinaungana kwa union na kuunda nchi noja. Hizi nchi zote zinapoteza its sovereignty na nchi mpya ya union. Kama GBRT.
  2. Muungano wa Federation, nchi moja au zaidi zinaungana kwenye baadhi tuu ya mambo, kunakuwa na federal government, lakini kila states inakuwa na utawala wake wa mambo yake ya ndani, kama US.
  3. Muungano wa Confederation, kama Ujerumani,
Muungano wa Tanzania na Zanzibar, ni muungano adhimu na adimu.
Kimataifa ni muungano wetu ni muungano wa Union, nchi mbili za Tanganyika na Zanzibar zimeungana kwa union, kuunda nchi moja ya JMT, nchi zote mbili zimepoteza sovereignty zake na JMT ndio the new sovereign.

Lakini ndani ya muungano, JMT ni moja ya JMT yenye muungano wa federation ya nchi mbili, nchi mama ya JMT, na nchi mtoto ya Zanzibar yenye utawala wake wa ndani, lakini hauna sovereignty. Kimaifa Tanzania ni nchi moja tuu, Zanzibar sio nchi, ni sehemu ya Tanzania yenye utawala wake wa ndani kama ilivyo Kwazulu Natal kwa Chief Mangosotho Buthelezi,

Kitendo cha kumsingizia uongo mtu aliyeko matatzoni ni kujichumia laana za bure bila wewe kujijua!.

P.
we Mzee umekuwa MUONGO sana, labla hujui maana ya Sovereignty!

Hapo umesema serikali mbili, Serikali ya Tanganyika Iko wapi ?? Serikali ya Tanganyika ilizikwa 1964 hali ya kuwa serikali ya Zanzibar ipo mpaka Leo.

Ninyi wazee ni wapuzi sana Bora kizazi chenu kife chote tuanze upya.
 
Kwa kawaida binadamu anapokuwa kwenye matatizo na kwenye magumu, watu wenye roho za ubinaadamu, na utu, wanaumizwa na anayopitia, lakini watu wenye roho za kishetani, wanazidi kuchochea moto!, bandiko hili ni adding an insult to an injury!, kuna watu, mnajichumia laana bila kujijua kwa kumsingizia uongo kama, huu uliouleta hapa ili aonekane ni lecture kilaza!,

Kuna aina kuu tatu za miungano ya nchi,
  1. Muungano wa Union na kuunda a unitary gornment kwa kuunda union, nchi mbili au zaidi zinaungana kwa union na kuunda nchi noja. Hizi nchi zote zinapoteza its sovereignty na nchi mpya ya union. Kama GBRT.
  2. Muungano wa Federation, nchi moja au zaidi zinaungana kwenye baadhi tuu ya mambo, kunakuwa na federal government, lakini kila states inakuwa na utawala wake wa mambo yake ya ndani, kama US.
  3. Muungano wa Confederation, kama Ujerumani,
Muungano wa Tanzania na Zanzibar, ni muungano adhimu na adimu.
Kimataifa ni muungano wetu ni muungano wa Union, nchi mbili za Tanganyika na Zanzibar zimeungana kwa union, kuunda nchi moja ya JMT, nchi zote mbili zimepoteza sovereignty zake na JMT ndio the new sovereign.

Lakini ndani ya muungano, JMT ni moja ya JMT yenye muungano wa federation ya nchi mbili, nchi mama ya JMT, na nchi mtoto ya Zanzibar yenye utawala wake wa ndani, lakini hauna sovereignty. Kimaifa Tanzania ni nchi moja tuu, Zanzibar sio nchi, ni sehemu ya Tanzania yenye utawala wake wa ndani kama ilivyo Kwazulu Natal kwa Chief Mangosotho Buthelezi,

Kitendo cha kumsingizia uongo mtu aliyeko matatzoni ni kujichumia laana za bure bila wewe kujijua!.

P.
Tetea hoja yako kwa kusema kuna aina 4 za muungano lakini kama umestick kwenye aina 3 basi mwanazuoni alikuwa sahihi kuelezea ya kwetu si muungano. Huwez kuwa na muungano ambao kipande kimoja kina mamlaka yake ya ndani hata kama kimataifa hakina. Does it make sense chako chote (cha bara) ni chetu na changu ni changu peke yangu labda nikumegee hiki tu (mambo ya muungano).
 
Mkuu kuumia tu hakutoshi na una cha kufanya. Hauko salama kama unavyodhani hata kama huongelei mambo ya siasa na usifikirie kusema ''Mungu awasaidie'' wewe humo. Siyo lazima ufanye jambo kubwa sana kama unavyodhani. Unaweza kususia bidhaa, wasanii, media, timu za mpira etc ambavyo ni pro-CCM. Unaweza kususia mikutano yote ya CCM. Ukisikia chama cha haki kama CHADEMA wanafanya mktano, nenda na utoe hata sh 500. Fanya hivyo wewe, shawishi na watu wako wa karibu ambao unasikilizana. Mimi, yule na yeye tukifanya hivyo, na jamii yote itafanya na ukatili utashindwa.
Tukifanya hivi kwa mamilioni ushindi lazima!
 
Wahadhiri wenzie ndiyo bure kabisa!

Kuna vyama vya wafanyakazi kazi yao ni kufyeka 2% ya mshahara kila mwezi na hawatetei maslahi ya hao wanaowakamua.
Humo pro-CCM(chawa) hawamo?. Kumbuka umeambiwa wakati Kaijage anafundisha kuna chawa alimrekodi. Suggest how they can organise themselves bila kushtukiwa!
 
Ni minor issue sana ni vile tu viongozi wetu wanadeal na petty issues mtu anafundisha kipindi chake unataka kucontrol kila kitu
HOFU ya kutoka madarakani Mkuu. Hawa watu wanaogopa sana akili za wananchi kufunguka.

Kazi kama anayoifanya Heche kwa mfano, inawanyima usingizi sana. Hivyo,tutegemee matukio kama haya mengi zaidi siku za usoni kabla ya ANGUKO lao!
 
Kama alisema kuna Tanzania haina Union Government anapotosha


Zanzibar haina total sovereignty.

Mamlaka yake ni kwa mambo ya ndani tu ila inapokuja kwa maswala ya nje yanayoliwasilisha Taifa yale mambo yanayotambulisha Taifa yamebakia kwa serikali ya JMT.
Labda kwa zamani. Sasa hivi Zanzibar wanaamua mambo ya Tanganyika hata ya nje.

Utasikia Rais Hussein Mwinyi kaiwakilisha Nchi ya Tanzania nje huko, wakati bado ni Rais wa Zanzibar. Kwa hiyo anakiwa muamuzi wa Mataifa mawili
 
Ishu ya muungano wiki mbili zilizopita nilibishana na mwanangu anafanya mitihani ya std 7 mwaka huu... Yeye alishikilia msimamo kwanma TANZANIA sio muungano na mpaka mwisho alikomaa kwa definition anayoijua yeye.

Kimsingi ishu ya muungano inahitaji kujadiliwa kwa upana wake generation ijayo huenda ukavunjwa kirahisi sana
 
Aliwr
Kwa hiyo aliweka interpretation zake kwenye vitabu vya watu wasomi wengine

Ishu ya muungano wiki mbili zilizopita nilibishana na mwanangu anafanya mitihani ya std 7 mwaka huu... Yeye alishikilia msimamo kwanma TANZANIA sio muungano na mpaka mwisho alikomaa kwa definition anayoijua yeye.

Kimsingi ishu ya muungano inahitaji kujadiliwa kwa upana wake generation ijayo huenda ukavunjwa kirahisi sana
Siku muungano ukivunjwa/ukivunjika ningali hai, nitauza hiki kiwanja changu, nifanye sherehe.

Bora nife nikiitwa mpangaji, kuliko kujenga ndani ya muungano wenye, machungu, mateso, ubaguzi, mauaji na dharau.
 
Back
Top Bottom