norble gas
Senior Member
- Sep 10, 2024
- 146
- 231
Mbowe pale chadema amebadilika ghafla na kuwa mfalme wa chademaAlitoa saa 48 eti kutafakari na kuangalia mwenendo na akiona vipi ataingia kutetea CHAMA CHAKE, elewa kutetea chama chake.
Je, kwanini asingewahimiza vijana wa BAVICHA kutetea chama chao kwa kugombea nafasi hiyo endapo anaona kuna hatari?
Ni lazima agombee yeye? Ikitokea ameshindwa, (NA ATASHINDWA) atatumia mbinu gani kukiokoa?