Ni Profesa mzuri sana huyu; kwa sababu kwenye masomo ya aina hii kamwe huwezi kupata jibu sahihin moja kwa moja. Ni tofauti kabisa na masomo ya say.ansi ambayo kama upo nje ya principles zilizokwishathibitishwa ni lazima ulete ushahidi wa hizo unazotetea weweMhadhiri amefundisha somo kwa ufasaha lakini serikali hii ya kigaidi, kiquma na kichoko inakuja kumkamata bila sababu ya msingi.
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar siyo muungano adhimu na adimu, wewe Paskali acha upotoshaji mkubwa, Kwanza hakuna Muungano wa Tanzania na Zanzibar.....Hivi unaota au unatania? Huo muungano wa Tanzania na Zanzibar upo wapi? Kama ni Federation basi kila state ina haki zake kama vile kuwa na sheria tofauti na magavana wanaotoka kwenye hizo states.......Sisi hatuna hizo, tumeletewa huyo mama aliyekuja kuwaua watanganyika bila huruma, anayeiba mali za Tanganyika kupeleka kwao Zanzibar, anayeendesha nchi kwa kuweka watoto wake wasio na adabu, elimu wala hekima. Nchi inaongozwa na Cartel Abdul na Heri Omary, nchi imekuwa Police state, wananchi wasio na makosa wanafirwa, wanateswa, wanabakwa, wanauawa yeye anafurahia kwa sababu amezoea kufanya hayo machafu. Wewe endelea tu kutetea subiri yakufike halafu utuambie, ndiyo maana tunapata marais wa ovyo kwa sababu hawafiti kwenye nchi yetu. Dr. Kaijage amefundisha ukweli, huu siyo muungano bali ni wizi wa mchana, tumeipandisha chati hicho kikisiwa, la sivyo kingekuwa kama Comoro, tena Comoro ina afadhali, watu wavivu wanakaa tu bila kazi kuanzia asubuhi hadi jioni wanawaza ngono tu na uchawi.......Wataendelea vipi?Kwa kawaida binadamu anapokuwa kwenye matatizo na kwenye magumu, watu wenye roho za ubinaadamu, na utu, wanaumizwa na anayopitia, lakini watu wenye roho za kishetani, wanazidi kuchochea moto!, bandiko hili ni adding an insult to an injury!, kuna watu, mnajichumia laana bila kujijua kwa kumsingizia uongo kama, huu uliouleta hapa ili aonekane ni lecture kilaza!,
Kuna aina kuu tatu za miungano ya nchi,
Muungano wa Tanzania na Zanzibar, ni muungano adhimu na adimu.
- Muungano wa Union na kuunda a unitary gornment kwa kuunda union, nchi mbili au zaidi zinaungana kwa union na kuunda nchi noja. Hizi nchi zote zinapoteza its sovereignty na nchi mpya ya union. Kama GBRT.
- Muungano wa Federation, nchi moja au zaidi zinaungana kwenye baadhi tuu ya mambo, kunakuwa na federal government, lakini kila states inakuwa na utawala wake wa mambo yake ya ndani, kama US.
- Muungano wa Confederation, kama Ujerumani,
Kimataifa ni muungano wetu ni muungano wa Union, nchi mbili za Tanganyika na Zanzibar zimeungana kwa union, kuunda nchi moja ya JMT, nchi zote mbili zimepoteza sovereignty zake na JMT ndio the new sovereign.
Lakini ndani ya muungano, JMT ni moja ya JMT yenye muungano wa federation ya nchi mbili, nchi mama ya JMT, na nchi mtoto ya Zanzibar yenye utawala wake wa ndani, lakini hauna sovereignty. Kimaifa Tanzania ni nchi moja tuu, Zanzibar sio nchi, ni sehemu ya Tanzania yenye utawala wake wa ndani kama ilivyo Kwazulu Natal kwa Chief Mangosotho Buthelezi,
Kitendo cha kumsingizia uongo mtu aliyeko matatzoni ni kujichumia laana za bure bila wewe kujijua!.
P.
Mbona timu zao zinashiriki ligi ya mabingwa?Kama alisema kuna Tanzania haina Union Government anapotosha
Zanzibar haina total sovereignty.
Mamlaka yake ni kwa mambo ya ndani tu ila inapokuja kwa maswala ya nje yanayoliwasilisha Taifa yale mambo yanayotambulisha Taifa yamebakia kwa serikali ya JMT.
Wewe mbunge wa nanenane eti muungano wa tanzania na zanzibarKwa kawaida binadamu anapokuwa kwenye matatizo na kwenye magumu, watu wenye roho za ubinaadamu, na utu, wanaumizwa na anayopitia, lakini watu wenye roho za kishetani, wanazidi kuchochea moto!, bandiko hili ni adding an insult to an injury!, kuna watu, mnajichumia laana bila kujijua kwa kumsingizia uongo kama, huu uliouleta hapa ili aonekane ni lecture kilaza!,
Kuna aina kuu tatu za miungano ya nchi,
Muungano wa Tanzania na Zanzibar, ni muungano adhimu na adimu.
- Muungano wa Union na kuunda a unitary gornment kwa kuunda union, nchi mbili au zaidi zinaungana kwa union na kuunda nchi noja. Hizi nchi zote zinapoteza its sovereignty na nchi mpya ya union. Kama GBRT.
- Muungano wa Federation, nchi moja au zaidi zinaungana kwenye baadhi tuu ya mambo, kunakuwa na federal government, lakini kila states inakuwa na utawala wake wa mambo yake ya ndani, kama US.
- Muungano wa Confederation, kama Ujerumani,
Kimataifa ni muungano wetu ni muungano wa Union, nchi mbili za Tanganyika na Zanzibar zimeungana kwa union, kuunda nchi moja ya JMT, nchi zote mbili zimepoteza sovereignty zake na JMT ndio the new sovereign.
Lakini ndani ya muungano, JMT ni moja ya JMT yenye muungano wa federation ya nchi mbili, nchi mama ya JMT, na nchi mtoto ya Zanzibar yenye utawala wake wa ndani, lakini hauna sovereignty. Kimaifa Tanzania ni nchi moja tuu, Zanzibar sio nchi, ni sehemu ya Tanzania yenye utawala wake wa ndani kama ilivyo Kwazulu Natal kwa Chief Mangosotho Buthelezi,
Kitendo cha kumsingizia uongo mtu aliyeko matatzoni ni kujichumia laana za bure bila wewe kujijua!.
P.
Mtanganyika anaweza kuwa raisi Zanzibar?
Kwa mujibu wa akili unde(AI)nchi zote mbili zimepoteza sovereignty zake
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar siyo muungano adhimu na adimu, wewe Paskali acha upotoshaji mkubwa, Kwanza hakuna Muungano wa Tanzania na Zanzibar.....Hivi unaota au unatania? Huo muungano wa Tanzania na Zanzibar upo wapi? Kama ni Federation basi kila state ina haki zake kama vile kuwa na sheria tofauti na magavana wanaotoka kwenye hizo states.......Sisi hatuna hizo, tumeletewa huyo mama aliyekuja kuwaua watanganyika bila huruma, anayeiba mali za Tanganyika kupeleka kwao Zanzibar, anayeendesha nchi kwa kuweka watoto wake wasio na adabu, elimu wala hekima. Nchi inaongozwa na Cartel Abdul na Heri Omary, nchi imekuwa Police state, wananchi wasio na makosa wanafirwa, wanateswa, wanabakwa, wanauawa yeye anafurahia kwa sababu amezoea kufanya hayo machafu. Wewe endelea tu kutetea subiri yakufike halafu utuambie, ndiyo maana tunapata marais wa ovyo kwa sababu hawafiti kwenye nchi yetu. Dr. Kaijage amefundisha ukweli, huu siyo muungano bali ni wizi wa mchana, tumeipandisha chati hicho kikisiwa, la sivyo kingekuwa kama Comoro, tena Comoro ina afadhali, watu wavivu wanakaa tu bila kazi kuanzia asubuhi hadi jioni wanawaza ngono tu na uchawi.......Wataendelea vipi?
Yaani Tanganyika ime-surrender 100% ikaishiwa. Ajabu Zanzibar ika-surrender alafu ikabaki nazo baadhi!Kama alisema kuna Tanzania haina Union Government anapotosha
Zanzibar haina total sovereignty.
Mamlaka yake ni kwa mambo ya ndani tu ila inapokuja kwa maswala ya nje yanayoliwasilisha Taifa yale mambo yanayotambulisha Taifa yamebakia kwa serikali ya JMT.
Habari za chinichini zinapenya kutoka viunga vya UDOM na mitandao ya kijamii kwamba kitu kilichomponza mhadhiri wa UDOM, Dr Kaijage, na kujikuta akipewa kesi ya ugaidi, ni ujasiri wake wa kusimamia taaluma kiuweledi bila kumuogopa mtu yeyote. Habari kamili zinadai wakati mhadhiri huyo akiendelea kufundisha somo la Political Science, mada ya Types of Governments alitoa mfano wa nchi zilizoungana na kutengeneza Union Government, huku akiiondoa Tanzania kwenye orodha ya nchi hizo.
Wahadhiri siku zote ni watu wa facts and evidence. Hawapendi blaablaa! Katika kuthibitisha ukweli wa mambo wanayofundisha, hupenda kufanya citations kutoka kwenye vyanzo mbalimbali. Kwa hiyo, ili kukomelea hoja yake kwamba Tanzania is not a union government, Dr Kaijage alinukuu definition kutoka kwenye kitabu cha Civics cha O-level kama citation hiyo ilivyokuwa highlighted hapo chini (wataalamu mtatusaidia kutambua hiki ni kitabu cha kidato cha ngapi):
View attachment 3651108
Kwa mujibu wa definition ya Union Government, kama ilivyoainishwa hapo juu, Dr Kaijage aliwaambia wanafunzi kwamba Tanzania haimo kwenye orodha hiyo kwa sababu Zanzibar haijapoteza madaraka yake. Yaani, kuna serikali inayoitwa ya Muungano (Union) na pia kuna serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, ambayo ina mamlaka yake kama nchi ndani ya muungano. Hivyo, aliwaambia wanafunzi kwamba kitabu hiki kilichoandikwa na kuhakikiwa na serikali, kinafundisha uwongo kwa kuwa Tanzania haikidhi vigezo vya kuitwa nchi ya Muungano.
Kana kwamba hilo halitoshi, Dr Kaijage alihamia kwenye kipengele kingine cha Democracy. Katika kipengele hicho alitoa mifano ya serikali ambazo aliziita za kidikteta, na kuitolea mfano Tanzania kama mojawapo ya nchi za kidikteta, hasa kufuatia sintofahamu kwenye chaguzi za 2009, 2020 na 2025. Aidha, alitumia kitabu kimojawapo cha O-level kutoa tafsiri hiyo kama inavyosomeka kwenye kipande kifuatacho:
View attachment 3651110
Kama inavyoonekana, mhadhiri huyo ali-highlight vipande kwenye mafundisho yake ambavyo viliashiria kwamba Tanzania inaendeshwa kwa misingi ya kidikteta na uvunjivu mkubwa wa haki za binadamu.
Nini kilijiri?
Wakati akiendelea kufundisha, hakujua kuwa alikuwa anarekodiwa na mwanafunzi (chawa) mmoja ndani ya darasa lake. Baada ya kukamilisha kazi ya kurekodi, mwanafunzi huyo alituma video kwa wakubwa zake kwa ajili ya utekelezaji.
MAONI YANGU
Kitendo cha kumkamata Dr Kaijage na kumkandika kesi ya ugaidi, kitasababisha wahadhiri wengine waogope kufundisha kiuledi na badala yake kufundisha uongo ili tu kuifurahisha serikali. Hata kama mifano aliyotoa haiwafurahishi serikali, sio busara kumpa kesi mbaya kiasi hiki. Kibaya zaidi, inasemekana familia ya Kaijage imekatiwa huduma za maji na umeme na kupelekea familia hiyo kuishi kwa taabu na shida. Hii sio sawa.
Nawasilisha.
Jibu swali acha maswaliUnamiaka mingapi ndugu???
Huu "muungano" wa mchongo hauna muda mrefu. Unakwenda kuvunjika.
'Kuhighlight' ni 'kuinterpret'?Kwa hiyo aliweka interpretation zake kwenye vitabu vya watu wasomi wengine
Sasa Paskali unachopinga ni nini?Kwa kawaida binadamu anapokuwa kwenye matatizo na kwenye magumu, watu wenye roho za ubinaadamu, na utu, wanaumizwa na anayopitia, lakini watu wenye roho za kishetani, wanazidi kuchochea moto!, bandiko hili ni adding an insult to an injury!, kuna watu, mnajichumia laana bila kujijua kwa kumsingizia uongo kama, huu uliouleta hapa ili aonekane ni lecture kilaza!,
Kuna aina kuu tatu za miungano ya nchi,
Muungano wa Tanzania na Zanzibar, ni muungano adhimu na adimu.
- Muungano wa Union na kuunda a unitary gornment kwa kuunda union, nchi mbili au zaidi zinaungana kwa union na kuunda nchi noja. Hizi nchi zote zinapoteza its sovereignty na nchi mpya ya union. Kama GBRT.
- Muungano wa Federation, nchi moja au zaidi zinaungana kwenye baadhi tuu ya mambo, kunakuwa na federal government, lakini kila states inakuwa na utawala wake wa mambo yake ya ndani, kama US.
- Muungano wa Confederation, kama Ujerumani,
Kimataifa ni muungano wetu ni muungano wa Union, nchi mbili za Tanganyika na Zanzibar zimeungana kwa union, kuunda nchi moja ya JMT, nchi zote mbili zimepoteza sovereignty zake na JMT ndio the new sovereign.
Lakini ndani ya muungano, JMT ni moja ya JMT yenye muungano wa federation ya nchi mbili, nchi mama ya JMT, na nchi mtoto ya Zanzibar yenye utawala wake wa ndani, lakini hauna sovereignty. Kimaifa Tanzania ni nchi moja tuu, Zanzibar sio nchi, ni sehemu ya Tanzania yenye utawala wake wa ndani kama ilivyo Kwazulu Natal kwa Chief Mangosotho Buthelezi,
Kitendo cha kumsingizia uongo mtu aliyeko matatzoni ni kujichumia laana za bure bila wewe kujijua!.
P.
Kuna aina kuu tatu za miungano ya nchi,
- Muungano wa Union na kuunda a unitary gornment kwa kuunda union, nchi mbili au zaidi zinaungana kwa union na kuunda nchi noja. Hizi nchi zote zinapoteza its sovereignty na nchi mpya ya union. Kama GBRT.
- Muungano wa Federation, nchi moja au zaidi zinaungana kwenye baadhi tuu ya mambo, kunakuwa na federal government, lakini kila states inakuwa na utawala wake wa mambo yake ya ndani, kama US.
- Muungano wa Confederation, kama Ujerumani,
P.
Kama unasoma bila kufanya interpretation bora ubakie huko huko uimbe singeli na baikoko!Kwa hiyo aliweka interpretation zake kwenye vitabu vya watu wasomi wengine
Wewe ni fala muosha matako usiye na uwezo wa kufikiri. You are more than garbage....shenzi type. Huelewi kinachozungumzwa, unafikiria upumbavu mtupu.Pumba tupu na chuki za kilokole zimekujaaa🚮🚮🚮