Pre GE2025 Kilichomsukuma Mbowe kugombea ni kumkomoa Tundu Lissu?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mbowe pale chadema amebadilika ghafla na kuwa mfalme wa chadema
 
Kugombea ama kutogombea ngazi yoyote ya chama ni uamuzi wa mwanachama husika kama ana vigezo vya kikatiba why not.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…