The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Lakini watakaokosa nafasi wameandaliwa kwenda wapi? Au ndio watatelekezwa? Vyuo vya ufundi vinatosha?HABARI,
Kilichomtoa Msonde NECTA ni Kufaulisha sana, bila mpangilio, Rais agusia leo kwa kumwambia kimafumbo kamwacha palepale elimu akahakikishe vijana aliowafaulisha anawajengea uwezo kama sio kuwaajiri kabisa.
Na imeonekana na hasara kwa Serikali kufaulisha kisiasa, tutegemee matokeo ya kuanzia mwaka huu heshima ya div 0ne kurudi.
Sio kama ilivyo leo, ukipata one heshima hakuna tena.
Una uhakika na hili unalosema?Tuliwaambia kipindi cha jpm huu ujinga wa sant sijui nini kufaulisha wanafunzi wote ulipotea kabisa sasa umerudi tena kipindi cha mama
Msonde Alipomaliza kidato cha sita alipata point 3?inakuaje anazalisha A Tatu kwa mamia ya wanafunzi?Hii haikuamriwa ama kuanzishwa na Msonde. Mabadiliko ya muundo wa mitihani haianzii na kuishia kwa Msonde.
exactlyUna uhakika na hili unalosema?
HABARI,
Kilichomtoa Msonde NECTA ni Kufaulisha sana, bila mpangilio, Rais agusia leo kwa kumwambia kimafumbo kamwacha palepale elimu akahakikishe vijana aliowafaulisha anawajengea uwezo kama sio kuwaajiri kabisa.
Na imeonekana na hasara kwa Serikali kufaulisha kisiasa, tutegemee matokeo ya kuanzia mwaka huu heshima ya div 0ne kurudi.
Sio kama ilivyo leo, ukipata one heshima hakuna tena.
Msonde Alipomaliza kidato cha sita alipata point 3?inakuaje anazalisha A Tatu kwa mamia ya wanafunzi?
Kwa wanafunzi wengi waliosomea UDSM wana ujinga wa kuamini wanafunzi kufali sana ndio elimu bora. Unakuta Professa anajigamba eti katika course yangu wamesap 180 katika ya 194! Ujinga huo huo wa maprofesa wanaubebesha wanafunzi wao kama wewe blogger boy.HABARI,
Kilichomtoa Msonde NECTA ni Kufaulisha sana, bila mpangilio, Rais agusia leo kwa kumwambia kimafumbo kamwacha palepale elimu akahakikishe vijana aliowafaulisha anawajengea uwezo kama sio kuwaajiri kabisa.
Na imeonekana na hasara kwa Serikali kufaulisha kisiasa, tutegemee matokeo ya kuanzia mwaka huu heshima ya div 0ne kurudi.
Sio kama ilivyo leo, ukipata one heshima hakuna tena.
Uko sahihi lengo la kumpeleka mtoto shule mi aelewe anachofundishwa na afaulu vizuriKuna shida gani wanafunzi kufaulu na kupata A tatu? Kwani mwanafunzi kufeli ndio kipimo cha nini? Huu ujinga mnautoa wapi?
Huu mchezo mchafu unafanywa zaid na private schools, wananunua mitihali kwa lengo la kibiashara.Darasa eti linapata division 1 point 7 lote
Hapo lazima kuna shida somewhere
elimu ya tanzania na maajabu yake. kufaulisha sana na kufelisha sana ndio kipimo cha ubora wa elimu.HABARI,
Kilichomtoa Msonde NECTA ni Kufaulisha sana, bila mpangilio, Rais agusia leo kwa kumwambia kimafumbo kamwacha palepale elimu akahakikishe vijana aliowafaulisha anawajengea uwezo kama sio kuwaajiri kabisa.
Na imeonekana na hasara kwa Serikali kufaulisha kisiasa, tutegemee matokeo ya kuanzia mwaka huu heshima ya div 0ne kurudi.
Sio kama ilivyo leo, ukipata one heshima hakuna tena.
kwa hiyo kipimo cha elimu bora ni mwanafunzi kupata A? ,mbona wapo mtaani na hawawezi kujiajiri kila siku kuilaumu serikali,Kwa wanafunzi wengi waliosomea UDSM wana ujinga wa kuamini wanafunzi kufali sana ndio elimu bora. Unakuta Professa anajigamba eti katika course yangu wamesap 180 katika ya 194! Ujinga huo huo wa maprofesa wanaubebesha wanafunzi wao kama wewe blogger boy.
Unaweza kutoa ushahidi kwa nchi zilizo na elimu bora kama vile Marekani, Uingereza, China na Japan kwa kutaja chache zinatoa 'graduates ' walio na uwezo wa kujiajiri tofauti na Tanzania?kwa hiyo kipimo cha elimu bora ni mwanafunzi kupata A? ,mbona wapo mtaani na hawawezi kujiajiri kila siku kuilaumu serikali,
lengo la SSH ni kutengeneza wanafunzi watakaoajirika siku za usoni.
NakaziaAlisemaje?